awali

Awali is a small municipality located approximately in the centre of the Kingdom of Bahrain, a small island in the Persian Gulf. Founded in the 1930s by the Bahrain Petroleum Company, it is populated mostly by workers of various nationalities from around the world whose skills were needed in the setting up and running of the refinery at Sitrah. To its north are Bahrain's oil refinery and to its south are the oil wells and the desert area of Sakhir.
It has a population of 1769 citizens.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Jimbo la Geita (CHADEMA)abadilishiwa mashitaka na kusomewa shitaka la ugaidi. Awali alishitakiwa kwa njama za kuua askari

    Ugaidi huu wa Tanzania ni tofauti na ule aliokuwa anaufanya Osama bin Laden?👇
  2. JamiiForums Tanzania Lipi ni tatizo hadi wanaume kunyanyapaa wanawake waliowahi kuwa na wapenzi wengi awali?

    Kwa wanaume wanatafuta wake au wenza wa kudumu tatizo huwa ni mwanamke kuwa na wanaume wapenzi wengi kabla ya ndoa au aina ya wanaume aliokuwa nao kama wapenzi wake? Mimi naona kama mwanamke alikuwa na wapenzi wengi wakiwa maarufu au watu wa hadi hata akazaa nao sidhani kama hunyanyapaliwa kama...
  3. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lijenge utamaduni wa kutolea mrejesho matukio yenye maslahi kwa umma wanayotelea taarifa za awali

    Kwa nyakati tofauti, Jeshi la Polisi limekuwa likijikuta kwenye mtihani wa kuaminika mbele ya umma kutokana na matukio yenye utata ambayo huacha maswali mengi bila majibu ya wazi. Mara nyingi, taarifa za awali hutolewa, lakini baada ya hapo umma hukosa mrejesho kuhusu hatua za uchunguzi au...
  4. JamiiForums Tanzania Maono ya kuanzisha na kumiliki shule ya Awali na Msingi

    Habari, Kwa muda sasa tangu nimehitimu chuo Kikuu nimekuwa na ndoto ya kuanzisha na kumiliki shule ya Awali na Msingi japo kuwa tangu nimalize chuo mwaka 2018 sijafanikiwa kupata ajira hivyo nimekuwa nikijiajiri mwenyewe kupitia kituo Cha Masomo ya ziada ( Tuition Center) na Chekechea. Je Kuna...
  5. JamiiForums Tanzania Magufuli alikufa kwa Corona hata kama maandiko ya awali yana match tulichosema Mwaka huo, tuache conspiracy

    Naona wananzengo wanaleta hata tweet nilizofuta sijaelewa kwanini zitrend muda huu! Kiufupi Magufuli alipuuza masuala ya wataalamu akaleta kujifukiza Kumbe anajimaliza yeye na battery ya moyo Ujumbe nilopewa na mstaafu hauna uhusiano na kifo chake Je kwanini trend now nisiletewe matatizo...
  6. JamiiForums Tanzania Manchester United wamefikia Makubaliano ya awali na Atalanta kumnunu Kiungo Ederson kwa €45m

    HERE WE GO! Kwa mujibu wa Fabrizio Romano na Sky Sport Manchester United imefikia makubaliano ya Kumunua kiungo wa mpira kutoka Atalanta ya Italy kwa kiasi cha €45 sawa na £39 na nyongeza zinazoweza kuongezeka kama atafikia mafanikio fulani. Ederson ata sign mkataba wa miaka minne na mwaka...
  7. JamiiForums Tanzania NASA wamerudi tena Mwezini, na tayari picha za awali zimeanza kuachiwa — Je, Wale wabishi wa ‘Moon Hoax’ Bado Wataendelea Kubisha?

    Juzi tarehe 1 tumeona team ya Artemis II kutoka NASA imefanya tena ziara ya kuelekea mwezini ambayo itachukua siku 10 na leo tayari picha za awali zimeanza kusambazwa. Hii siyo simulizi ya karne ya 20 tena, bali ni ushahidi wa karne ya 21 unaoonekana kwa macho. Lakini ni kama umekuja wakati...
  8. N

    JamiiForums Tanzania JamiiAI: Mafanikio Katika Majaribio ya Awali ya Akili Mnemba "JamiiAi" niliyewaletea ili kuisaidia jamii ya kiswahili

    LOGO rasmi ya jamiiAi  Utangulizi Katika enzi ya maendeleo ya kasi ya teknolojia ya akili bandia, ujio wa akili mnemba inayojulikana kama Jamii AI umeleta matumaini mapya katika sekta ya kidijitali. Kupitia majaribio ya awali yaliyofanyika, Jamii AI imeonesha uwezo mkubwa wa kiufundi, kasi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua Mpango Mkakati wa KKK kwa Watoto wa Awali, Darasa la I na II

    https://www.youtube.com/live/6AuU7vpGdDs
  10. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongoza mazishi ya Mtei na sio Serikali kama ilivyofahamika awali

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara, John Heche, amewasili nyumbani kwa marehemu Mzee Edwin Mtei kuongoza mazishi ya mwanzilishi wa chama hicho. Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Samweli Welwel, amesema ratiba ya maandalizi kuelekea maziko ya Mzee Mtei...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya IDF kuwapiga kwenye mshono Iran leo wamelalamika!!

