baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Utamjibu vipi Ex wako anayetaka mrudiane baada ya wewe kuyapatia maisha?

    Utakuta mdada ulikuwa ukimpenda sana na kumtimizia mahitaji yake kadri ya uwezo wako lakini ghafla huyo keshakugaya anakwenda kujishikiza kwa kamsela kimbaumbau kisa kanamiliki visilver vya kubadilishia mboga. Eti leo maisha yameninyookea uanze kunitumia vitext vya kuomba turudiane, nitakujibu...
  2. Baada ya Rais Samia kumaliza teuzi katika vyombo vya dola, Sasa macho yote Mahakamani. Nani kuwa Jaji Mkuu?

    Naona Mh. Rais SSH kamaliza kupanga safi ya viongozi wa vyombo vya dola. Macho yetu yote ni kwa Mahakama. Je, nani atakalia kiti Cha Jaji Mkuu?
  3. Mfanyabiashara kijana aandaa kaburi lake baada ya kukiuka masharti ya Mganga

    Mfanyabiashara Kijana wa Nakonde nchini Zambia mwenye umri wa miaka 29 ameanza kuandaa kaburi lake baada ya kuambiwa na Mganga wake wa Sumbawanga kuwa atakufa hivi karibuni kwa kukiuka masharti ya utajiri wake. Grigory Siame ambaye alikuwa maskini sana hadi alipoenda kuonana na mganga miaka 8...
  4. SoC02 Mirathi na Mwanamke baada ya kifo cha mumewe

    habari kamili see my linkedln Academia or Google Scholor
  5. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko Mbinguni kwa Baba, hivyo nauliza swali, jee wajua kuwa JPM yuko peponi, Mbinguni, Kwa BABA YAKE...
  6. Gari kubwa (Fuso) latumbukia kwenye maji baada ya kudondoka kutoka kwenye Kivuko, Julai 18, 2022

    Gari la mizigo aina ya Fuso limetumbukia kwenye maji wakati lililopokuwa limebebwa katika Kivuko cha Kyanyabasa kilichopo Wilaya ya Bukoba Vijijini Mkoani Kagera. Shuhuda wa tukio hilo lililotokea katika Mto Ngono, Datsun Zacharia amesema: “Hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa "Chanzo...
  7. Nini kiliendelea baada ya Adam kupewa usingizi mzito Eden?

    Moja kwa moja kwenye mada. Baada ya Mungu kutaka kumuumba Mwanamke Adam alimpa usingizi mzito na jambo moja alilofanya ni kuchomoa mbavu moja kwa Adamu kwa ajili ya material ya kumuumba Mwanamke. Je, ni hilo tu ndilo lililofanyika Adam akiwa usingizini? Pengine hichi ndicho kipindi Mungu...
  8. M

    KWELI Bodaboda atumwa barua yenye ujumbe wa kulipua Kambi ya Lugalo kati ya Novemba 20 hadi 27, 2021

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida na iliyozua Maswali mengi na Taharuki ya Kiusalama Kawe ni kwamba Kijana Mmoja Dereva Bodaboda amejikuta matatani baada ya kutumwa kupeleka Barua yenye Ujumbe wa Tishio katika Kambi ya Jeshi ya Lugalo. Ilikuwa ni Siku ya Jumapili iliyopita ambapo Kijana huyo (...
  9. Rwanda kuwa ya pili EAC kurusha satellite baada ya Kenya

    Afrika panazidi kukucha, Rwanda imeamua kuondoa upweke ambao huikumba Kenya kwenye kilele cha haya mavitu ya kutumia ubongo. Rwanda will join the list of African countries that have successfully orbited satellites, including Algeria, Ethiopia, Kenya, Zimbabwe, South Africa, Morocco, Egypt...
  10. Waziri wa Ardhi kumtaja Spika kwamba anunua kiwanja kilichouzwa na Jiji. Je, anataka kumchafua baada ya spika kutoa uamuzi Bungeni?

    Hivi karibuni Waziri wa Ardhi alimshambulia aliyewahi kuwa Mkurugenzi Manispaa ya Dodoma, sasa ni mbunge, kwamba amesababisha migogoro ya ardhi Dodoma, Mbunge huyo aliomba muongozo wa spika, na spika alimuona Waziri alikosea. Nadhani Waziri hakufurahi, hivi majuzi huko Mwanza, kaenda kutaja...
  11. Ramani mpya baada ya ujio wa DRC ndani ya EAC, mshindwe wenyewe

    Sasa EAC tumetimia watu milioni 300, soko la watu wote hao na GDP ya bilioni 250 dola za Kimarekani, jameni watu tuchangamkieni hizi fursa, wa kulala waendelee na kusubiri maembe yadondoke, ila tuliozoea kupambana tuendelee mbele kwa mbele... Sema nimependa sana namna rais Uhuru amechakarika...
  12. E

