baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Askofu wa Kanisa Angliakana Dayosisi ya Mpwapwa afariki siku 6 baada ya kuwekwa wakfu

    Katika hali ya majonzi na maskitiko askofu mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania Mahimbo Mndolwa ametangaza kifo cha Askofu mpya wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa George Chiteto leo tarehe 3.9.2022 ikiwani nitakribani siku sita tangu askofu huyo alipowekwa wakfu wa kuwa askofu mkuu wa dayosisi...
  2. JamiiForums Tanzania Walimtumbua Ndugai baada ya kuwaambia ukweli. Sasa watamtumbua nani?

    Wakati ndugai anawaambia ukweli wakaamua kushugulika nae, wakalala nae mbele. Vijana wa CCM walivimba haswa. Sasa maisha yetu yanapojazwa Tozo hadi CCM wenyewe wanalialia tu. Ila wakimuona mwenyekiti wao wanaendeleza unafiki wa kusifia hakuna kama yeye tangu awamu ya kwanza. Kila mtu sasa hivi...
  3. JamiiForums Tanzania Senegal: Wahudumu 3 wa afya wakamatwa kwa uzembe baada ya kifo cha mama na mtoto wakati wa kujifungua

    Daktari wa magonjwa ya wanawake, daktari wa ganzi na muuguzi wa wa hospitali ya Kedougou wanashikiliwa kwa mahojiano kutokana na tuhuma za uzembe katika upasuaji uliosababisha kifo cha mjamzito na mwanae baada ya kudaiwa kupoteza damu nyingi Chama cha Madaktari wa Wanawake na Madaktari wa Uzazi...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Siri kuu saba zilizonifanya kufungua kiwanda baada ya kufukuzwa Chuo

    Siri kuu saba zilizonifanya kuanzisha kiwanda baada ta kufukuzwa chuo. Moja kati ya shughuli za kiuchumi zenye kuleta mageuzi makubwa Kwa uchumi wa nchi yoyote ni kuanzisha viwanda. Kuanzisha na kuendesha viwanda ni rahisi sana kwa mtu binafsi hasa ukipewa Siri yake. Hapa kuna siri kuu saba...
  5. JamiiForums Tanzania Malaysia: Waziri Mkuu wa zamani alazwa baada ya kukutwa na UVIKO-19

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa zamani Mahathir Mohamad imethibitisha kuwa kiongozi huyo amekutwa na maambukizi hayo na leo asubuhi amelazwa katika Taasisi ya Kitaifa ya Moyo kwa uchunguzi kama ilivyoshauriwa na timu ya Madaktari Mahathir mwenye umri wa miaka 97 tayari amepata Chanjo dhidi ya virusi...
  6. JamiiForums Tanzania Orodha ya makocha EPL waliofukuzwa baada ya kufungwa na Liverpool

    Mourinho kafukuzwa mara mbili na Liverpool...jumla wanafika 6 sasa...hatari sana 1. Jose Mourinho -chelsea, Man U 2. Marco Silva - Everton 3. Fransesco Guidolin - Swansea 4. slaven bilic -west ham 5. slavisa Jokanovic -Fullham 6. scott Perker -bournemouth... Hii list itaongezeka Tu Nani...
  7. JamiiForums Tanzania Machafuko yazuka Iraq baada ya kiongozi wa Washia kutangaza kuachana na Siasa

    Takriban watu 15 wameuawa na makumi kujeruhiwa katika mapigano kati ya vikosi vya usalama vya Iraq na wafuasi wa kiongozi mwenye nguvu wa Kishia Muqtada al-Sadr, baada ya wafuasi hao kuvamia ikulu katika mji mkuu wa Baghdad. Kambi ya kiongozi huyo wa Kijeshi ilishinda viti vingi bungeni Oktoba...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Stergomena ziarani nchini India baada ya kupata mwaliko wa Waziri wa Ulinzi wa India, Rajnath Singh

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefanya ziara ya kikazi Nchini India kufuatia mwaliko wa Waziri wa Ulinzi wa India, Rajnath Singh. Hii ni ziara yake ya kwanza ya kutembelea India tangu alipoteuliwa kuiongoza Wizara hii Septemba 12, 2021. Wakati wa...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jamii inampokeaje mtoto wa kike aliyepata ujauzito akiwa shule?

    Jamii nyingi zimekuwa zikiwatenga sana watoto wa like ambao wanabeba mimba wakiwa shule, wengi wao hawapati ushirikiana wankutosha kwa jamii zinazowazunguka, wahanga wengi wa tatizo hili huishia tu kuwa na msongo wa mawazo na kujiona ndio wameshafeli kwenye maisha. Serikali imewaruhusu watoto...
  10. JamiiForums Tanzania Dodoma: Auawa na polisi baada ya kuwashambulia kwa mishale iliyohisiwa kuwa na sumu

    Jeshi la polisi limethibitisha kuuawa kwa risasi Nada Songo(45), mkazi wa wilaya ya Chemba, katika harakati za kumkamata baada ya kuwashambulia askari na wananchi kwa mishale iliyodhaniwa kuwa na sumu. Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Martin Otieno amesema mtuhumiwa alifariki mara baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya kumzika Mama

