Rais wa Nepal, Ramchandra Poudel, amelivunja bunge na kuitisha uchaguzi mpya utakaofanyika ifikapo Machi 5, 2026. Hatua hiyo imekuja baada ya wiki moja ya machafuko makubwa yaliyosababishwa na maandamano ya vijana.
Uamuzi huo ulitangazwa jana Ijumaa, saa chache baada ya Rais Poudel kumteua na...
Wakuu,
Naanza kuamini Tanzania unaweza ukakuta Tanzania kweli ni chaneli ya vichekesho huko mbinguni
Mwanri kaendelea kutoa comedy kwa ujumbe katika harakati za kupata maoni huko Sia
Waziri mkuu wa Israel amevunja ghafla safari yake iliyopangwa kwenda Azerbajan wakati wito wa maelfu ya askari wa akiba umetolewa ili waende kuongeza nguvu kupambana na huko Gaza.
Hali hiyo imekuja ikiwa ni zaidi ya miaka miwili ya vita na jeshi la Israel likiwa limefunga mipaka yote ya Gaza na...
Mpwa avunja nyumba ya mama yake baada ya mjomba wake kung'ang'ania kwa muda mrefu
Ulitokea mgogoro wa muda mrefu kati ya mpwa na mjomba wake huku chanzo cha mgogoro huo kikisababishwa na tabia ya mjomba wake kung'ang'ania mali za mama yake
https://www.facebook.com/share/v/1Zh6RTrPM5/
Leo tarehe 23/02/2025 huko nchini Korea Kusini bendera ya taifa imepeperushwa vyema na kijana Mtanzania Gabriel Geay kwa kuvunja rekodi ya mbio za Daegu Marathon (course record) kwa kutumia muda wa masaa 2:05:20 na kuibuka wa kwanza. Ikumbukwe Geay ndo anashikilia rekodi ya taifa ya marathon kwa...
Kiungo mkongwe Yannick Bangala amevunja mkataba na klabu ya Azam baada ya kupishana na kocha wake Rached Taoussi.
Bangala ambaye aliichezea Yanga misimu miwili kabla ya kutimkia Azam msimu uliopita tangu atimkie kwa matajiri hao wa Chamazi hajawa na rekodi nzuri kulinganisha na timu aliyotokea...
Muda mchache uliopita Rais wa Korea kusini ametangaza Hali ya hatari na kusema kuanzia Leo serikali inaongozwa chini ya sheria ya kijeshi, amevunjwa Bunge , vyombo vyote vya habari vipo chini ya serikali, hakuna maandamano Wala shughuli zozote za kisiasa.
Inasemekana wabunge wa upinzani ambao...
Mwanariadha wa Jeshi la Polisi, Konstebo Transfora Mussa ameibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa Wanawake kupitia mbio za kilometa 10 katika mbio za Fulham 10k zilizofanyika Nchini Uingereza Novemba 17, 2024 huku akifanikiwa kuvunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa kwa kukimbia muda mfupi zaidi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, akizungumza katika ziara yake Temeke ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi hapo jana Oktoba 1, amevunja ukimya kuhusu matukio ya utekwaji wa watu na maandamano yaliyofanyika na CHADEMA Septemba 23 katika jiji hilo...
Rais Bassirou Diomaye Faye amevunja Bunge linaloongozwa na Upinzani kwa kile kilichoelezwa ni kuondoa mvutano uliopo kati ya Wabunge na Mhimili wa Serikali.
Hatua hiyo inakuja ikiwa ni miezi 6 tu tangu Serikali mpya ilipoingia Madarakani huku akieleza Bunge hilo linaloongozwa na upinzani...
Trump aliwahi kufungiwa kwenye mtandao wa X kipindi ukiwa unaitwa Twitter, Akaanizisha platform yake inayoitwa Truth kwasababu kwa kipindi hicho mtandao wa Twitter ulianza kuegemea zaidi maono ya Democrats, Hivyp watu wengi wenye sera za Republicans walipigwa BAN akiwemo Trump.
Baada ya Elon...
Emmanuel Wanyonyi (20) ameshinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 800 kwenye Olimpiki za Paris Agosti 10, 2024. Inadaiwa ndio Mshindi mwenye umri mdogo zaidi kushinda katika mbio za mita 800 akiwa mwanariadha wa tatu mwenye kasi zaidi duniani.
Wanyonyi alikimbia kwa muda wa 1:41.19 na...
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN amezungumzia utendaji kazi wa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na kusisitiza kuwa ukitaka kufanikiwa kwenye Kilimo mpe jukumu hilo Msomali.
Pia soma:Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania
Ni wazi kwamba hakujawahi kutokea msanii aliyewahi kuachia Albamu yenye nyimbo zinazosifia tu Mamlaka. Wasanii wengi uachia tu Single track za kusifia mamlaka au kiongozi wa juu wa serikali, lakini Mmakonde huyu ameenda mbali zaidi na kuachia Album yenye nyimbo zote zinazosifia Mamlaka na...
MBUNGE NDAISABA AVUNJA NGOME ZA CHADEMA NGARA, WAPIGWA MLALO WA MENDE
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mkoa wa Kagera, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro katika ziara yake ya kikazi Jimboni wakati akizungumza na wananchi ameendesha Kampeni na zoezi la kuwapokea na kuwakaribisha mamia ya wanachama wa CHADEMA...
MAREKANI: Nyota wa Mpira wa Kikapu, LeBron James amevunja rekodi yake mwenyewe kwa kuwa Mchezaji wa kwanza wa Mchezo huo kufikisha Pointi 40,000 katika historia ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Kikapu nchini humo (NBA)
Mwaka 2023, 'King James' anayeichezea Los Angeles Lakers alimpita nyota...
Jackline Juma Sakilu AVUNJA Rekodi ya Taifa kwa sekunde 33, kwenye Mbio Ndefu za Kilomita 21, Kwa kushika nafasi ya Tatu Kwa Muda wa 1:06:04 (Half Marathon) Tarehe 24/02/2024 , Rekodi ya Taifa ambayo iliyokuwa inashikiliwa na Magdalena Shauri kwa muda (1:06:37) toka tarehe 21 February 2020...
Tamasha la nyota wa muizki wa R&N, Usher katika Super Bowl LVIII ndio Onyesho la Halftime lililotazamwa zaidi katika historia.
Siku ya Jumanne, Front Office Sports iliripoti kwamba kipindi cha dakika 13 kilikuwa na wastani wa kutazamwa mara milioni 129.3. Rekodi ya awali ilikuwa ya Rihanna wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.