baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mvua Zaharibu Mabomba: Estates 15 Nairobi Wakosa Maji Baada ya Mafuriko

    Mvua kubwa iliyonyesha Nairobi usiku wa Ijumaa imeleta madhara makubwa baada ya mafuriko kuharibu major water pipelines, na kusababisha water shortage kwa estates zaidi ya 15. Kulingana na Nairobi City Water, maeneo yaliyoathirika ni pamoja na Buruburu, Kariobangi, Dandora, Mathare, Eastleigh...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mama Kanumba Alengwa Lengwa Na Machozi Mbele Ya Umati Wa Watu Baada Ya Kununuliwa Gari Mpyaaa Na Rais Samia . Amimina Shukurani Nzito Kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni Mkono Wa Mungu Uliopo Hapa Duniani, Mungu Anatenda Miujiza Yake Kupitia Rais Samia ,Rais Samia Ni chaguo la Mungu kuwafikia Watu na waja Wake. Kama Unasikiaga Mungu anatenda Miujiza Kupitia Watu basi Mtu Mwenyewe ni Rais Samia Aliyeinuliwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Pep Guardiola kukosa mechi mbili

    Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola hataruhusiwa kuwa kwenye benchi la ufundi katika mechi dhidi ya Chelsea FC na West Ham United FC baada ya kupata kadi sita za njano. Hata hivyo, Guardiola anatarajiwa kurudi kwenye benchi kwa ajili ya fainali ya EFL Cup Final (Carabao Cup) dhidi ya Arsenal...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi ikiwa imefunikwa na maji baada ya mvua

    Eti baada ya Wakenya kusema Nairobi ni jiji kubwa kuliko Dar ila imekosa bahari tu, Bahari imeamua kwenda kupiga kambi mjini kwao.
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa ipi ni nzuri ya hospitali ya kukausha uvimbe wa mguu baada ya kuparuliwa na paka? Chanjo ameshachoma.

    Wasalaam aleykum, Twende kwenye mada, Nina mdogo wangu aliparuliwa na paka wiki mbili zilizopita, baada ya hapo tukamchoma chanjo zote za za kuzuia athari ya kung'atwa na wanyama pale hospital... Lakini hadi sasa ameendelea kutumia antibiotics mbali mbali, mguu haupungui uvimbe! Uvimbe...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Israel yashambulia “vituo vya Hezbollah” nchini Lebanon, na kusababisha mlipuko mkubwa

    Jeshi la Israel limesema limelenga vituo vinavyodaiwa kuhusishwa na Hezbollah nchini Lebanon, hatua iliyosababisha mlipuko mkubwa katika eneo hilo. https://www.instagram.com/reel/DVeHhHqD6Zf/?igsh=anMzbmlsNTlmYm5u
  7. JamiiForums Tanzania Israeli yashambulia ndege za bandia huko Iran baada ya kuingia mkenge

    Hii vita inahuzunisha na kuchekesha kwa wakati mmoja. Hii Leo Israel imetangaza kushambulia helicopter na ndege vita za Iran kumbe imeingia chaka na kushambulia michoro (paintings) iliyowekwa na jeshi la Iran kuwapoteza maboya. Nimecheka sana aisee 🤣🤣
  8. JamiiForums Tanzania Prince Dube alivyomzawadia Pesa Mwananchi Bandarini baada ya Dabi ya Kariakoo

    Mshambuliaji wa Young Africans S.C (Yanga SC), Prince Dube, alivyomzawadia pesa Mwananchi baada ya kutua bandarini Machi 2, 2026 akitokea Zanzibar na klabu yake kufuatia mechi ya dabi ya Kariakoo Jumapili ambayo ilimalizika kwa suluhu ya 0-0.
  9. JamiiForums Tanzania USHAURI: Ni sahihi kusoma certificate baada ya kuhitimu shahada ili kupata fursa za ajira?

    Kwenye kada za maendeleo ya jamii serikali wanaajili NTA level 4,5 na 6 Lakini kwa upande wa shahada za maendeleo ya jamii mara nyingi nafasi hizo hakuna. Kwasasa mimi nimemaliza shahada ya maendeleo ya jamii je ni sawa kusoma NTA level 5 mwaka mmoja ili niweze kuomba KAZI kwa cheti husika...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mojtaba Ali Khamenei kumrithi Ayatollah Ali Khamenei baada ya kuuawa baba

    Baraza la Mapinduzi la Iran limemtangaza Mojtaba Khamenei (Mtoto wa Ali Khamenei- RIP) kuwa kiongozi mkuu wa Iran. Ali Khamenei alimlea akimlea na kumwandaa kwa miongo kadhaa mwanawe mwenye roho mbaya, Mojtaba, ili awe kiongozi mkuu ajaye. Yeye ni mbaya zaidi kuliko baba yake.
  11. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Iran waanza kuingia barabarani kusheherekea ukombozi baada ya kifo cha Ayatollah

