auawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Kiongozi aliyezima maandamano kwa kuua raia Iran naye auawa

    Ni dhahiri raia wa Iran wanahusika pakubwa kwenye kutoa taarifa nyeti kwa Israel, maana sielewi hawa Israel wanafaulu vipi kuwapukitisha viongozi wa Iran, jamaa wanauawa kizembe sana. Huyu hapa aliongoza kikosi katili cha Basij kilichochinja sana raia kwenye maandamano, kashushiwa kitu kizito...
  2. MK254

    Hatimaye mkuu wa IRGC Iran auawa na mashambulizi ya Israel

    Huwa sielewi hawa makobaz akili zao huweka wapi, yaani mnajua vita vinakuja halafu mnaanika wakuu wenu kizembe, huyu kubwa la magaidi wa hiyo dini ameuawa kizembe sana.... Israeli and US strikes on Iran killed several senior Islamic Revolutionary Guard Corps commanders and Islamic Regime...
  3. E

    Msemaji wa M23 auawa kwa shambulio la drone

    Msemaji wa kijeshi wa kundi la M23, Willy Ngoma, ameuawa kwenye shambulio la ndege zisizo na rubani, katika eneo la Rubaya, wilayani Masisi- Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Kwa mujibu wa BBC, ofisa mmoja wa kidiplomasia na ofisa mwengine mwandamizi wa kundi hilo la M23...
  4. M

    Mtoto Wa Muammar Gadafi Ameripotiwa Kuuawa Nchini Libya

    Kabla ya kuanguka Utawala wa Ghadhafi huyu mtoto wa Ghadhafi alikuwa kama Rais wa pili, leo ameliwa kichwa na Walibya. --- Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Libya, Hayati Muammar Gaddafi, Saif al-Islam ameripotiwa kuuawa katika eneo la Zintan nchini Libya, kwa mujibu wa wakili wake. Hadi sasa...
  5. H

    Afisa wa Cheo cha juu wa Jeshi la Polisi Auawa Iran, Kulipiza Kisasi cha Mauaji ya Polisi kwa Waandamanaji

    Taarifa za karibuni ni kwamba waandamanaji wamefanikiwa kumwua afisa wa juu wa jeshi la polisi, mmoja wa watoa amri kwa maafisa wa chini. Afisa wa polisi aliyeuawa ni Luteni Shahin Dehghan. Naonawananchi wa Iran wameamua kupambana na mzizi wa fitina badala ya polisi wa kawaida. Na hakika, kama...
  6. R

    Raia wa Mali aliyekuwa Maarufu Tiktok auawa kwa kusifia Jeshi

    Mamlaka nchini Mali zimeripoti kifi cha mwanamitindo na mtengeneza maudhui maarufu TikTok, Mariame Cissé, aliyekuwa akijulikana kwa kuchapisha video za kuunga mkono jeshi la taifa hilo la. Kwa mujibu wa Meya wa Timbuktu, Yehia Tandina, Cissé alitekwa Ijumaa akiwa sokoni katika eneo la Echel, na...
  7. Muuza madafu wa Ikulu

    Auawa kwa kumkufuru mtume Muhammad S.A.W

    Mwanamke mmoja ameuawa kwa kuchomwa moto na kundi la watu katika jimbo la Niger Kaskazini mwa Nigeria baada ya kutuhumiwa kumkufuru Mtume Muhammad (S.A.W). Polisi walilaani mauaji ya mwanamke huyo aliyetambuliwa katika vyombo vya habari vya ndani kama mchuuzi wa chakula anayeitwa Amaye ...
  8. M

    Waziri Mkuu wa Houthi Ahmed al-Rahawi, ameuawa na Israel

    Imeripotiwa na vyombo vya habari vya Yemen kuwa waziri mkuu wa Yemen anaye sapotiwa na Houthi ndugu Ahmed al-Rahawi ameuawa jana katika mashambulio ya jeshi la anga la Israeli hapo Yemen. Shambulizi hili ni kando ya shambulizi dhidi ya majenerali wa houthi kumi walio kuwa wakitazama hotuba ya...
  9. M

    Iringa: Kada wa CHADEMA auawa kikatili na wasiojulikana

    Ni vilio na simanzi katika mtaa wa Mkimbizi D, kata ya Mkimbizi, manispaa ya Iringa, kufuatia kuuawa kikatili kwa mjane Anastazia Mwamongi, maarufu kama Mama Mwamongi, ambaye pia ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya mwili wake kukutwa ndani ya nyumba yake ukiwa na...
  10. Just Pray

