arusha mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. May Day

    JamiiForums Tanzania Sasa haka kamvua kidogo hapa Arusha mjini kasihusishwe na ujio maana hamkawii

    Juzi nilikutana na uzi unaohusisha uwepo wa Kiongozi mahali na kunyesha kwa kamvua....hivyo nina wasiwasi hawa jamaa watakuja na hilo hili kuhusu Arusha. Tuwasikilize Mamlaka hali ya hewa wanasemaje.. Mama Kijazi na timu yake atuambie itanyesha hainyeshi?. tupande au tusubiri maana wengi...
  2. babi

    JamiiForums Tanzania Davis Mosha akusanya zaidi ya milioni 400 kanisa la KKKT-Arusha Mjini

    Mfanyabiashara Davis Mosha leo ameongoza Harambee ya ujenzi wa Kanisa, Katika misa ya harambee hiyo iliyoendeshwa katika Kanisa la KKKT usharika wa Arusha Mjini, Davis Mosha aliyeongozana na Familia yake aliweza kuchangisha jumla ya kiasi cha Shilingi Milioni mia nne. Akizungumza katika Hafla...
Back
Top Bottom