anguko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Anguko la Samia, 70% limesababishwa na matendo ya Faustine Mafwele

    Hello watanzania. Kwa sasa ata kama we ni chawa ni dhahili anguko la Samia unaliona, Samia wa 2021-2023, sio Samia huyu. Samia wa enzi zile alikuwa anapendwa na watanzania japo sio wote na mataifa ya nje yalikuwa yanampenda. VP Kamala Haris alikuja bongo Kwa mwaliko wa Samia, hapa USA Samia...
  2. JamiiForums Tanzania Anguko la CCM ni dhahiri sasa

    Japo mie sio mfuasi wa chama chochote cha siasa,lakini kwa hizi dalili nazoziona,hiki chama kitaanguka muda wowote kutokea sasa na kuacha ombwe kubwa la uongozi. Na kwa kuwa upinzani wa nchi hii ni dhaifu sana basi nchi hii itakuwa ni sandakarawe amina,basi yangu macho
  3. JamiiForums Tanzania Muswada wa Ted Cruz utasaidia tulio 40s kushuhudia anguko la CCM. Mungu tusaidie

    CCM IMETESA SANA WATANZANIA na wamefikia mahali wanaona hawagusiki wameuwa sana watu na kusingizia watu kesi za uongo. Wanaona TUNDU LISSU ni kitisho kwao hivyo wanatafuta namna ya kumsilimisha au kumpoteza lakini waki calculateimpact yake wanaona haiwezekani sasa hili zigo la TED CRUZ ndio...
  4. JamiiForums Tanzania Mataifa yasipozinduka na kumkemea Netanyahu mapema atasababisha anguko lingine la kiuchumi zaidi ya corona

    Wandugu Nianze kwa kusema kwa sasa wote wamebaki mabubu,wameshikwa na butwaa hawajui waseme nini juu ya Netanyahu, na hii ni kwa sababu ya utashi wa mtu binafsi Huyu Netanyahu kwa sababu hata Myahudi wa miaka 70 ukimuuliza je unaweza kuwamaliza maadui zako wote na ukaishi salama atakujibu yeye...
  5. JamiiForums Tanzania CCM ina la kujifunza kwa anguko la Ayatollah Khamenei

    Usiku wa kuamkia Machi 1, ndipo zilisikika habari za kifo cha Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Hossein Khamenei, kufuatia mashambulio ya majeshi ya Marekani na Israel yaliyoanza Februari 28, 2026. Mashambulio hayo hayo yalishatarajiwa kwa sababu Rais wa Marakeni, Donald Trump alishatangaza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Anguko la Ayatollah litachochea Maanguko zaidi ya Madikteta hasa Afrika, CCM jiandaeni.

    Baada ya Kifo cha Ayatollah na kukamatwa kwa Maduro. Uhai wa Serikali za kidikteta dunia utakuwa mfupi sana hasa Afrika Kwa nini naona hali hii? China ambaye anaonekana ni mbadala wa Marekani hakufanya wala kutoa msaada kwa Maduro wala Ayatollah wakati wako kwenye wakati mgumu na hata Silaha...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa kisa hiki cha EL MENCHO kinazidi kuthibitisha na kutufundisha kuwa kila anguko kubwa la mwanaume husababishwa na mwanamke

    Nguli wa biashara ya dawa za kulevya nchini Mexico, Nemesio Oseguera Cervantes maarufu kwa jina la El Mencho, ameripotiwa kufariki dunia baada ya kujeruhiwa na risasi katika operesheni ya kijeshi iliyofanyika Jimbo la Jalisco nchini humo. Akizungumza na vyombo vya habari Jumanne Februari 24...
  8. JamiiForums Tanzania Hakuna Simba wala Yanga, wote wameishia makundi CAF, ni mwanzo wa anguko kwa Soka la Tanzania kimataifa?

    Kwa mara ya kwanza baada ya miaka kadhaa ya mafanikio ya kujivunia mfululizo, kukua kwa soka la Tanzania kimataifa hatimaye klabu zote nne zimeondoshwa hatua ya makundi na kushindwea kuendelea Hatua ya Robo Fainali katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika. Simba SC na...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA ya miaka hii nalinganisha na kipindi anguko la NCCR lilikuja, End of an era

    Picha mbili ikionesha Chadema ya miaka hii nalinganisha na kipindi anguko la NCCR lilikuja, End of an era.
  10. JamiiForums Tanzania Haya maandamano ya Iran ndio anguko la taifa la Kiislamu?