    Baraza la Ulinzi la Kitaifa la Iran limetoa taarifa inayopendekeza kwamba linaweza kuanzisha shambulio la mapema dhidi ya Israeli(Preemptive-Strike)‼️ "Usalama, uhuru, na uadilifu wa eneo la Iran ni mstari mwekundu ambao haupaswi kuvukwa. Uchokozi wowote au tabia yoyote ya uadui inayoendelea...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Abraham Moris wa Simba asaini mkataba wa awali Yanga

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hii siyo tetesi tena Kijana kasha sain mkataba wa awali Yanga Japo kuwa tajiri kasema kijana avunje mkataba kabisa alipe pesa Kisha asepe, lakin kijana amekataa anasema ngoja amalizie miezi yake sita iliyobaki ndo atue jangwani Karbu...
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna Haja Ya Kuandamana Na Kupoteza Uhai,Damu Iliyomwagika Awali Inatosha

    My people, Natambua kabisa bandiko hili halikubaliki kwa wengi wenu na mna haki ya kufanya hivyo kama ambavyo nami nina haki ya kuandika haya Guys Serikali inaondoka madarakani pale tu ambapo jeshi au majeshi ya Ulinzi na Usalama yakiwa pamoja na wananchi na kujitenga na Dola,hapo ndio mtegemee...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Na hatimae Samia amekiri kuwa waliouawaa ni watanzania na sio kama alivyokuwa anasema awali kuwa hawakuwa watanzania. ila huyu mama

    Na hatimae Samia amekiri kuwa waliouawaa ni watanzania na sio kama alivyokuwa anasema awali kuwa hawakuwa watanzania. ila huyu mama anatuchukuliaje sisi?
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Waangalizi SADC: Uchaguzi Mkuu wa Tanzania haukuwa HURU wala wa HAKI

    Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) imesema kuwa uchaguzi uliohitimishwa hivi karibuni nchini Tanzania haukutimiza viwango vinavyohitajika ili kutangazwa kuwa huru na wa haki. Katika ripoti yake ya awali, Ujumbe wa Waangalizi wa SADC (SEOM) umebainisha kuwepo kwa vitisho...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Awali hatukufanya haki kwenye kugawana ardhi, kiwanja kimoja kinamilikishwa watu watatu watatu

    "Awali hatukufanya haki kwenye kugawana ardhi, kiwanja kimoja kinamilikishwa watu watatu watatu hasa hapa Dar Es Salaam, Migogoro ya ardhi unakuta shamba la mtu huyu anapewa hati mtu mwingine, lakini haya yote sasa yameondoka, ardhi yetu tumeipima, tunaendelea kuipima na kama mmesikia nilisema...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga mnapigisha shot ili Yanga itolewe hatua za awali, kubadili hamasa ya maandamano

    Sisi Wanachama wa Yanga wazalendo tuliwaasa kuhusu kujihusisha na siasa hasa CCM Sasa Kuna tetesi kuwa mmetumwa na CCM ili mfanye muwezavyo ili Yanga itolewe hatua za awali ili kubadilisha mjadala na hamasa za maandamano Kwamba vijana na Mashabiki wa Yanga watumie muda huu wa dhahabu...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Hata Capt. Traole awali alipingwa sana na wahuni wanaoitafuna nchi lakini Mungu almsaidia: Hivyo Msiwashangae hawa

    Mnamo mwaka 2022 jina la kapteni Traore liliibuka huko Nchini Bukina faso baada ya utawala goigoi wa rais DAMIBA Malalamiko ya wananchi kushambuliwa yalikuwa makubwa sana jambo lililoibua taharuki kubwa sana wakati huo! Vijiji na miji mbali mbali ilishambuliwa pasipo serikali ya Damiba...
  19. JamiiForums Tanzania Dalili za awali wa anguko la CCM

    Sasa sio siri tena, watanzania tumechoshwa na uonguzi uliokebehi uonevu, ufisadi na an oppressive one. Mungu isaidie tanzania. Mungu tuongoze. Revolution is a process, itachukua muda ila ikianza hakutokuwa na solution hadi tutapofikia matakwa yetu ya uongozi thabiti. Kwa haya yanayoendelea...
  20. JamiiForums Tanzania Watoto wa Shule ya Awali ya Feza Wajifunza Mbinu za Kujiokoa Wakati wa Moto

    Dar es Salaam – Katika siku ya Ijumaa ya Agosti 22, 2025, wanafunzi kutoka Shule ya Awali ya Feza jijini Dar es Salaam walionekana wakifanya mazoezi ya kipekee ya namna ya kujiokoa iwapo jengo linawaka moto. Wakiwa chini ya uangalizi wa walimu wao na maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…