    Madhara niliyoyapata baada ya kutumia vumbi la Kongo

    Hello members Mimi ni kijana wa miaka 24. Week iliyopita Jumatano nilitumia vumbi la kongo ila cha ajabu kwenye show uume ulisimama legevu sana! Yani ulikuwa unasimama halafu nikitaka kuingiza unalala Hali kama hii sikuwa nayo before kabisa. Yani sahivi hata nikiamka asubuhi uume hausimami...
  13. Wakazi wa Shanghai (China) wahofia lockdown baada ya Covid kurejea kwa kasi

    Mamilioni ya wakazi wa Shanghai Nchini China wamefanyiwa vipimo vya UVIKO-19 kutokana na kusambaa kwa Virusi vya Omicron na ikiwa maambukizi yatakuwa mengi kuna uwezekano wa kutolewa amri ya kutotoka nje bila sababu za msingi. Mkakati wa China ni kuhakikisha hakuna maambukizi kabisa, baadhi ya...
  14. Arusha: Mzee Iddi Maganga abomoa nyumba zake mbili(200M) baada ya wanawe kuacha kufanya kazi na kusubiri urithi

    Mkazi wa Ngarenaro, Mzee Iddi Maganga amebomoa nyumba zake mbili zenye thamani ya milioni 200 akiwatuhumu watoto wake kumfanyia ndivyo sivyo. Akiongea kwa uchungu, Mzee Maganga amesema mmoja wa watoto wake anayeitwa Abdallah alimfungia kwenye chumba chenye giza wiki nzima bila chakula mpaka...
  15. Hii picha imenirudisha miaka mingi baada ya Uhuru

    Mfano wa nyumba hizi zilizojengwa na Wajerumani ziko Amani, Tanga. Hiki kijumba kidogo ni jiko, kwa wakati ule wengi walipikia kuni. Hili jiko lilikua na sehemu ya kuhifadhi meter moja ya kuni. Walijenga hydroelectric power kutumia maporomoko ya mito kule Amani na kulikua na umeme. Waliweza...
  16. Jinsi ya kupona mapema baada ya mwanamke anapojifungua kwa upasuaji

    Kujifungua kwa njia ya kawaida kuna tofauti na kujifungua kwa upasuaji. Pamoja na furaha yote, lakini kumbuka kwamba kujifungua kunakuja na mzigo mwingine hasa wa mabadiliko ya mwili wako. Shepu itabadilika sana na utahitaji kuzoea tabia mpya. Kama umejifungua kwa upasuaj, utahitaji muda nwingi...
  17. Hivi ni lazima Mawaziri wanapoongea kumtaja taja Rais kila baada ya sentensi mbili?

    Salaam, Hapa nilikua nasikiliza hotuba ya waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa alipokua anazungumza na maafisa Mawasiliano wa mikoa, aise jamaa kamtaja rais zaidi ya mara 20. Ndio kuna mahala katika hotuba kuna uhitaji wa kumtaja rais labda kuna maagizo au nukuu au kufanya rejea ya matukio...
  18. Rais wa Ukraine amuondoa balozi wao Ujerumani baada ya kauli yenye utata

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy amemuondoa Balozi wa taifa lake Nchini Ujerumani, Andriy Melnyk siku chache baada ya kutoa kauli yenye utata. Pamoja na kusema kuwa hayo ni mabadiliko ya kawaida lakini balozi wao wa Ujerumani hivi karibuni alinukuliwa akiishutumu Serikali ya taifa hilo kwa...
  19. M

    Nini kilikutokea baada ya kujifanya mjuaji kwenye kitu usichokijua

    Mimi bhana nakumbuka nikiwa kama house boy boss wangu alikuwa ananiamini sana hivo alikuwa na gari kama tano hivi Alikuwa na tabia ya kuniachia funguo za gari ambayo ni chafu ili niioshe Sasa bhana siku hiyo akaniachia funguo ya gari land cruise, alipo toka tu nikaenda kufungua gari na kutia...
  20. Baada ya tukio la Japan, Vyombo vya dola vifanye mapitio ya kiusalama mikutano ya barabarani

    Dunia imeshuhudia tukio baya sana dhidi ya kiongozi mpole, asiye na makuu, lakini hayawani mmoja kamuondolea uhai. Nashauri vyombo vya dola vifanye review ya kiusalama hasa kwa mikutano inayofanyika barabarani. Kuna watu kama Mdude na Masese huwa wanajiapiza mambo mabaya dhidi ya nchi hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…