awasili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. onemediaonline

    Rais Museveni awasili Tanzania kwa ziara ya kikazi

    #onemediaupdates🇹🇿 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2026.
  2. B

    Makamu wa Rais Dr. Emmanuel Nchimbi awasili Zambia

    19 November 2025 Lusaka, Zambia Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi awasili Zambia Kushiriki utiaji saini wa makubaliano ya ufufuaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania – Zambia (TAZARA) Makamu wa Rais wa Tanzania, John Nchimbi, amewasili nchini Zambia kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Vyombo vya...
  3. Roving Journalist

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awasili Nchini Belarus kwa ziara ya Kikazi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) amewasili jijini Minsk, Belarus kwa ziara ya kikazi ya siku nne kuanzia tarehe 21 hadi 24 Julai 2024. Alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa nchi hiyo, Mhe. Waziri Mkuu alipokewa na Naibu Waziri Mkuu wa Belarus...
  4. L

    Kanda ya Ziwa yasimama Rais Samia; Awasili Jijini Mwanza na kupokelewa na Maelfu ya Wananchi Wenye Nyuso za Tabasamu na furaha akielekea Mkoani Simiyu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge Amewasili Mkoani Mwanza...
  5. Ojuolegbha

    Waziri Kombo awasili Kosovo kwa ziara rasmi

    WAZIRI KOMBO AWASILI KOSOVO KWA ZIARA RASMI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasili jijini Prishtina nchini Kosovo kwa ajili ya kuanza ziara rasmi pamoja na kushiriki Mkutano wa Tatu wa Kimataifa kuhusu Wanawake, Amani na Usalama...
  6. Ojuolegbha

    WAZIRI KOMBO AWASILI KAMPALA

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mjumbe maalum, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Kampala Uganda na kupokelewa na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Meja Jenerali Paul Simuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe...
  7. S

    Ibrahim Traore awasili Moscow-Urusi kuhudhuria sherehe za kumbukumbu ya ushindi dhidi ya Wanazi

    Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore amewasili mjini Moscow nchini Urusi leo tarehe 8 Mei 2025. Kapteni Traore ni miongoni mwa viongozi walioalikwa nchini Urusi kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kumbukumbu ya ushindi walioupata Urusi dhidi ya wanazi kutoka nchini...
  8. Ojuolegbha

    Rais wa Msumbiji awasili nchini kwa ziara ya kitaifa

    RAIS WA MSUMBIJI AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KITAIFA Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Chapo, amewasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 7 hadi 9 Mei, 2025 kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika...
  9. Ojuolegbha

    Balozi Matinyi awasili Uswidi

    Balozi wa Tanzania nchini Uswidi, Mhe. Mobhare Matinyi (kulia katikati) akizungumza na maafisa itifaki wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufalme wa Uswidi pamoja na maafisa wa ubalozi wa Tanzania nchini humo mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa jijini Stockholm, Ijumaa tarehe 2 Mei, 2025.
  10. Ojuolegbha

    Waziri Kombo awasili ANTALYA kwa ziara ya kikazi

    WAZIRI KOMBO AWASILI ANTALYA KWA ZIARA YA KIKAZI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasili jijini Antalya, Uturiki kwa ziara ya kikazi anayotarajia kuifanya nchini humo kuanzia Aprili 11 hadi 13, 2025. Akiwa katika ziara hiyo...
  11. Ojuolegbha

    Rais Dkt. Samia awasili Harare Zimbabwe

    Matukio mbalimbali ya kuwasili kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Mugabe, Harare nchini Zimbabwe kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaofanyika leo...
  12. Magical power

    Ally Kiba Awasili Kariakoo

    Ally Kiba Awasili Kariakoo @ Wasanii tujifunze kitu kwa huyu mkongwe kwenda kutoa msaada Na siyo Kutupigia Kelele kwenye mitandao😭 Ukiwa kwako Ukiomboleza Chumbani kwako😭 Tufanye Vitendo 😭😭😭
  13. Waufukweni

    Waziri Mkuu Majaliwa awasili lilipoporomoka jengo Kariakoo, uokoaji waendelea

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasili Kariakoo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujionea hali ya uokoaji inavyoendelea katika jengo la ghorofa liliporomoka leo Jumamosi Novemba 16, 2024 asubuhi. Soma, Pia: • Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16 • Rais Samia atoa pole kwa...
  14. J

    Rais Samia awasili China kushiriki mkutano wa FOCAC

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China kwa ajili ya kushiriki mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) leo Jumanne, Septemba 3, 2024. Pia soma: Je, ni kwa jinsi...
  15. Pfizer

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Pindi chana awasili ofisini, awataka watumishi kutekeleza 4R za rais samia kwa vitendo

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Hazara Chana (Mb) amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini na kumteua kusimamia kwa mara nyingine Wizara ya Maliasili na Utalii. Ameyasema hayo leo Agosti 19,2024 aliporipoti katika...
  16. Ojuolegbha

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango awasili Comoro

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Prince Said Ibrahim uliopo Moroni nchini Comoro tarehe 25 Mei, 2024. Makamu wa Rais anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu...
  17. J

    Waziri Bashungwa awasili Manyara kushuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi barabara

    BASHUNGWA AWASILI MANYARA, KUSHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI BARABARA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili Wilayani Babati Mkoani Manyara ambapo atashuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa barabara ya Dareda - Dongobesh (km 60), Sehemu ya Dareda Centre hadi Dareda...
  18. J

    Bashungwa awasili wilayani Mafia kwa ziara ya kikazi

    BASHUNGWA AWASILI WILAYANI MAFIA KWA ZIARA YA KIKAZI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili wilayani Mafia mkoani Pwani kufanya ziara ya kikazi ambapo amepokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Aziza Mangosongo, leo tarehe 22 Machi 2024. Bashungwa amepokelewa pia na Mbunge wa Mafia...
  19. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Awasili Wilayani Mafia kwa Ziara ya Kikazi

    BASHUNGWA AWASILI WILAYANI MAFIA KWA ZIARA YA KIKAZI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili wilayani Mafia mkoani Pwani kufanya ziara ya kikazi ambapo amepokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Aziza Mangosongo, leo tarehe 22 Machi 2024. Bashungwa amepokelewa pia na Mbunge wa Mafia...
  20. Erythrocyte

    Freeman Mbowe awasili Mkoani Mbeya tayari kwa Maandamano ya Amani

    Hii ndio taarifa mpya ya sasa , kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania amekwishatua Jijini Mbeya , hii maana yake ni kwamba ataongoza Maandamano ya Amani ya kupinga dhiki , Ufukara na Ugumu wa Maisha , Pamoja na miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi
Back
Top Bottom