arusha

  1. M

    JamiiForums Tanzania RC makonda akinukisha Arusha, shamrashamra za new year 2025 za fana.

    Happy new year 2025 wadau wote wa JF. Kama mlivyosikia, sherehe za kupokea mwaka mpya kitaifa zimefanyika Arusha. Wakati dar Mwamposa akivukisha watu na chao, na kule Mwanza wakiomba kutoka viwanja vya Nyamagana. Arusha imekuwa ni habar nyingine kabisa. Vibe la kufa mtu. Mitaa inayoingia...
  2. Akotia

    JamiiForums Tanzania House4Rent Looking for a 1-Bedroom Furnished place in Arusha City Center

    Hi everyone, I’ll be moving to Arusha from Dar es Salaam for work in the coffee industry and will need a place to stay for two months. I’m looking for a 1-bedroom furnished house that meets the following criteria: Located in or near Arusha city center for convenience. Has parking...
  3. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Polisi ukiona gari jipya piga saluti. Simamisheni mengine yanayoleta Pollution

    Pamoja na polisi kuwa mnafanya kazi yenu vizuri ila Kuna wakati mnasumbua sana hasa mkiona magari mapya, na lengo la usumbufu wenu ni kuombaomba ela. Nadhani kwa Arusha inabidi mtupumzishe kidogo tuendeshe magari yetu kwa raha.
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Churchill Show ya Arusha jana ni comedy duni sana kuwahi kuiona. Hakuna comedy nzuri bila maudhui magumu ya siasa

    Nimeangalia Churchill Show iliyoandaliwa na mkuu wa mkoa wa Arusha, itoshe kusema comedy ya Tanzania ni mbovu sana, maudhui ni duni mno, unaona wazi watu wanatumia nguvu kubwa sana kucheka na kufurahia. Ambacho waswahili wanapaswa kufahamu ni kwamba chanzo na kushamiri kwa tasnia ya comedy...
  5. Swahili_Patriot

    JamiiForums Tanzania Churchill show live in Arusha

    Nadhani kuanzia saa tatu usiku hadi saa nane usiku(nafikiria), katika channel ya clouds TV, crown na sinema zetu umekuwa na kipindi cha stand up comedy kinachoitwa Churchill show. Kipindi kina endelea live kwenye ukumbi wa AICC AREANA ARUSHA, hosted by RC Paul Makonda. Aisee hiki kipindi...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Ujenzi wa Uwanja wa AFCON Arusha wafikia zaidi ya 16%

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya Fainali za AFCON 2027 unaendelea vizuri licha ya mvua kubwa zinazonyesha na sasa umefikia 16% za...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa milioni 10 kwa Bodaboda Arusha

    Rais Dkt. Samia Suluhu ametoa Shilingi milioni 10 kwa Chama cha Waendesha Bodaboda Wilaya ya Arusha ili kusaidia kukamilisha utaratibu wa kuanzisha Chama cha Ushirika cha waendesha bodaboda hao. Aidha, Rais ametoa pikipiki mbili zitakazotumiwa na viongozi wa chama hicho kwa ngazi ya wilaya na...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Huduma za Uhasibu na Ushauri wa Kodi (Kudeal na TRA) - Arusha

    Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi? Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa Arusha. Huduma Zetu ni Pamoja na: Kufuatilia mambo yako ya TRA...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha: Mama Fatma Karume amtembelea RC Makonda, aongoza dua nzito kumuombea kheri

    Heh! Mama Fatma kafunga safari kutoka Zanzibar hadi Arusha kumpongeza tu au kuna ujumbe mwingine kampelekea? Mama Fatma Karume amefika Mkoani Arusha mapema Jumamosi ya Disemba 21, 2024 na kuongoza Dua maalumu ya kumuombea Kheri, afya njema na mafanikio zaidi Mkuu wa Mkoa Paul Makonda akionesha...
  10. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania Tetesi: WADUDU ni hatari: Chukua tahadhari unapokuja mapumziko maeneo ya Moshi na Arusha

    Habari Wakuu wa JF, Niende moja kwa moja kwenye mada. Hii itaweza kuwa msaada kwa ndugu zetu wanaopanga kuja likizo ya sikukuu za mwisho wa mwaka maeneo ya Arusha na Moshi. Kuna mambo kadhaa ni muhimu kuweza kuyajua hasa kwa wamiliki wa vyombo vya usafiri (magari) na wale wanaopendelea kwenda...
  11. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania RC Makonda atangaza rasmi ratiba ya kufunga na kufungua Mwaka Arusha

    Habari JF ,Arusha kumenoga , kuanzia tar 28/12/2024 kutakuwa Churchill show kutakuwa na mtaa wa Bia na zitauzwa kwa bei rahisi , kutakuwa na mtaa wa Nyama Choma . Tar 31 ni mkesha mkubwa . Hakika mkoa wa Arusha unatangazwa vilivyo .
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Lemma anajua uchaguzi unafanyika leo Arusha, na anatakiwa akabidhi ofisi, kwa nini amekimbilia Canada bila kukabidhi ofisi? Ana chuki na aliyeshinda?

