Millard Ayo huyu mfanyakazi wake yupo Gerezani Kisongo Arusha kwa kesi ya uhaini ila yeye kapiga kimya yupo busy na Post za Girishon.
Ndio maana leo Mauaji makubwa ya kutisha yanatokea Tanzania ila muandishi bora wa taarifa za Mauaji hayo anatoka Kenya.
Mzuka Wana Jamvi
Huu ni utafiti nilioufanya tukuanzia hapa JF unamkuta Genius Maghayo
Utangazaji MillardAyo
Muimbaji DullAyo
Kwenye Bible ZebedAyo
Kabila WakaldAyo
Mchezaji mpira AdebAyo
Mfanya biashara ChivAyo
Je una maoni yapi ?
Uzi teyari
Hii kampeni ya kutukana Millard Ayo matusi makubwa haitasaidia katika harakati zetu, I think we are attacking the wrong or weak person.
Huyu kijana hajawai kuongea jeuri kwa wananchi tofauti na watu kama kina diamond, hata kama kalipwa kupost baadhi ya vitu kama kampeni za CCM au kutopost baadh...
Chid Benz kapitia mengi Ulimwengu huu ambao na wengine wamepitia ila kimtazamo tanzania tunaona kama wakikosa mafanikio ni wamerukwa na akili.
Binadamu wanaamini ukiwa na mafanikio wewe umekamilika mpaka akili kumbe sio hivyo.
Katika kipindi cha mzee wa kepu nyuma Millard Ayo alimuuliza Chid...
Millard Ayo alisema interview ile ameigawa katika sehemu 4 ambazo zitatujia kwa awamu.
Sijaona awamu nyingine yoyote tangu ile awamu ya kwanza itoke. Kulikoni?
https://youtu.be/SsJYpX5saMM?si=yubCESsoyvMKCJxo
salamu wakuu, mbona jamaa yetu wa mawinguni hajagusa chochote kuhusu habari inayoshika nafasi kubwa hivi sasa ya bwana Polepole,
nini shida? anaogopa? au anaona akippst, hatopiga picha na rais.?
Nimepitia mitandao yote sijaona ripoti yake kuhusu Polepole kujiuzulu..
Kama ni kweli, kwanini ?
I STAND TO BE CORRECTED AND APOLYGIES IN ADVANCE IF I AM WRONG/MISTAKEN
Nimeanza kumcheki jamaa mida ya saa 6 usiku, ubao wa followers IG ulikua unasoma hivi (note muda juu kulia)
Saa moja baadae saa 7 usiku, ubao unasoma hivi:
Imagine hii ni usiku wa manane amwpoteza zaidi ya watu 200, je mchana itakuaje?
Ngoja nifuatilie hii.
Naibu Katibu wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo Chikala amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Arumeru Mashariki.
Shangwe amechukua fomu kwenye ofisi za Jimbo la Arumeru Mashariki zilizopo Tengeru Arusha, leo tarehe 18/05/2025.
Pitapita yangu nikakutana na habari za huyu millard ambaye kwa sasa uwezi kumuona mambo ya ukweli yupo na kusubiri matukio tu.
Nisioongee sana kwa mtu mwenye akili ya utanda wazi hapa kaunda nini zaidi ya kununua na kuboresha.
kwani ukisema kabuni mfumo kwenye robot ni kosa.
Leo nimejaribu kuingia katika tovuti ya MillardAyo.com na nimepata ujumbe huu:
Overdue Hosting Payment - Site SUSPENDED!
This website is down due to the client's failure to pay for hosting for the past 5 years.
It will be back online once this is resolved!
Kama ni kweli kwanini Millard Ayo...
“Refa wa leo apewe derby nimependa namna ambavyo ametafsiri sheria ya mpira, Simba penalty zote 3 ni clear kabisa hakuna doubt hata kidogo.
Huu mpira tunaucheza na tunaujua lazima tuwe wakweli
Kudos kwa mwamuzi...hajaangalia idadi ya penalty anazotoa ameangalia zaidi matukio”
Hayo ni maneno...
Pave Ayo Blog ni chanzo kinachopaswa kuondolewa mtandaoni kutokana na kueneza habari za kupotosha.
Tovuti hii imejikita katika kutoa taarifa zisizo sahihi na za kupotosha, ambazo zinaweza kuathiri mtazamo wa jamii na kuleta machafuko. Habari zinazotolewa kwenye blogu hii mara nyingi haziwezi...
TAMKO KULAANI KUVAMIWA KWA MWANDISHI WA HABARI
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali kitendo cha kuvamiwa na kuzuiwa kufanya kazi za uandishi wa habari kinyume na sheria kwa mwandishi wa habari wa Ayo Tv kilichotokea jana Ijumaa Septemba 19, 2024 akiwa...
Kuna tukio limetokea hapa mtaani kwetu Monduli, Arusha, kuna Watoto wawili walipotea katika mazingira ya kutatanisha siku kadhaa zilizopita.
Leo tarehe 19, Septemba 2024 mmoja kati ya Watoto wale mwili wake umeonekana maeneo fulani, Mwandishi wa MillardAyo.com akafika hadi eneo la tukio kwa...
Habari watanzania wote.
Nijikite moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kilivyo.
Katika hali isiyo ya kawaida, kuna media zimeanza propaganda ambayo wao wanafikiri hatujui hesabu zao na kilichopangwa nyuma yao.
Naombeni niwaambie ukweli, yule maulid anaweza kusamehewa, lakini nyie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.