avatar

  1. Enter Passcode

    Nini sababu/chanzo/lengo la kutumia ID/ avatar unayotumia hapa jukwaani?

    Itifaki imezingatiwa, Wakuu, binafsi chanzo cha kutumia id-enter passcode ni shemeji/wifi/mtoto/mjukuu wenu, simu niliijaza pass words mpaka akitaka kufungua app yoyote inamdai aingize codes, Baada ya kukuta na camera ya simu inamuhitaji code, alishindwa kujifotoa na kunipa jina zuri kama hili...
  2. YE67NBE

    Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

    Wakuu za sahizi, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nipo hapa nacheka kaa fala kwa kweli. Hii ni baada ya kuona baadhi ya wanaume wanadatishwa kwa avatar za wanawake humu ndani bila kuangalia uhalisia. Asee nyie watu mnaenda kupigwa huko na vitu vizito watu mpaka mnaotana aseee 😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Huwezi kuwa serious, kabisa...
  3. Kilimbatz

    Ukiacha kwenye cinema wapi naweza kuangalia muvi ya avatar?

    Kwa sasa nipo bush na sina uhakika wa kurudi town hivi karibuni Je kuna yakuniwezesha kuangalia muvi hii?
  4. Superbug

    Avatar ya tapaiko na mkeho

    Kuna watu wananifwata inbox kwasababu ya hiyo avatar. Please stop that mimi ni janadume lenye madevu mengi hiyo avatar ni manzi angu.
  5. Richmoto Kushmoto

    Avatar the Last Airbender Part 2 naipataje?

    Morning guys hii movie nimekuwa nikiitafuta kwa muda mrefu bila mafanikio huu ni mwendelezo wa avatar the last airbender part 1 hii ni part 2 Naweza ipata kwa website wazee mnipe muongozo
  6. Da'Vinci

    Box Office battle: Avatar Vs Avengers

    Wapenzi wa movie😅😅😅 Tulishachotwa akili kweli na hawa watengenezaji wa muvi. Hivi lini bongo movie tutafika huku..walishawahi kupata hata Tsh 10Mil???. Issue Ipo hivi.... Muvi ya Avatar ilitoka 2009 ikashika rekodi ya kua muvi iliyoingiza pesa nyingi zaidi duniani baada ya kuvunja rekodi za...
  7. Miguel Alvarez

    Msaada namna gani naweza kubadili avatar

    Naomba msaada wakuu,ni.namna gani naweza kubadili avatar..?
  8. Kiboko ya Jiwe

    Avatar yangu ina ujumbe mzito

    Hii avatar yangu naweza kusema ndio avatar ya mwaka 2020/2021.
  9. D

    Natafuta kazi

    Naitwa Irene ,nimuhitimu form six naishi dar natafuta kazi wapendwa any one atakae sikia any updates nsaidie kunijulisha ,available 0755245221
Back
Top Bottom