azamtv

  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    Azam Tv Max ndio App ya hovyo kabisa kuwahi kutengenezwa

    Imagine ubora wa Azam Tv lakini wanaangushwa na App yao. Watu wana studio kali, OB Van kali, Camera za kisasa. Mnashindwaje kutengeneza App yenu iwe imara muda wote? Mtu uko mbali na nyumbani unasema ngoja nicheki boli kupitia Azam max, unakutana na changamoto lukuki. Mara App igome...
  2. Chancel Mbemba

    AzamTv bakini na League ya bongo tuu, huku kwingine hamna uwezo napo

    Yani nataka niangalie mechi za league ya italy na ujerumani kali sasahivi zinaendelea lakini ndio hivyo tena, naishia kuangalia league ya kenya na mechi ya Caf confederation. Kulikua na haja gani mkasema mnaonyesha LALIGA, SERIE A, NBC, BUNDESLIGA,SAUDI PRO LEAGUE na LEAGUE ya Kenya?? Hamuoni...
  3. comrade_kipepe

    Hivi ukitoa NBCPL, Azam TV wana nini kingine?

    Kama channel za movie ni chache Sana, Cinema zetu yenyewe kuna kipindi ilikua nzuri walikua wanaweka single movie nzuri kuanzia asubuhi Hadi usiku, usiku ndio walikua wanaweka tamthilia za Kiswahili, lakini sasahivi ni kutwa nzima wanaweka tamthilia ambayo nzuri ni moja tuu. Ukitoa Mpira wa...
  4. Mustapha maDish

    Ili kuepuka uharibifu wa nyumba/jengo na kupunguza gharama kwa wapangaji

    Hii inawahusu wenye nyumba za kupangisha ama majengo ya biashara ( kupangisha kama Office n.k ) Kwenye swala la Visimbuzi, achana na kufunga dish nyingi kwenye nyumba/jengo moja, ambapo kunakuwa na uharibifu mkubwa wa jengo kutokana na kila fundi ana ufundi wake! badala yake ifungwe dish moja...
  5. B

    Hongereni ITV habari, nimerudi kwenu baada ya kuhitimisha kwamba Azamtv (UTV) habari ni sawa TBC TU

    Huwezi Kuta habari kwa kina za masuala mazito yanayolikumba taifa hili UTV. Hii nchi ni yetu sote sio ya CCM pekee kuonesha habari ambazo ni za kusifia TU mama anaupiga mwingi. Kuna habari za mawakili kunyimwa ruhusa ya kuonana na kujadiliana na mteja wao Tundu Lissu kinyume na Sheria lakini...
  6. comrade_kipepe

    Ama hakika, azamtv wamebadilika sana

    Yani kwasasa wanakupa kitu kinachouza zaidi bila kujali itikadi ya Dini, Miaka ya nyuma wakati wanaanza hawakua hivi! Safi Sana Hongera sana Sheikh, maalimu Mzee bakhresa
  7. Mhaiki2022

    Azam TV waendelee kusimamia dondi

    Karibia mwaka sasa Azamtv wamesitisha ku promote ndondi...mpaka sasa wale mabondia wameanza kusahaulika... Viongozi wa ndondi wakaiangukie Azam na kuweka michezo hiyo kwenye channel zake... vinginevyo hali itakuwa tete...
  8. Allen Kilewella

    Azam TV onesheni takwimu za wafungaji magoli kama zifanyavyo TV za Ulaya

    Nimependa jinsi TV za ulaya zinavyoonesha takwimu za magoli aliyofunga mchezaji husika. Kwa mfano mchezaji kafunga goli kwenye mechi, basi mtaelezwa hilo ni goli lake la ngapi kwenye ligi na kwenye mashindano mengine. Lakini kinachovutia zaidi ni kwamba mnaoneshwa na hayo magoli aliyofunga...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    Tumalize utata, DStv Vs AzamTv, unaenda na ipi?

    Wakuu njooni tumalize utata, DStv Vs AzamTv unaenda na ipi kutokana na content unazopenda?
  10. Akotia

    AzamTv kama wanaweza kuwekeza kwenye ligi ya kenya watakula bingo

    Wakenya hawana kitu cha kuwashughulisha sana,tabaka la chini la Kenya wanaipenda sana ligi yao ila hawana support. AzamTv wakiwekeza mpunga kwenye ligi ya kenya hasa wakiweza kuproduce live,pia wastream kwenye app yao kwa kushirikiana na media za kenya atapata pesa bila ya kua na king’amuzi...
  11. A

    INAUZWA Agiza TV accessories na kisimbuzi utafikishiwa popote ulipo.

