arusha mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dispensary inauzwa, ipo Arusha mjini ..Ina vifaa vyote pamoja na facilities zote zote za huduma za kihospital..

    Habari wakuu , dispensary iliyo na usajiri wa wizara ya afya na iliyopo Arusha mjini ,bei ni 150 millioni, inaitwa MT.MERU....inauzwa . Kwa MAELEZO zaidi wasiliana nami Dalali Lexus SUV 0756294771/0672701329
  2. M

    Makonda ni karata muhimu CCM kwa jimbo la Arusha mjini 2025. Anafaa kupewa jimbo.

    Katika majimbo yanayoleta changamoto kubwa kwa CCM nyakati za uchaguzi ni jimbo la Arusha mjini. Kibaya zaidi changamoto kubwa huwa ni ndani ya CCM kwenyewe wakati wa kupata mgombea ubunge kupitia CCM. Kwa utafiti wangu binafsi nadhani CCM Arusha ndo imejaa mamluki wengi sana wa CHADEMA kuliko...
  3. Nilipotimka nyumbani kwenda jiji la Miamba

    Hapo zamani za kale, katika jiji lenye kupendeza la Arusha, nilijikuta nikitamani mabadiliko ya mandhari. Nikiwa na roho ya kutokuwa na utulivu na hamu ya kujifurahisha, nilifanya uamuzi wa kufunga virago vyangu na kuanza safari kwenda Mwanza, jiji lililofahamika kwa maoni yake ya kuvutia ya...
  4. PreGE2025 Arusha mjini CCM twende na nani kwenye ubunge 2025?

    2025 iko pale kwenye kona je, wapiga kura wa Arusha mjini tumeshatafakari wa kwenda naye kwenye uchaguzi dhidi ya Godbless Lema. Huko CHADEMA inajulikana kuwa ni mgombea wao wa Ubunge ni Lema. Mchakato wao wa kumpata mgombea Ubunge huwa ni kiini macho tu. Tayari mgombea wao ni Lema na hata yeye...
  5. Natafuta Dalali wa Frame Arusha Mjini

    Habari wakuu, Natafuta dalali yeyote wa kunitaftia frame Arusha, maeneo ya mjini kama Standkuu, kkoo, chini ya mti, jogoo, stand ndogo, Mnazi Mmoja...nk. Kwa yeyote mwenye connection tuchekiane DM au share namba hapa. Natanguliza shukrani
  6. Nje ya Arusha Mjini na Mbeya Mjini kuna miji gani mingine wazawa wa asili wameziachia sana fursa ziende kwa majirani zao?

    Arusha Mjini - wazawa asili Kuna Wameru na Waarusha, niliwahi kuishi hapo miaka mitano, cha ajabu kilichonishangaza ni kwamba Mji huu kwenye mambo ya fursa upo kwa majirani zao Wachaga wa Moshi, niliweza kufanya uchunguzi kwenye mambo kama hotel nyingi sana za Wachaga, Kampuni nyingi za utalii...
  7. Plot4Sale Nina shida sana, nauza hiki kiwanja kipo Arusha Mjini

    Salaam Wakuu Nauza Kiwanja shilingi milioni 7.5 fixed Arusha mjini. Mahali Kilipo ni Engosheratoni Kata ya Sinoni Arusha. Ukubwa wa Kiwanja ni 550sqm. Haki miliki ya kiwanja kinatambulika na serikali ya mtaa, hii ni kwa maeneo yote ya engosheratoni. Ukaribu wa Kiwanja kipo karibu na shule ya...
  8. Nauza kiwanja changu Arusha mjini kwa Tsh 7.5 milioni

    Kiwanja ni changu mwenyewe na kina ukubwa wa 520 SQM. Kipo Engosheraton kata ya Sinoni. Jirani kabisa na Shule ya Sekondari ya Misheni ya Edmund Rice. Kiwanja kimezungukwa na Huduma zote za kijamii. Wasiliana nami kwa 0744718928. karibuni sana.
  9. Mbunge wa Arusha, Mjini Mrisho Gambo atoa gari la kusafirishia maiti Jimboni kwake

