baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Maisha baada ya kifo

    Life after death ni thread special nimeiandaa ili tuweze kuichambua kwa kina. Je, wewe unaamini katika nadharia ipi ya kwamba mtu akifa huzaliwa upya au huenda peponi na waliotenda mabaya duniani hupelekwa motoni kama stori za vitabu vya dini inavyosema? Toa uzoefu wako hapo chini.
  2. K

    Eric Hamissi aliyekuwa DG wa TPA kaonewa baada ya kukataa kuhonga wanasiasa kama enzi za zamani

    WNAJAMVI, huyu DG tangia aingie TPA amejitahidi sana kuziba mirija ikiwemo kuhakikisha kila mtu analipa anachotakiwa. Lakini makampuni kama silent ocean na GSM wamekuwa wakilazimisha wapewe eneo wawekeze kinyume ya sheria ya PPP lakini yeye aliwaeleza wafuate utaratibu wa uwekezaji...
  3. M

    Twaha Mwaipaya apata dhamana

    Mratibu wa Uhamasishaji Bavicha Taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya amepata dhamana usiku huu. Twaha amedhaminiwa na watu wawili, Jeshi la Polisi limemtaka kuripoti Julai 08, 2022.
  4. Tuliowahi kukutwa na ushamba mara baada ya kununua gari kwa mara kwanza tukutane hapa

    Jamani wale tuliokutwa na ushamba baada ya kumiliki gari kwa mara ya kwanza tulete visa tulivyokutana navyo hapa. Binafsi baada ya kununua premio nilikuwa naiendesha huku nikiwa nimewasha handbreak kiasi kwamba mafuta yalikuwa yanaenda mengi Sana kwa kutembea huku nimeshika handbreak... Je...
  5. M

    Mabeberu wameshaanza kupigana vikumbo wakipigania fursa ya kuijenga upya Ukraine baada ya vita: Wanajua pesa ipo-ile iliyozuiwa ya Urusi na Warusi!

    Mabeberu hawana kabisa mshipa wa aibu hata kidogo!! Wakati ikraine inaambulia kipigo kikali toka kwa urusi na watu wengi wanauawa, mawazo ya mabeberu sasa hivi ni kupigania fursa ya kuijenga upya ukraine baada ya vita. Hao ndio mabeberu!! Poland iliyokuwa inajitia kimbelembele imeanza kulalamika...
  6. J

    Baada ya Rais Samia kufungua soko la nyama falme za Kiarabu. Je, wanaopuuza zoezi la uwekaji hereni mifugo ni wasaliti wa Rais aliyewateua?

    Nawasalimu kwa Jina la JMT, Tanzania kuna mambo ya kubishaniwa ila sio uhodari,Umakini na Uchapakazi wa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan. Mtakumbuka hivi majuzi Rais Samia alifanya ziara katika nchi za falme ya kiarabu (UAE) akihangaika kuifungua Tanzania ili kuwaletea Watanzania...
  7. TFF yafungua shauri dhidi ya Ofisa wa Yanga, Haji Manara baada ya kudaiwa kuzozana na Rais Karia

    Sekretarieti ya TFF imefungua shauri mbele ya kamati ya maadili dhidi ya Ofisa wa Klabu ya Yanga Haji Manara, kutokana na vitendo vya ukiukwaji wa maadili. Manara alionekana akijibishana na kiongozi wa juu wa TFF ambaye ni Rais Wallace Karia, jana Julai 2,2022 wakati wa fainali la Kombe la...
  8. Uganda: Shule yawavalisha wanafunzi sketi bila kuzingatia jinsia

    Shule ya Sekondari Nyakasura iliyoko Magharibi mwa Uganda imekuwa gumzo baada ya wanafunzi wa kiume wa nchi hiyo kuvaa sketi ikiwa ni sare ya shule hiyo ambayo imeanzisha tangu Mwaka 1926. Mkuu wa shule hiyo amesema mavazi yanayoonekana sio sketi bali ni mavazi ya heshima yaliyokuwa yanavaliwa...
  9. Baada ya Ronaldo kuomba kuondoka Manchester United, mashabiki wasema ‘muacheni aende’

    Cristiano Ronaldo ameomba kuondoka ndani ya Manchester United ikiwa ni msimu mmoja tu tangu arejee kikosini hapo, ambapo inadaiwa lengo lake ni kuendelea kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo mashabiki wamesema ‘muacheni aende’. United haijafuzu katika ligi hiyo badala yake itashiriki katika...
  10. Mke aolewa na jirani baada ya mumewe Kupooza

    Wakaazi wa kijiji kimoja nchini Zambia wameachwa na mshangao baada ya mwanamke kuolewa na jirani yake wa karibu wakati mume wake wa miaka mingi mumewe alipooza Rabison Mawere kutoka mtaa wa Mtendere mjini Lusaka alisema aligundulika kuwa na ugonjwa ambao ulimuandamana Oktoba 2021. Akizungumza...
  11. L

    Hong Kong yaendelea kuwa tulivu, imara na yenye neema miaka 25 baada ya kurudi China