    Ilitarajiwa Lemma akabidhi ofisi ndio aondoke kwenda Canada kwenye ukimbizi wake. Haijulikani atakaa huko kwa miaka mingapi. Lakini hajakabidhi ofisi kwa Mwenyekiti mpya wa Kanda ya Kaskazini. Kaondoka na fedha kiasi gani za Kanda hiyo? au kaondoka na nyaraka kiasi gani za fedha na mambo...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrisho Gambo asaidia Bodaboda Arusha kwa kiasi cha Milioni 1.2 kuboresha Usalama na Utalii

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amewakabidhi Bodaboda wa Jiji la Arusha kiasi cha Shilingi 1,200,000 kwa ajili ya kutengeneza mfumo wa kuwezesha kusajili Bodaboda za Jiji la Arusha na kuwezesha upatikanaji wa taarifa za uhakika kwa ajili ya usalama na utalii. Akizungumza mara baada ya...
  14. Suip

    JamiiForums Tanzania Wakala wa mabati ALAF Arusha anapatikana wapi Arusha Mjini?

    Kwa wakazi wa Arusha napenda kufahamu wakala wa mabati ya ALAF anapatikana wapi Arusha mjini na je wanauza mabati kwa urefu ninaohitaji au zimeshakatwa katika urefu wa mita tatu? Naomba kufahamishwa.
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwamposa, NSSF na Leopard Tour watoa pikipiki 60 kwa Jeshi la Polisi kuimarisha ulinzi Arusha

    Wakuu, Mdogo mdogo tuna swore allegiance na Bashite ili akiukwaa tusisumbuliwe kwenye mambo yetu! === Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise and shine (Inuka Uangaze),Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii NSSF pamoja na Mfanyabiashara na Mmiliki wa Kampuni ya Utalii ya Leopard Tour wametoa...
  16. Abby The Rider

    JamiiForums Tanzania Wakatisha Ticket za Treni TRC kwenda Moshi Arusha, Muache kutengeneza Mazingira ya kupokea Rushwa.

    Wakuu Kwema Hii nchi tunakoelekea Sasa hivi hali sio nzuri kwa watumishi wetu wa uma. Kila mtu Kwenye nafasi yake anafanya anachojisikia. Bora nchi iuzwe tugawane Nimefika kituo Cha Treni, kukata ticket kwenda Moshi safari ya ijumaa, ticket zimeanza kukatwa saa2 Cha Ajabu saa2 hiyo hiyo...
  17. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Wanachadema 50 Arusha wahamia CCM

    Hii imetokea leo Kaloleni,Arusha ambapo Hawa vijana wa Chadema wamepokewa na viongozi wa CCM. Wamesema Mbowe ni kiongozi feki,na Lissu ni kiongozi feki na Godbless Lema ni kiongozi feki ambaye kazi yake ni kukaa tu Daressalaam na kuisahau Arusha. Wamesema hawa viongozi wa Chadema kazi yao ni...
  18. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Usidanganye wananchi wa Arusha kwenye kampeni kisa unataka uongozi

    Kama una mpango wa kugombea nafasi yoyote ya uongozi Arusha, kuwa mkweli na usipange kudanganya maana wananchi wa Arusha wameshachoka siasa za kijinga na uongo wa wana siasa. Kama una nia thabiti ya kuleta maendeleo basi karibu Arusha, omba uongozi utapewa, vinginevyo utadhalilika.
  19. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha, Kilimanjaro. Kuna ongezeko kubwa la viwanda bubu vya pombe za makopo

    kila panapokucha panakucha na toleo jipya la pombe , Kuna ongezeko la kutisha la viwanda bubu majumbani vya utengenezaji wa kila aina ya pombe za makopo ambazo hazina viwango,jambo ambalo linahatarisha usalama wa wananchi hususani vijana. Wananchi wengi wamekuwa wakilalamika serikali...
  20. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TANAPA na NCAA: Mnatuibia Waongoza Watalii

    Kwa muda sasa, makampuni ya utalii nchini Tanzania yamekuwa yakikumbana na changamoto kubwa kutokana na tofauti za viwango vya kubadilisha fedha vinavyotumika na taasisi za serikali kama TANAPA na NCAA. Hali hii ni ya kusikitisha na ni kinyume na juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan za kukuza...
Back
Top Bottom