askofu mwamakula

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Hata sisi tunaowatetea CHADEMA tukigundua kuwa kuna ufinyaji wa haki mle ndani hatutawatetea tena

    Wakuu, Akiwa anazungumza hivi karibuni kwenye mazungumzo yake ya moja kwa moja na Jambo TV, Askofu Mwamakula amezungumzia mchakato wa Uchaguzi unaoendelea kwa sasa ndani ya CHADEMA Askofu Mwamakula amesema kuwa hata wao ambao hujitokeza pale ambapo CHADEMA wanateswa, wakiona kuwa kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Janga la Kariakoo sio kubwa kama La utekaji

    “Juzi tumekuwa na janga pale Kariakoo, nchi imesimama kwa sababu ya janga la pale Kariakoo. Wote tumeguswa kwa ajili ya watu ambao tumetangaziwa 13 wamefariki, wale watu wamekufa wakati wanatafuta Maisha, wamekatishwa na kifusi kama Watanzania ni janga la kitaifa.” “Lakini iweje mtu...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Vyuo Vikuu vinazalisha wahitimu wanaokuwa "Machawa" wa wanasiasa

    Akichangia mjadala katika Siku ya Kimataifa ya Demokrasia, Askofu wa Kanisa la Moravian Revival Church, Emmaus Mwamakula amesema kuwa kuna vyuo vikuu nchini vinashindwa kuandaa viongozi wa baadae badala yake kuzalisha wahitimu wanaojipendekeza kwa wanasiasa na kuona Siasa ni ajira Amesema hayo...
  4. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Nina wasiwasi kuhusu uwepo wa Askari Mstaafu katika tukio la Utekaji la Tashriff Luxury Coach

    Askofu Emmaus Mwamakula ameonyesha wasiwasi wake mkubwa kuhusu tukio la utekaji lililotokea ndani ya basi la Tashriff Luxury Coach, ambapo Ali Mohamed Kibao alitekwa kwa nguvu. Katika taarifa yake ya hivi karibuni, Askofu Mwamakula amekosoa hatua zilizochukuliwa na askari mstaafu wa jeshi la...
  5. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Taifa linaelekea kubaya watawala wasiwe viziwi kwa haya matukio

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania, Emau Mwamakula, ametoa tahadhari kuhusu hali ya usalama nchini. Akizungumza kwenye mahojiano na Jambo TV, Mwamakula ameeleza kuwa watekaji wapo ndani ya jamii na hatari inayokua inapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa. Amesisitiza haja ya...
  6. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula Aishangaa Serikali Kuyafuta Makazi ya Ngorongoro

    Ndugu Watanzania! Serikali ya Tanzania, kupitia Supplement Na. 30 imetoa Tangazo la Serikali Na. 673 la 2/9/2024 la kufuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro katika Mkoa wa Arusha. Kuna taarifa kuwa nyaraka hii inayosambaa mitandaoni kuanzia leo...
  7. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Waraka wa Kichungaji kwa Rais Samia Baada ya Jeshi la Polisi Kuwapiga na Kuwaumiza Wapinzani Mbeya

    WARAKA WA KICHUNGAJI (PASTORAL LETTER) KWA RAIS SAMIA BAADA YA JESHI LA POLISI KUWAPIGA NA KUWAUMIZA WAPINZANI MBEYA. Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan! Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Mheshimiwa Rais! Tunakusalimu kwa Jina la Bwana Mungu wa Majeshi, ambaye kwa neema, kudra...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Mwamakula aonya Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA

    Watu waliohujumu wenzao na kupora kura za Uchaguzi Mkuu wa 2020 hawana tofauti na watu wanaohujumu wenzao katika chaguzi zao ndani ya vyama. Kama Chadema watasahau machozi na maumivu ya kuhujumiwa Uchaguzi wa 2020, na kama pia watashindwa kusimamia haki katika chaguzi zao za ndani basi watakosa...
  9. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Mwamakula: CHADEMA na CCM ni kama wapenzi wawili waliongia kwenye mahusiano bila kufuata taratibu

    Akiwa kwenye mahojiano na mwandishi wa waandishi wa habari, Askofu Mwamakula amesema anafananisha mazungumzo ya CCM na CHADEMA kama wapenzi walioingia kwenye mahusiano bila kufata utaratibu, sasa hivi mambo yameharibika kila mmoja analalamika. Akisema Mazungumzo ya CHADEMA na CCM yalikuwa siri...
  10. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Mwamakula: Naona huu sio muda sahihi wa kuwahukumu wabunge kuhusu miswada ya sheria za uchaguzi