    Ni miaka 25 sasa imepita tangu China irudishe mamlaka yake kwenye mkoa wa Hong Kong baada ya kuwa chini ya utawala wa Uingereza wa miaka 100. Ilikuwa ni Julai Mosi mwaka 1997, wakati wakosoaji walikuwa wakijenga picha mbaya kuhusu mustakbali wa Hong Kong, na kuitaja hatua hiyo kuwa ni mwanzo wa...
  12. Wahamiaji 14 waliokuwa wakizamia kwenda Ulaya wafariki baada ya boti kushika moto Senegal

    Wahamiaji 14 wamefariki Dunia baada ya boti waliyokuwa wakiitumia kushika moto katika Jimbo la Kasamance Nchini Senegal. Safari yao ilikuwa ni kuelekea Ulaya kupitia Visiwa vya Kanari vya Hispania. Meya wa Mji wa Kafountine jimboni hapo, David Diatta amesema wamefanikiwa kupata mili 14 baada...
  13. Rasmi: Simba wamtangaza Mreno Zoran Manojlovic kuwa kocha wao mkuu

    Wameandika mwenye mafanikio yake amefika. Ingawa watu wengi wanahisi atatangazwa Manzoki lakini inadaiwa kuwa atatangazwa kocha raia wa Ureno. Tusubiri hapa mbivu na mbichi === Confirmed Zoran ni 𝗠𝗡𝗬𝗔𝗠𝗔 🦁 Kwa furaha kubwa tunapenda kumtangaza kocha wa makombe, Zoran Manojlovic...
  14. Jamaa kaua mtoto baada ya kujua sio wake

    Mwanaume mmoja kachukua hatua ya kuua mtoto baada ya kugundua kuwa mtoto sio wake, baada ya kuchukua Simu ya mkewe na kuona anawasiliana na Baba wa mtoto. Nafikili Jamaa alikuwa anatoa na huduma kabisa za mtoto yani alimchulia mtoto ni wake. Jamaa kaua mtoto lakini Sasa anashikiliwa na Jeshi...
  15. Watu 13 nchini Jordan wanadaiwa kufariki huku 251 wakijeruhiwa baada ya gesi ya klorini kuvuja bandarini

    Tanki lililojazwa tani 25 za gesi ya klorini iliyokuwa ikisafirishwa kwenda Djibouti lilidaiwa kuanguka kutoka kwenye winchi na kujigonga kwenye meli ambapo gesi hiyo ilianza kuvuja na kuzua taharuki bandarini hapo Mamlaka za eneo hilo zilituma wataalamu kuzuia uvujaji zaidi huku wakiamrisha...
  16. Baada ya hizi ajira za TAMISEMI, Wanaume wenzangu mmejiandaaje na mapenzi ya Bluetooth?

    INTRODUCTION Ashukuriwe Mhe. Raisi Mama Samia kwa kutuletea hizi ajira zaidi ya 11,000 hakika ameupiga mwingi.  PROBLEM Ila Sasa nataka kuongea na kuuliza mabaharia MMEJIANDAAJE NA NDOA/MAPENZI YA BLUETOOTH kati yenu na hao wapenzi wenu? SCENARIO Unataka kunielewa? Twende pamoja.... 1. Upo...
  17. Tutegemee Baada ya miaka michache kutatokea upungufu mkubwa wa nyama nchini

    Hapo vip!! Mimi huwa siasa na wanasiasa naona ndio chanzo cha umaskini katika jamii na sio suluhiyo la matatizo katika jamiii..hususana siasa za Afrika na wanasiasa wa Afrika. Kwa utafiti wangu wa harakaharaka naona viongozi wengi wanaotoka na siasa hawapo smart sana kichwani ila sometime...
  18. Tunduru: Judith Sichalwe (29) sasa kuhamishiwa Mjini, ni baada ya kuzaa Mapacha wanne

    MTATIRO AAGIZA MWALIMU ALIYEZAA PACHA WANNE KUHAMISHIWA MJINI Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru kuanza mchakato wa kumhamishia kwenye shule iliyoko Tunduru mjini Mwalimu Judith Sichalwe mwenye miaka 29 (mwanamke...
  19. K

    Kuna jamaa yangu amechanganyikiwa baada ya kukosa ajira za ualimu

    Jamaa kamaliza chuo since 2015, matarajio yake yalikuwa this time lazima alambe ajira. Surprisingly hajaona jina lake. Alichofanya amenunua k-vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku kafungulia mziki mkubwa wa reggae.
  20. Baada ya zuio la miaka 21, Tanzania yaruhusiwa rasmi kupeleka bidhaa ya nyama nchini Saudi Arabia!

    Baada ya zuio la miaka 21, Saudi Arabia imeruhusu kampuni mbili za kitanzania kuingiza nyama nchini mwao Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi tueleweni jamani! Hii ni baada ya jitihada alizofanya kuongea na Serikali ya Saudi kutuondolea zuio hili Uchumi unafunguka kweli na nchi inafunguka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…