atm

ATM usage fees are the fees that many banks and interbank networks charge for the use of their automated teller machines (ATMs). In some cases, these fees are assessed solely for non-members of the bank; in other cases, they apply to all users.
Two types of consumer charges exist: the surcharge and the foreign fee. The surcharge fee may be imposed by the ATM owner (the deployer or independent sales organization) and will be charged to the consumer using the machine. The foreign fee or transaction fee is a fee charged by the card issuer (financial institution, stored value provider) to the consumer for conducting a transaction outside of their network of machines in the case of a financial institution.

View More On Wikipedia.org
  1. Msitoe pesa CRDB ATM ya Royal Dodoma. Ni wezi

    Wakuu hawa wanaiba pesa na hutapata notification kwa sms. ATM za CRDB zimejaa wezi Msizitumie. Ukiweka ATM card ile ya kuscan. Ukitoa tu, Wanadetails zako zote. Hiyo ATM ya hapo Royal imejaa wezi watupu. Wanaiba na hawana aibu.
  2. R

    Simbanking Vs ATM card charges wakati wa ku-withdraw

    Hallo wana JF. Mimi ni mteja wa CRDB BANK, nimekuwa nikitumia TemboCard yao for years. Siku moja card yangu ikagoma kufanyakazi. Nilipoenda ku-report, wakaniambia kuwa chip ya card imeharibika, huenda ikawa imesababishwa na kuiweka kwenye wallet. Wakaniambia for the time being naweza kutumia...
  3. Kuweni makini na matumizi ya ATM; kuna wataalam wa kuiba na hutopata sms na notification

    Wakuu , Kumeibuka wizi wa kupitia ATM. Hasa ile benki flani hivi. Jamaa wanaiba in such a way hutopata notification SMS. Msitumie ile njia ya kuweka ATM card juu ya mashine
  4. Dubai wamekuja na teknolojia ya ATM ROBOT inayotembea utakapoitaji pesa sehemu yoyote

    Wenzetu wanazidi kusonga mbele.Usalama wa dubai swala la wizi unaweza kuwa umezibitiwa sana. Sasa wamekuja na ATM ROBOT ambayo itajileta yenyewe na kutoa pesa. 😄 Kibongo itakuwaje ikaitwa uswahilini si wanaikaba huko huko.
  5. H

    CRDB nimetoa pesa kwenye ATM kwa simbanking sijarudishiwa wiki sasa

    Nawatahadharisha kuwa mtandao CRDB ni nyoko ukitoa pesa kwenye ATM kwa simbaking ikagoma wanasumbua kurudisha nilitoa 400,000/= ikakatwa kwenye akaunti ila haikutoka nikarudia tena kutoa 400,000/= ikakatwa kwenye akaunti ila haikutoka nikaambiwa wakijiamini ndani ya masaa 6 zitarudishwa ni wiki...
  6. Nataka Niwashitaki CRDB - Nimetoa fedha ATM hazijatoka naomba ushauri

    Juzi 1/10/2025 nilitoa fedha kwenye ATM, hata hivyo pamoja na fedha kutoka kwenye AC yangu fedha hiyo haijatoka kwenye mashine. Fedha hiyo nilitakiwa kulimlipa mdeni amabaye ananida, pamoja na jitihada za kuwasiliana na Branchi husika na kupiga simu kitengo hiduma kwa wateja bado fedha hiyo...
  7. Kuna aliyetoa pesa ATM ya CRDB muda huu au Leo imekubali?

    Eti wadau Hali Tete
  8. Kwa hiyo CRDB mmehanisha branch ya millennium towers mkaamua kung'oa na ATM

    Leo nimepigwa surprise ya hatari,nimetoka zangu job nikasema nipite millennium tower nikae Montana kusubiri foleni ipungue nishushe na one for the road...ila nikasema kwanza niingie ATM nizagamue cardless maana ATM card huwa sina, ajabu nafika sehemu ilipokua ATM nakuta peupe..nikahisi...
  9. W

    EQUITY Bank unafungua account na kupewa ATM Card ndani ya dakika 10 , Crdb na Nmb wameboresha huduma zao ?

    Ninahitaji kuongeza account kati ya benki hizo mbili Crdb na Nmb. Nakumbuka hapo zamani Crdb na Nmb process zilikuwa ndefu sana wiki 1 hadi 2 Mambo yamebadilika ????
  10. Usitegemee pesa iliyopo kwenye simu au ATM card kufanya manunuzi au kulipa bills kuna Siku utaumbuka

    Hili limenitokea jana tu! Kama mnavyojua msimu wa sikukuu watu tunakuwa busy na shopping za hapa na pale. Jana nikaingia super market moja hapa down town .Kusanya mazaga kama yote kwa mbwembwe kibao. Kucheck pembeni namuona rafiki yangu ambae tulipotezana kitambo.Maongezi kidogo kisha...
  11. Kwanini ATM za Mabenki zinauliza kama tunataka Risiti wakati ni haki ya mteje kama kununua bidhaa?