    Auawa baada ya kufumaniwa na mke wa mpangaji mwenzake

    Wakuu tukio hili limenikumbusha kuepuka tamaa kwa nguvu zote hasa kwenye hizi nyumba za kupanga na maneo mengine, tusije tukafikiwa matukio ya kikatili kama haya ===== Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linamshikilia kijana James Nyakoro Kirauka (20), mkulima na mkazi wa mtaa wa Medical Research...
  11. MK254

    Mkuu wa jeshi la Iran ambaye huratibu shughuli za HAMAS auawa na Israel

    Israel endelea kupeleka moto, msijali hata Iran wakilenga apartments za raia, hiyo gharama ya kulipa kwa ajili ya vizazi vyenu vya baadaye, maana mkifaulu kusambaratisha Iran, ndio mtakua salama nyie na watoto wenu maana maana Iran tu ndio ilikua imesalia kama tishio kati ya mataifa ya waislamu...
  12. MK254

    Mshauri mkuu wa Ayatollah auawa kwenye shambulizi la Israel

    Mzee Ayatollah anaachwa mpweke na lile vazi lake, huyu mshauri ndiye alikua mojawapo wa watu wa karibu yake sana, kawahishwa kwa mabikira 72. Israel imeamua kwanza kutomgusa Ayatollah ajionee Iran inavyoporomoka. ----++++++ senior adviser to Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei, Ali...
  13. Just Pray

    Aliyepotea wiki moja akutwa ameuawa kwa kuchinjwa na mwili wake kukatwakatwa kisha kufukiwa shambani

    Mkazi wa Mtaa wa Pande Malembwe, jijini Tanga, Sarai Kagoro (30), ameuawa kwa kuchinjwa na mwili wake kukatwakatwa kisha kufukiwa shambani, baada ya kupotea kwa takribani wiki moja. Jeshi la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma za kuhusika na mauaji hayo, huku wengine watatu...
  14. Roving Journalist

    Songwe: Katekista wa Kanisa Katoliki auawa kikatili nyumbani kwake

    Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda amepoteza maisha kwa kushambuliwa na watu ambao utambulisho wao haujajulikana Mjini Tunduma. Diwani wa Kata ya Kaloleni, Mji wa Tunduma, Mkoa wa Songwe, Hamis Chuma amesema kiongozi hiyo wa Dini alifariki Mei 10, 2025 baada ya kushambuliwa akiwa...
  15. JanguKamaJangu

    Manyara: Mwanafunzi auawa kwa kubakwa, atobolewa macho, mwili wake watupwa shambani

    Wakazi wa Kata ya Galapo, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, wamegubikwa na huzuni, kufuatia taarifa za kubakwa na kuuawa kikatili kwa Suzana Samweli (13), mwanafunzi wa darasa la sita ambapo wananchi wamelaani vikali na kuitaka Jeshi la Polisi kuchukua hatua za haraka dhidi ya wahusika wa tukio...
  16. Lady Whistledown

    UGANDA: Waziri wa Kazi apigwa Risasi na Mlinzi wake

    Waziri wa Nchi, Kazi, Ajira na Mahusiano ya Viwanda, Kanali Mstaafu Charles Okello Engola ameuawa kwa kupigwa risasi asubuhi ya Mei 2, 2023 na mlinzi wake akiwa nyumbani kwake Kyanja, Kampala Mlinzi huyo baadaye alifyatua risasi kadhaa hewani kabla ya kujiua Sababu ya mauaji hayo bado...
  17. EricMan

    Hawa viumbe wanakera sana

    Hivi wanakukera na wewe huko kiasi gani
  18. Waufukweni

    TANZIA Diwani wa CCM Kiziguzigu auawa kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali Kigoma

    Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kiziguzigu Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma Mwl. Martin Runaku Mpemba, amefariki usiku wa Aprili 3 katika Kijiji cha Kibingo Kata ya Kiziguzigu, baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana. Katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Kigoma, Christopher Palangyo...
  19. Waufukweni

    Mtoto mwenye umri wa miaka 5 auawa kwa kuchinjwa Kimara

    Mtoto Elvila Eliudi mwenye umri wa miaka mitano, amefariki dunia baada ya kuchinjwa na mtoto wa mmoja wa wapangaji waliokuwa wakiishi nyumba moja Temboni Kimara Dar es Salaam. Video: ITV Digital
  20. Frank Wanjiru

    Msemaji wa Hamas auawa na Israel

    Msemaji wa kundi la wanamgambo la Hamas Abdel-Latif Al-Qanoua ameuawa katika shambulio la anga la Israel kaskazini mwa Gaza. Taarifa hizo zimeripotiwa na vyombo vya habari vyenye mafungamano na Hamas mapema leo, akiwa ni kiongozi wa juu kuuawa hivi karibuni tangu Israel ianzishe tena operesheni...
Back
Top Bottom