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo ametoa msaada wa gari la kusafirisha mwili wa marehemu kwa wanajimbo wake. Hata hivyo, wana Arusha wameuponda msaada huo huku wakihoji kwa nini asipeleke madawa au magari ya Ambulance, na baadhi wametafsiri kwamba huo ni uchuro. Mmoja ya wachangiaji katika...
  10. B

    Wapi kuna Barber shop nzuri Arusha mjini

    Naomba kufahamu Barber shop nzuri Arusha mjini.( Wanaozingatia usafi wa hali ya juu, wenye customer care nzuri na wanaonyoa vizuri)
  11. O

    DC Arusha mjini avunja ukimya kwa Gambo

    Arusha. Mkuu wa wilaya ya Arusha, Felisian Mtehengerwa amemtaka Mbunge wa jimbo lake Mrisho Gambo kutekeleza wajibu wake ndani ya halmashauri kuliko kubeba ajenda za ubadhilifu ili kujitafutia umaarufu wa kisiasa. Mtahengerwa amesema hayo leo April 19,2023 wakati akizungumza na waandishi...
  12. RC Mongella azitaka taasisi mbalimbali kuhakikisha kunakuwepo na uwiano wa kijinsia mahala pa kazi

    Mkuu wa mkoa wa Arusha, John Mongella amezitaka taasisi mbalimbali kuhakikisha kunakuwepo na uwiano sawa wa jinsia kati ya wanaume na wanawake ili kuwepo kwa usawa mahala pa kazi. Ameyasema hayo jijini Arusha wakati akizungumza na wadau mbalimbali wa Benki ya CRDB walipokutana katika chakula...
  13. Rais Samia akiwa Arusha ameshindwa kujibu swali la mbunge wa Arusha mjini kuhusu mgao wa umeme

    Akijibu suala la kukatika kwa umeme, Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato aliwataka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kufanya ushirikishaji wa viongozi waliopo katika maeneo ili kukubaliana ni maeneo gani ya muhimu kwa ajili ya kupeleka umeme ikiwemo yale ya uzalishaji. Ninajiuliza sipati...
  14. Wapi wanafanya Diagnosis ya Magari Arusha Mjini

    Wakuu Salaam Kama heading inavojieleza , ni wapi hapa Arusha mjini wanafanya Diagnosis ya Magari
  15. Naomba kufahamu eneo la sqm 165 total cost kuweka pavings!

    Salaam wakuu, Kama heading inavyojieleza. Niende kwenye mada moja kwa moja. Ninahitaji kuweka pavings kwenye eneo lenye ukubwa wa square meter 165. Landscape generally ni flat. Wataalamu na hata wazoefu wa haya mambo naomba nisaidiwe kujua total cost average inaweza kuwa kiasi gani...
  16. USHAURI: Nafikiria kufungua duka la Vitasa tu Arusha mjini

    Habarini, Nimefikiria kuwa unique kidogo na kufungua duka litakalo deal na vitasa vya mlango aina zote. Je niko sahihi kwenda na kufanya hii idea kupelekea kunitoa au nimespecialize sana kupelekea kuchoma mahindi tu. Karibuni kwa mawazo yenu na njia mbadala ikiwezekana.
  17. Sasa haka kamvua kidogo hapa Arusha mjini kasihusishwe na ujio maana hamkawii

    Juzi nilikutana na uzi unaohusisha uwepo wa Kiongozi mahali na kunyesha kwa kamvua....hivyo nina wasiwasi hawa jamaa watakuja na hilo hili kuhusu Arusha. Tuwasikilize Mamlaka hali ya hewa wanasemaje.. Mama Kijazi na timu yake atuambie itanyesha hainyeshi?. tupande au tusubiri maana wengi...
  18. Davis Mosha akusanya zaidi ya milioni 400 kanisa la KKKT-Arusha Mjini

    Mfanyabiashara Davis Mosha leo ameongoza Harambee ya ujenzi wa Kanisa, Katika misa ya harambee hiyo iliyoendeshwa katika Kanisa la KKKT usharika wa Arusha Mjini, Davis Mosha aliyeongozana na Familia yake aliweza kuchangisha jumla ya kiasi cha Shilingi Milioni mia nne. Akizungumza katika Hafla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…