awamu ya sita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wabunge wa COVID 19 na Hatma ya serikali ya awamu ya sita na kufeli KWA TISS 2020!

    Wakuu Baada ya uchaguzi mbovu wa 2020,kulijitokeza dosari kubwa Sana ya uundaji wa serikali KWA mihimili mitatu hasa wa Bunge ambao ulikosa UHALALI wa kisheria KWA kukosa wapinzani wakutosha Bungeni. KWA kutambua hilo UHUNI ulifanyika KWA mara ya pili KWA KUINGIZA wabunge ambao hawana baraka za...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanaonekana wa muhimu kuliko vyama vingine awamu ya sita?

    Chadema wamesimama imara na misimamao Yao imewafanya waitwe ikulu Kwa heshima na siyo kwenda tu: lakini pamoja na nguvu waliyonayo kwanini wanavifanya vyama vingine kama siyo wapinzani? Akina Lipumba na Zito hata Mbatia wamepotelea Wapi kwenye ramani ya siasa? Lakini pia kuitwa kwao ikulu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Awamu ya sita mnajiwakilisha walamba asali

    Serikali awamu ya sita mmeeleweka vyema. Mko kwa maslahi yenu zaidi. Mnajiwakilisha wenyewe: Ninyi ni serikali ya walamba asali. Kwa kututelekeza na hili la mafuta kama ya lile la madhara ya Corona, wala msijisumbue kutafuta mitano mingine. Mlikotufikisha tambueni kuwa mtavuna mnayopanda...
  4. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG kwa mwaka wa fedha 2025/2026 au 2030/2031 itaonesha ubadhirifu wa awamu ya sita

    Kwa namna siasa zetu zilivyo tutarajie kwamba . Kama Samia atapita 2025 basi mambo yatabakia hivi hivi nikimaanisha kwamba ripoti ya fedha kwa mwaka 2025/2026 ya CAG itakua safi sana. Ila kama mambo yakiwa tofauti basi isikilizie kwani lazima itaukandia mno awamu ya sita. Lakini kwa uhakika...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya Sita inaupiga mwingi...Sikia Video hii

    Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan imedhamiria. Tazama video hii
  6. F

    JamiiForums Tanzania Jenister Mhagama wa Awamu ya Tano akikutana na huyu wa Awamu ya Sita watapigana sana

    Waziri Jenister Mhagama wa awamu ya tano alikuwa ana amini watumishi wa umma hawapaswi kuongezewa mishahara Wala kupandishwa madaraja kwa kuwa nchi ilikuwa inachengwa kwanza nyongeza ya mishahara na kupanda madaraja vyote vilikuwa Kwenye miundo mbinu kama barabara, eli nk Ni waziri ambaye...
  7. JamiiForums Tanzania Mtoto pendwa wa awamu ya sita ni nani?

    Wakuu Kila awamu huwa kuna mtotompendwa serikalini ambaye hata akifanya madudu huwa haguswi wala kukalipiwa, Inawezekana marope ni mtoto mpendwa wa awamu hii, huyu mwamba hiwa simkubali tangu enzi za muswada wa cyber crime. Je huyu ndiye mwana mpendwa wa awamu hii au kuna mwingine?
  8. JamiiForums Tanzania Mwanzo wa kufeli kiuchumi Serikali ya awamu ya sita

    Salam kwa Jamhuri Kama raia wa kawaida mwenye mamlaka kamili kulinda na kuisimamia nchi yangu sitasita kuusema ukweli ninaoushuhudia na kuuchakata kichwani mwangu kisha kushauri inapobidi kutenda. Dhahiri shahiri Serikali hii ya awamu ya sita haikujiandaa kwa lolote kuwepo madarakani, hivyo si...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ninayoyasikia mtaani juu ya watumishi wa Umma katika awamu ya sita yanatisha

    Siku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma. "Ukienda ofisi ya Umma bila kutoa chochote yawezekana usipate huduma inayoridhisha na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya Sita, inaunga mkono jitihada za kukiendeleza Kiswahili

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tannzania inathamini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili duniani na kuifanya lugha hiyo kuwa yenye hadhi. Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais wa Jumhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango wakati wa ufunguzi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Biteko: Mchango wa sekta ya Madini umekua hadi kufikia asilimia 7.3 ya Pato la Taifa, katika kipindi cha Mwaka Mmoja wa Rais Samia

    HOTUBA YA WAZIRI WA MADINI MHE. DKT. DOTO BITEKO (MB) AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI WAKATI WA MAADHIMISHO YA MWAKA MMOJA WA SERIKALI YA AWAMU YA SITA MADARAKANI TAREHE 10 MACHI, 2022 KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WIZARA YA MADINI, DODOMA Bw. Adolf Nadunguru, Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wanaosifia kiingereza cha awamu ya Sita walisifia kiswahili cha awamu ya Tano

