Mradi kusimama baada ya uzinduzi

SIPIYU30

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,623
2,015
Ndugu wana jamvi,

Natafuta heading yenye taarifa inayoonyesha mradi ukisimama baada ya uzinduzi. Mfano kiongozi mkubwa (Rais, au waziri anazindua mradi wa maji, umeme au ujenzi.

Halafu baada ya hapo mkandarasi anasepa na hakuna kinachoendelea hapo. Natafuta mwenye link ya story ya miradi kama hiyo aiweke hapa.

Natanguliza shukrani.
 
Ndugu wana jamvi.
Natafuta heading yenye taarifa inayoonyesha mradi ukisimama baada ya uzinduzi. Mfano kiongozi mkubwa (Rais, au waziri anazindua mradi wa maji, umeme au ujenzi...
Scroll down kwenye page hii utaona, then kila thread utakayoview scroll down mpaka mwisho the go on and on and on utazipata zote.

Umeelewa?
 
Scroll down kwenye page hii utaona, then kila thread utakayoview scroll down mpaka mwisho the go on and on and on utazipata zote.

Umeelewa?
Kwa kweli wewe ni matola. hahahaha. nimepata moja humu humu JF kuna story ya PM kwenda kuzindua mradi wa maji Hedaru akakuta maji hayatoki..... Bado natafuta zingine
 
Kwa kweli wewe ni matola. hahahaha. nimepata moja humu humu JF kuna story ya PM kwenda kuzindua mradi wa maji Hedaru akakuta maji hayatoki..... Bado natafuta zingine
Tumia akili yako vizuri.

Tumia akili yako vizuri.

asante. tatizo JF hata ukiwa serious kuna watu wana utani na ukiwa na utani kuna watu wako serious.
 
Back
Top Bottom