    Kuna Video nimeona inasambaa ikionesha maandamano Nchini Irani kwa siku nne mfululizo je ndio anguko la taifa la Kiislam la Irani Video hii hapa chini
  11. JamiiForums Tanzania Toeni Hela zenu kwenye Mabenki na mpesa hifadhini hela zenu wenyewe, anguko la uchumi limeingia

    Kama una vihela benki katoe zote, kama una hela M-Pesa toa zote kuwa na hela yako cash soon anguko linakuja, msije sema hamkujua Taarifa ndio hiyo kuwa na hela yako cash utachimbia ndani au kuzificha kwenye madumu fanya hivyo anguko la kiuchumi limeingia ndani ya nchi yetu
  12. JamiiForums Tanzania Nguvu za asili na anguko la viongozi

    “KANUNI ISIYOONEKANA INAYOONGOZA HISTORIA” Utangulizi Katika historia ya binadamu, tumeshuhudia ustaarabu ukisimama na kuanguka, falme zikitukuka kisha zikifutika, na viongozi maarufu wakifika kilele cha utukufu kisha kusambaratika kwa kishindo. Jambo hili halitokei kwa bahati mbaya bali...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ni hakika anguko la Samia limefika. Manabii wamemuonya lkn hakusikia.

    Manabii toka enzi na enzi wamekuwa wakiwaonya viongozi kwa mujibu wa biblia kama inavyosomeka hapo juu. Hivyo kufumbia macho mauaji na ufisadi ni mambo ambayo yamesababisha viongozi wengi duniani mwisho wao kuwa mbaya.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kuna anguko litatokea, ni suala la Muda

    Hakuna atakaye amini Ukanda wa azania
  15. JamiiForums Tanzania Dalili za awali wa anguko la CCM

    Sasa sio siri tena, watanzania tumechoshwa na uonguzi uliokebehi uonevu, ufisadi na an oppressive one. Mungu isaidie tanzania. Mungu tuongoze. Revolution is a process, itachukua muda ila ikianza hakutokuwa na solution hadi tutapofikia matakwa yetu ya uongozi thabiti. Kwa haya yanayoendelea...
  16. JamiiForums Tanzania Usajili wa Onana kwenye timu yetu, ndo anguko letu

    Onana alipata nafasi ya kuwa captain baada ya Captain wa yetu yetu kuuliwa na wachezaji ma legends ambao wana timu Yao ndani ya timu yetu Onana kuwa captain tu kila mpira anabutua, amefunga wachezaji wa timu pinzani miguu anataka acheze peke yake, wengine amefungia vyumbani. Onana ameungana na...
  17. JamiiForums Tanzania Aibu kwa Mhimili wa Mahakama: Kutoka kutumiwa kama kielelezo cha Utetezi wa Haki hadi kutumiwa kama kielelezo cha kuminya Haki

    Miaka ya 2000 hadi 2012 tuliofanikiwa kwenda kwenye Makongamano mbalimbali ya Masuala ya Haki, Afrika na Duniani kwa Ujumla tulikuwa tunaona ufahari mkubwa kujitambulisha kuwa tunatokea Tanzania kutokana na Maamuzi makini yanayotetea Haki za Binadamu na sanity kwenye Utawala wa Sheria yaliyokuwa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Anguko liko palepale kubwa takatifu la kihistoria

    Midomo yote itazibwa,masikio yote wasioamini watahisi dunia imetulia,macho ya wasioamini watapekecha ×2 kumuangalia shujaa wao kama kweli hayupo,lakini hawatamuona . Hilo ni anguko kubwa ni lazima na halina budi kutokea. ##muda mchache mambo mengii##
  19. JamiiForums Tanzania Je, Mfululizo wa sintofahamu unaendelea kuibuka CCM ndio nyakati za anguko kubwa kwa CCM na serikali yake?

    Ni dhahiri shairi kuwa kuna fukuto kubwa linaendelea ndani ya chama tawala ambalo ni kero kubwa kwa wanachama wao wengi. Jambo la kufurahisha na kutia moyo ajenda kubwa ya chama kikuu cha upinzani CHADEMA ya No reform no election imeingia kwa kasi ya mwendo wa Ngiri katika jumba la kijani...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Anguko la kihistoria limekaribia

    Dalili ya mvua ni mawingu,historia yeyote duniani huwa inamtindo wa kujirudia, pia hakuna kitu kisicho na signs zake , hakika anguko kubwa lipo njiani ,kitu ambacho kilikuwa hakina budi kotokea,sasa kipo njiani kutokea,mwenye macho aone na mwenye masikio asikie,hii sio ndoto tena bali ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…