    Naiomba TRA ishughulikie hili, hivi ni kwanini mashine za ATM mfano NMB, CRDB n.k hazitoi risiti pasipo kuuliza? Ilihali akifanya hivyo mfanya biashara kariakoo anakamatwa . Kwanini risiti za ATM kuzipata kunamakato ilihali kudai risiti ni haki ya mteja?
  12. Hivi kuna haja ya kuhesabu pesa Baada ya kutoa Atm? Mimi hua nahesabu duh.

    Japo nahis nakua kama kituko hivi, ila hua nahesabu kila napoenda nahisi mashine inaweza wrong hivi.
  13. Kutoa kwenye ATM kwango cha laki nne kwa mkupuo mmoja ni kidogo sana, nashauri waongeze

    Benki kupitia mashine zao za ATM wamekuwa na ukomo wa kiwango cha kutoa pesa. Kutoa kwa mara moja kiwango cha juu ni Laki nne. Yaani kutoa Milioni moja mpaka uweke kadi mara 3 huu ni upotevu wa muda na ongezeko la gharama kwa wateja. Kwa niaba ya wateja wenzangu ninaomba kiwango kiongezwe.
  14. H

    Kwa hii idadi ya noti za tsh 10,000 ziazotoka kila dakika kwenye ATM kuna ulinganifu kweli na noti nyingine mtaani?

    Salam humu. Hizi noti zinasumbua Sana mtaani kwenye mzunguko wa pesa hasa kwenye biashara.Nahisi zimekuwa nyingi idadi tofauti na noti nyingine. Sasa hivi ukienda kwenye ATM hawatoi kabisa noti za elfu tano.Yaani wanakwambia kabisa tunatoa mafungu ya kumi kumi tu.Na hata ukienda ndani ya benki...
  15. CRDB, ATM ya Ihumwa, Magorofa Mapya haina fedha

    CRDB BANK mnalala sana! Wananchi tunaoishi Ihumwa na Mtumba huku Dodoma tunasota kwa kukosa fedha kwenye ATM yenu hapa Ihumwa Magorofa Mapya. Changamkeni, hamchoki kulalamikiwa?
  16. Benki ya Ethiopia yawataka waliochota fedha ATM baada ya mtandao kuharibika warudishe

    Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) imewapa wateja waliotoa pesa nyingi zaidi ya walizokuwa nazo kwenye akaunti zao hadi mwisho wa wiki kuzirejesha la sivyo watakamatwa na kufunguliwa mashtaka. Vyombo vya habari viliripoti kuwa zaidi ya Dola Milioni 40 (Tsh. Bilioni 102) zilitolewa au...
  17. Ethiopia: Hitilafu ya Benki ya Biashara yasababisha Wateja kutoa hela kwenye ATM bila kikomo

    Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) inajitahidi kurejesha kiasi kikubwa cha pesa kilichochotwa na wateja baada ya "shida ya mifumo". Baadhi ya Wateja waligundua mapema Jumamosi kwamba wangeweza kuchukua pesa taslimu zaidi ya walizokuwa nazo kwenye akaunti zao za CBE. Zaidi ya Dola Milioni 40...
  18. U

    Kama Receipt nyingi za ATM salio ni chini ya laki 3, hizo deposit za 6T ni za nani

    Nimeona mambo ya uchumi wa nchi ya TANZANIA kuwa ni magumu, upinzani wanalalamika pesa hakuna, sasa kama kawaida yangu nimejaribu kufanya utafiti na kusample bank moja, nimekusanya receipt za watu katika ATM Zaidi ya 5 kwa muda wa siku kumi ,na nilipata Zaidi ya receipt 100. Cha ajabu na cha...
  19. Naona aibu kutoa 10,000 kwa teller maana sina ATM card wala sim banking

    Game tafu sana Wakuu ikabidi nikumbuke nina kachenji uchafu kalibaki CRDB, ndio kwenda kuhakikisha balance nikaambiwa kuna 15800 sasa kibaya sina card ya ATM, ilipotea na hata sim banking line niliyosajilia siitumii ilipotea kwa hiyo option hapa ni kutoa kwa kutumia card ya NIDA kwa teller...
  20. NMB mna shida gani!? Watu tunataka kutoa pesa hampatikani online sio kwa mawakala sio kwenye ATM

    Wasalaam Leo ni siku muhimu watu wanataka kutoa fedha waka-enjoy na familia zao. Jambo la kusikitisha hampatikani online kwenye kutoa hela kwa mawakala na ATM Binafsi nilikuwa nawaamini sana sasa nimeanza kuwa na mashaka. Mnapotea hewani siku ya muhimu kama hii What a pity?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…