asali

Sohan asali (Persian: سوهان عسلی‎, romanized: sohān-e asali; from asal "honey") is a kind of Iranian cuisine pastry or candy (sohan). It is made of honey, sugar, saffron, almond or other nuts and cooking oil.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Asali inalipa

    Nauza asali Mbichi Nyuki wakubwa ni asali Nzuri Sana pure kabisa dumu la Lita 20 Bei yake ni 165,000/= karibuni Sana
  2. JamiiForums Tanzania Uthibitisho rasmi wa CCM kuitawala nchi ya Asali na maziwa daima huu, Hapa

    Baada yakufanya tathmini isiyo rasmi...nimegundua sehemu ...ambayo CCM wamewekeza mtaji wao mkubwa ni vijijini. Hapa CCM wanachofanya sio..Miujiza ni njia kama za Akina late Mugabe , Mseven na wazee wengineo ambao wako ..radhi wafie madarakani lakin ..sio kuwapa kijiti wapinzani. Kwa upande wa...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha Biashara ya kununua na kuuza Asali

    Wadau wa JF, Naomba kujua changamoto za kuanzisha biashara ya kuuza na kununua asali hususan masoko ya ndani na nje ya nchi-vile vile namna ya kupata mikopo ya muzinga ya asali. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya asali kutoka Tabora kuleta Dar es Salaam

    Salamu Waungwana wa Ukumbi huu adhimu. Kuna visenti nimevipata mahali natafuta namna ya kuviongeza. Ninafikiria kufanya biashara ya Asali kwa kuanzia niende Tabora na kununua japo dumu mbili za lita ishirini ishirini za Asali mbichi ambapo nimeambiwa bei ya dumu la lita 5 ni kati ya shs Alfu 45...
  5. JamiiForums Tanzania Tiba za asili: Manufaa ya asali na mdalasini

    Wakuu nimekutana na makala hii nikaona nianzishe mada hapa ili tuweze kujadiliana na wataalam wetu na watufahamishe ukweli wake na uwongo wake au kutupa ushauri zaidi ya huu niuonao katika mada hii. Nimejaribu kwa kadiri ya uwezo wangu kuirekebisha kiswahili chake lakini nahisi hakiko sawa bado...
  6. JamiiForums Tanzania Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

    Habari za muda huu wana-JF! ASALI inafahamika kwa muda mrefu kama chakula muhimu ambacho pia kinasaidia sana katika kupambana na magonjwa mbalimbali na matatizo yatokanayo na uzee. Kwa mujibu wa tafiti mpya za wataalamu wa madawa lishe na vifaa tiba, imedhihirika kwamba, uwezo wa asali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…