    Hiyo dini ilikua imewatesa sana, Israel imewakomboa. End of an era as Iran confirms Khamenei is dead; Trump: Justice for Iranians and beyond Iranians brave the streets to celebrate; US president urges regime’s security personnel to surrender as PM Netanyahu calls on Iran’s public to rise up and...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya kuwauliza Matajiri wakubwa kuhusiana na tuhuma za kutokuhudhuria nyumba za Ibada walinijibu kama ifuatavyo

    Mimi kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya kazi za matajiri wengi sana ikafikia mahali Matajiri wale wakawa wananialika kwenye shuhuli zao Sasa kawaida binadamu kuna wakati tunazungumza mambo mengi Siku moja nikachomeka swala la Ibada Nikawauliza kuwa kuna shutuma kuhusiana na matajiri kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Shangwe laibuka baada ya Padri Kitima kutambulisha wanasiasa na viongozi wastaafu kwenye msiba wa Kardinali Pengo

    Wakuu, Nauliza tu Kwanini hawa viongozi wastaafu walivyotambulisshwa shangwe limekuwa kubwa mno Hapo Pinda, Warioba na Majaliwa walivyotambulishwa shangwe lilikuwa kubwa mno lakini alivyotajwa Nchimbi vibe halikuwa kubwa hivyo
  14. JamiiForums Tanzania Watanganyika wana akili sana. Wamemkataa Jesca Magufuli baada ya kutumiwa na mafisadi wa CCM kama chambo

    CCM mtandao ni wajinga na hawana akili za kuweza kuwadanganya Watanganyika. Walidhani Jesca Magufuli atakuwa bait ili wakubalike kwa Watanganyika. Yuko wapi Humphrey Polepole?
  15. JamiiForums Tanzania Nitaelezea kisaikolojia chanzo na tiba ya Ile hali "mbaya" kimwili na kiakili unayosikia baada ya kuzini

    Hello bosses and roses... Ni muda sana sijaandika kuhusu spirituality na psychology lakini leo nmekutana na uzi wa jamaa mmoja analalamika kwamba hakuzini kwa miezi 6 ila baada ya kuzini tu anajisikia vibaya siku ya nne sasa. Iko hivi, kwanza kabisa kabla ya kuzini mara nyingi kuna moments za...
  16. JamiiForums Tanzania TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

    Huyu jamaa aliwahi kunifundisha Tuition pale kwa Demtatuzi( naye ni marehem) boma Kama unaenda msimbazi. jamaa alikuwa anafundisha physics na chemistry tu, alikuwa akisema hawezi kufundisha somo rahisi Kama pure mathematics😄 Alikuwa TO mwaka 2006, akaenda chuo pale UDSM akadisco(inasemekana...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Askofu Mwamakula: Kuna Miili iliyoharibika zaidi ya 20, ilifukiwa eneo la MSAE, KIBAHA. Miili ilikuwa kwenye Viroba

    Hii Miili kwa Mujibu wa Mtoa taarifa, ilikua inatoa harufu Kali sanaaaa , maana yake Kama imefukiwa na Serikali, ni kwamba sehemu ilipokua miili hiii, Serikali haikua na uwezo wa kuihifadhi , Je Serikali inakoswa uwezo wa kuhifadhi miili ??? TAHARUKI YAZUKA BAADA YA MIILI MINGI ILIYOHARIBIKA...
  18. JamiiForums Tanzania Tatizo lilianza baada ya wanaCCM mtandao kudhania wakimuondoa hayati JPM watafanikisha mambo yao. Hali imewageukia vibaya na wanatawala kwa tabu

    Kama ilivyokuwa kwa Burkinafaso Blaise Compaore alidhania kumuua Thomas Sankara itaKuwa neema kwake kuwa atatawala kwa kujiachia na kula mali za umma anavyotaka. Naona hapa Tanzania hali ni mbaya sana kwa wanaCCM mtandao ambao wanahusishwa kumuondoa hayati JPM ambae alionekana kuwazibia mianya...
  19. JamiiForums Tanzania Swali la Msingi: Mh. Spika Baada ya Mchango mkubwa wa Mch. Msigwa kwa Samia, Je si vizuri sasa kumkumbuka?

    Mheshimiwa Spika wa JF. kwanza napenda kumpongeza mungu kunichagua mimi kuwa mbunge na kumshukuru mama kunipitisha kwa ushindi wa kishingo. Kwa kweli mama mitano tena. Tumeona maendeleo ambayo amefanya toka uhuru hayajawahi fanyika. Swali kuu. Je baada ya kampeni kali za kumtembeza Mch...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna Walio na Hasira, Stress na Ghadhabu baada ya Mission kutokamilika kwa Asilimia mia

    Kuna wakati nilifikiri suala la kuposa, kuoa ni jambo jepesi, ila kwa figisu zile za mashemeji sijaamini macho yangu…kuna level ilifikia nilitaka kuwaachia dada yao ila kuna wazee waliniita pembeni wakanitonya.😃
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…