    Tunauza na kusambaza kisimbuzi Cha Azamtv, DSTV, Startimes na Zuku. Na accessories mbalimbali: #Remote control, #Antenna Cable #HDMI ( mita moja Hadi 20) #LNB #TVstand, n.k Pia tunatoa huduma ya ufundi wa TV, kufunga dish, kufunga TV units. Tupo Makumbusho na Kimara, Dar es salaam. +255756126081
  12. T

    Njia rahisi ya kuangalia AzamTV Max kwenye Android/Google TV

    Hii ni kwa ajili ya TV na device zinazotumia Android/GoogleTV tu hii haisupport app ya Azam bila shida nyingi za sideloading. Mfano ni Chromecast, Mi TV stick/box, baadhi ya TV za Sony, Hisense, TCL, Nvidia Shield etc. Hii haihusu TV za Samsung (Tizen), AppleTV, LG (WebOS), VIDAA OS, na TV Box...
  13. Nangose 1

    Azam TV wana shida gani? Channel zote za sports hazioneshi

    Nyie Azam TV shida yenu ni nini? mbona Channel zote za sports hazioneshi? Toka tarehe 01 August mlivyosema kuwa mnaboresha muonekano na kuongeza channel sports4 hamuonekani hadi leo hii.
  14. Kang

    AzamTV Max wanakiuka taratibu za Play Store katika malipo

    App za Play store zinabidi zitumie Google Play Subscriptions kwa ajili ya malipo na subscriptions kasoro zile app zinazouza physical goods na services zengine sio za kidigital, lakina naona Azam ukitaka kulipia wanakupeleka site isiyoeleweka ukajaze details zako zote huko hii sio sawa. Hata...
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    AzamTv wametudanganya kuhusu kuonesha michuano ya Euro

    AzamTv walitangaza kwa mbwembwe watarusha michuano ya Uefa Euro. Cha kushangaza jana hamna mechi waliyoonyesha. Na leo mpaka sasa hakuna mechi wameonyesha. Nawauliza nyie Azam Tv utapeli mtaacha lini? Au Euro ishaisha?? Anyway, imebidi nilipie DStv tu
  16. Goodluck Mchika

    Watangazaji wa Azamtv

    Nauliza watangazaji wa Azamtv kwenye Ligi kuu ya Tanzania Bara , ina maana wachezaji nje ya Simba na Yanga awawezi kupambwa kwa wanachokifanya wakiwa wanashambulia hizo timu mbili kama wao wakiwa wanashambuliwa.
  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    Siku hizi mabasi ya abiria yanafungwa ving’amuzi vya Azam TV

    Hakuna tena kukosa mechi au vipindi vya AzamTv ukiwa safarini. Baada ya AzamTv kuleta ving’amuzi ambavyo unaweza ukafunga kwenye magari, mabasi ya mikoani yamechangamkia fursa. Mabasi kama Mallesa, Achimwene na Shabiby yashafungwa na wateja wana enjoy. Tumpe mzee Bakhressa maua yake ayanuse...
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    Baruan Muhuza alishaondoka AzamTv?

    Nimekutana hii huko twitter Baruan Muhuza mmoja ya waandishi nguli na viongozi wa AzamTv ameanzisha chuo chake cha habari kijulikanacho kama Ujiji Brodcasting Academy (UBA) kilichopo Ujiji mkoani Kigoma. Hivi Baruan bado yupo AzamTv au alishaondoka?
  19. chiembe

    Baada ya Azam TV kumuajiri Aloyce Nyanda, je watakubali aigeuze kijiwe cha porojo za CHADEMA?

    Aloyce Nyanda, mwanachadema kindakindani ameajiriwa Azam Tv, katika kurasa mbalimbali za kijamii anazomiliki, amekuwa akitukana serikali na viongozi wake. Tunasubiri uongozi wa AzamTv kama watakubali awafitinishe na Serikali kwa maslahi yake binafsi na ya chama chake Cha Chadema.
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    Yanga Tv inapatikana chanel namba ngapi huku AzamTv?

    Mbona kama wametupiga sound hawa watu wa Yanga. Walizindua chanel yao kwa mbwembwe ila mpaka sasa mbona hatuioni, au ni mimi ndio sijui namba ya chaneli?
Back
Top Bottom