    Ndugu zangu wapendwa habari za muda mrefu tena. Naomba kuambatanisha uzi https://www.jamiiforums.com/threads/mliofiwa-na-wazazi-mama-mliwezaje-kuvuka-kipindi-hiki.2012960/page-8#post-43564101 Ninajitahidi kuzoea hali ya kutokuwa na mama ila bado siamin kama ndo mazima. Inauma lkn hakuna...
  12. JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta baada ya kumsaidia rafiki yangu mwenye degree

    Stori yangu itaanzia pale ambapo tulikutana mwaka 2017! ilikuwa kiwanda cha Pepsi- Vingunguti Jijini Dar es Salaam mwaka 2017 wote tulikuwa vibarua na ndipo tulifahamiana hapo, Mwaka 2018 huyu jamaa aliomba mkopo na kupata chuo Udom Jijini Dodoma. Alisoma mwaka wa kwanza, nakumbuka akiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Urusi yaanza kuficha ndege zake, yaziondoa Crimea baada ya mapigo

    Pale Crimea hapakaliki, milipuko ya ghafla hadi imekua kero, ndege za kivita zinalipuliwa zikiwa uwanjani, Urusi imeona isiwe tabu, yaanza kuzirejesha nyumbani..... Sikujua supapawa anaweza kuteswa kihivi na kainchi kadogo, vita kweli sio ukubwa wa nchi au wingi wa silaha.... Russia is...
  14. JamiiForums Tanzania Manyara: Binti ajinyonga baada ya kugombezwa na dada yake

    Binti mwenye umri wa miaka 14, Silvan Tumaini Isdori Mkazi wa Mtaa wa Majengo ya zamani Babati Mjini Mkoani Manyara amejiua kwa kujinyonga na chandarua chumbani kwake mara baada ya kugombana na dada yake aliyekuwa anaishia naye. Chanzo cha Ugomvi kimeelezwa kuwa ni baada ya dada wa Marehemu...
  15. JamiiForums Tanzania Mbeya: Karani wa Sensa aingia Mitini baada ya kulipwa 600,000

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Karani wa Sensa Kata ya Ilomba Jijini Mbeya LUtengano Mwakibambo kwa tuhuma za kutofika kwenye kituo cha kazi alichopangiwa kwa kusingizia kuwa anaumwa. Mtuhumiwa baada ya kulipwa Tsh. 600,000 kama malipo ya awali alitoweka lakini August 21, 2022...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi kupiga picha na makarani baada ya kuhesabiwa, je sio kupoteza muda Au walikuwa spesho kwa ajili yao tu?

    Naomba kwa wenye fikra yakinifu zisizoegemea upande wowote, wanisaidie kujibu hili swali. Maoni yawe ni baada ya kuhesabiwa na sio wakati zoezi likiendelea
  17. J

    JamiiForums Tanzania KAHAMA : Afariki dunia masaa machache baada ya kuhesabiwa kwenye sensa ya Agosti 23

    TAARIFA KWA WOTE, IELEWEKE SIO SENSA IMEMUUA ILA ALIKUWA HOSPITALI AKIJIUGUZA HAPO KABLA, KILA MMOJA AHESABIWE MIMI KAMA JABALI TAYARI NIMEHESABIWA LEO NAKUOMBA KAMA UMEKOSA NAFASI LEO SIKU BADO ZIPO KAHESABIWE. Hospitali ya Kahama, mkoani Shinyanga === Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 60...
  18. JamiiForums Tanzania Njombe Karani wa Sensa afutwa kazi baada ya kuibiwa Kishkwambi

    Mratibu wa zoezi la sensa mkoani Njombe Amewafuta kazi makarani wawili, baada ya mmoja kuibiwa Kishkwambi, akiwa na mwenzake kwenye ulevi ulipitiliza Pamoja na kuwafuta kazi hao, Mratibu amesema zoezi litakwenda vema japo hao wawili wameondolewa Mambo ya ngoswe yameanza mapema kujitokeza...
  19. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Watu 14 wafariki baada ya kudaiwa kunywa pombe, wengine wapo hoi

    Watu 14 wamefariki Dunia katika Mji wa Arua Nchini Uganda baada ya kudaiwa kunywa pombe inayodhaniwa kuwa na sumu. Baadhi ya watu wengine wapo hospitalini wakiwa na hali mbaya, Polisi wameeleza vifo saba vilitokea maeneo ya Mvara na Oluko na vingine saba vimetokea Madi Okollo, yote yakiw ani...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kinachofuata baada ya Raila Odinga kufungua Pingamizi la Urais

    Ndani ya saa 24 baada ya jibu la ombi kuwasilishwa, kiambatanisho kitawasilishwa na kutolewa uamuzi, ambapo upande wa Mawakili wa Rais Mteule William Ruto utakuwa na siku 4 kuwasilisha na kutoa majibu kufuatia ombi hilo. Mkutano wa kabla ya kesi utafanyika ndani ya Mahakama Kuu kwa siku 8...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…