    Jambo lakimaskini na kifukara la wanasiasa hafifu kifikra nikufikia hatua yakusifia lugha. Nilichukizwa na Kiswahili kutumika kisiasa awamu ya Tano na watu wenye madaraka kuacha kushughulika na matatizo ya wananchi nakufungua mjadala wa kiswahili.Wasiojua kiswahili wakatuamunisha kutumia...
  13. JamiiForums Tanzania Wabunge tuache kufananisha awamu ya Tano na ya Sita, tunakosea sana

    Awamu ya Tano haikuwa awamu ya Sayansi, Sheria na Demokrasia. Ilikuwa ni awamu ya mambo yaende yatake yasitake, utake usitake. Awamu ya Tano iliamini kuwa sayansi, sheria na demokrasia ni nyenzo za kuchelewesha mambo kwa kuongeza ukiritimba. Awamu ya Tano iliendesha nchi kama vile dereva...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Tano ilikamata na kubambika kesi, awamu ya sita inafunga

    Kama mtakumbuka mwaka jana DPP alianza kufuta kesi zote walizofunguliwa watu wakubwa nchini wakiwemo wanachama wa chama Cha mapinduzi. Hadi Sasa pamoja na ubadhirifu wote uliofanyika hakuna hukumu iliyotolewa Kwa Kiongozi yeyote wa chama Cha mapinduzi inayomfanya akae kifungoni. Wakitenda...
  15. JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita ni ushahidi safi wa utii wa Katiba yetu tunayoapa kuilinda

    Awanu ya sita ni awamu ya Katiba, ni ushahidi tosha kuwa kutii na kuheshimu Katiba ya nchi kunalipa sana. Taifa limevuka salama baada ya kifo cha Mh. Rais Magufuli kwakuwa Katiba yetu haikupepesa macho juu ya Rais ajae baada ya Rais aliyeko kubata bahati mbaya. Katiba yetu ndiyo Nyangumi wetu...
  16. JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita inaendeleza tabia ya kuitenga mikoa ya Nyanda za Juu Kusini na Kusini

    Salamu kwenu. Naona viongozi wa awamu ya 6 wanaendelea na tabia ya kuitenga mikoa ya Kusini kwenye maeneo mengi tu. Chief Hangaya yeye amejikita Dodoma, Kanda ya Ziwa, Dar, Kanda ya Kaskazini na Zanzibar. Mwisho wa mwaka Rais alikuwa awe mgeni Rasmi Siku ya Ukimwi Duniani na hakuja, hakuna...
  17. JamiiForums Tanzania Awamu ya sita ukipata teuzi unaweza kufanya tafrija kusherehekea

    Awamu ya Magufuli aliwaambia wateule wake nikikuteua usifanye sherehe maana umetwishwa mzigo. Yaani kama ukishindwa kuubeba anakutua wakati wowote. Tena alikua 0 tolerance vitendo vya ufisadi. Akasema ukila hela ya umma akijua utaitapika. Awamu ya 6 ukiteuliwa uwaziri au teuzi yoyote unaweza...
  18. JamiiForums Tanzania Ikitokea unawaza kwa sauti juu ya mabadiliko yaliyotokea uongozi wa awamu ya tano na ya sita, kwa huu muda mfupi unafikiri tutasikia maneno

    Kwanza natoa pongezi kwa uongozi wote wa awamu ya sita kwa jitihada kubwa inayofanywa hasa ya kuondoa ujinga kwa watoto wetu kwa kuwekeza nguvu kubwa kwenye kujenga shule na hospitali kila mahali kwa speed ya hali ya juu na kuendana na mahitaji na muda unaotakiwa, jambo ambalo limelazimika hadi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita imeshakopa Trillion 10 ndani ya miezi 9 madarakani. Tunaomba ufafanuzi

    Mbatia katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka alisikika akisema mpaka sasa Serkali ya awamu ya sita imeshakopa takriban Trillion 10 tokea iingie madarakani! Nauliza kwanini serikali haiji kutoa ufafanuzi wa kutosha badala yake kufunika funika mambo?. Mheshimiwa Spika Ndugai japo kaomba msamaha...
  20. JamiiForums Tanzania Assessment ya Utawala wa Awamu ya 6 tangu Machi hadi leo Desemba 31, 2021. So far so good, hongera Samia!

    Utawala wa Awamu ya sita ulianza rasmi tarehe 17 mwezi machi mwaka 2021, Rais Samia alichukua kiti cha Uongozi baada ya kifo cha JPM. Katika miezi hii 9 na ushee Mama huyu alipochukua kiti cha Uongozi napenda kusema nimeridhika kwa namna ambayo analiongoza Taifa letu pendwa la Tanzania. Amepata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…