    Wakuu kwema? Askofu Mwamakula akiwa anahojiwa na mwandishi wa habari kutoka Jambo TV amesema anaona sasa sio muda sahihi wadau na vyama vya siasa kuanza kuwahukumu wabunge juu ya miswada ya sheria ya sheria za uchaguzi inayotarajiwa kurudi bungeni kusomwa tena baada ya kupokea maoni kutoka kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Baba Askofu Mwamakula awasha moto kwenye Kongamano la miaka mitatu ya Maalim Seif

    Akizungumza kwenye kumbukumbu ya miaka 3 tangu kufariki kwa Maalim Seif, ambaye ni Gwiji la Siasa za Zanzibar, Baba Askofu Mwamakula amesema kwamba kwenye utawala wa Mkapa hakukuwahi kuwa kesi wala tatizo kwa viongozi wa kidini kutoa waraka wa kukosoa matendo maovu ya serikali, amedai hana...
  12. JamiiForums Tanzania 4Rs za Rais Samia gumzo kila kona, Padri Kitima, Askofu Mwamakula, Zitto wakoshwa

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC), Charles Kitima, amesema dhamira ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kufanya mageuzi makubwa kwa kutumia falsafa ya uongozi kwa kutumia 4Rs, inajidhihirisha kwa vitendo. Mbalina Padri Kitima, Askofu Emmaus Mwamakula, ameelezea mageuzi ya Miswada ya...
  13. JamiiForums Tanzania Msiba wa Mama yake Askofu Mwamakula wapandisha Joto la Kisiasa Kyela

    Bado sijafahamu sababu hasa za Wanasiasa kujazana kwenye Msiba wa Bibi yule, ambaye yeye mwenyewe hakuwa Mwanasiasa. Bali nadhani uwepo wa Mtoto wake, mpigania haki Emmaus Bandekile Mwamakula yaweza kuwa chanzo cha kujazana kwa wanasiasa kwenye msiba huo wa mkulima mdogo wa Kijiji cha Itunge...
  14. JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Mwamakula afiwa na Mama yake Mzazi

    Kwa niaba yangu Mwenyewe na kwa niaba ya Wapenda haki wote wa Tanzania, natoa Pole kwa Baba Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kwa kupoteza Mama yake Mzazi. Namuomba Mwenyezi Mungu amtie nguvu. Amina
  15. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Usalama wa maisha ya Peter Madeleka uko hatarini Gerezani kisongo, Arusha!

    .
  16. F

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

    Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla. Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Ikiwa mtu atadhurika au kuuliwa sababu ya kutoa maoni kuhusu bandari serikali na viongozi waliotoa vitisho watawajibika

    Askofu Mwamakula amesema Uhuru wa wa kutoa maoni umelindwa na katiba, hivyo hakuna yoyote mwenye mamlaka ya kumdhuru mtu sababu ya kutoa maoni yake. Askofu Mwamakula amesema yoyote atakaetoa maoni au kunung'unika mkata huu wa bandari ikitokea akadhurika kutekwa au kuuliwa kwa namna yoyote ile...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Tunapinga uwekezaji wa DP World sababu Mkataba wake una sura ya wizi na ufisadi

    Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano na waandishi wa habari ambapo Dkt. Salaa, Askofu Mwamakula pamoja na Mawakili Mwabukusi na Madeleka watakuwa wazungumzaji wakuu, leo Julai 12, 2023 saa 4:00 asubuhi. Ni kuhusu suala la DP World. === === MKUTANO UMEANZA Askofu Mwamakula anazungumza...
  19. JamiiForums Tanzania Mjumbe wa kamati kuu ya CCM amuomba Askofu Mwamakula kumfikishia ujumbe wake kwa Wananchi kuhusu mkataba wa bandari Ili asifukuzwe uanachama

    Ujumbe ufuatao umetoka kwa mwanachama wa CCM ambaye amekuwa Mteule wa Rais wa muda mrefu. Kwa kuogopa kufukuzwa CCM, ameomba afikishe ujumbe kupitia kwa Askofu. Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Kwenye vikao vilivyoisha (Kamati Kuu ya CCM na Halmashauru Kuu ya CCM) imeelezwa kuwa Wajumbe...
  20. JamiiForums Tanzania Anaripoti Askofu Mwamakula hakika nchi hii % kubwa watu wamekuwa zaidi ya wanyama

    Anaripoti Askofu Mwamakula hakika nchi hii % kubwa watu wamekuwa zaidi ya wanyama. Tunaomba Rais akemee watu wake hawa maana yeye ndo mkuu wao kuanzia utumishi na wazazi wenye watoto wa kike tusiruhusu waende huko huo ni uuaji kama uaji mwingine. BINTI ALIYELALA NA WANAJESHI AJILIPUA! Kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…