angola

Angola ( (listen); Portuguese: [ɐ̃ˈɡɔlɐ]), officially the Republic of Angola (Portuguese: República de Angola), is a country on the west coast of Southern Africa. It is the second-largest lusophone (Portuguese-speaking) country in both total area and population (behind Brazil), and is the seventh-largest country in Africa. It is bordered by Namibia to the south, the DR Congo to the north, Zambia to the east, and the Atlantic Ocean to the west. Angola has an exclave province, the province of Cabinda, that borders the Republic of the Congo and the Democratic Republic of the Congo. The capital and largest city is Luanda.
Angola has been inhabited since the Paleolithic Age. Its formation as a nation-state originates from Portuguese colonisation, which initially began with coastal settlements and trading posts founded in the 16th century. In the 19th century, European settlers gradually began to establish themselves in the interior. The Portuguese colony that became Angola did not have its present borders until the early 20th century, owing to resistance by native groups such as the Cuamato, the Kwanyama and the Mbunda.
After a protracted anti-colonial struggle, Angola achieved independence in 1975 as a Marxist–Leninist one-party Republic. The country descended into a devastating civil war the same year, between the ruling People's Movement for the Liberation of Angola (MPLA), backed by the Soviet Union and Cuba, and the insurgent anti-communist National Union for the Total Independence of Angola (UNITA), supported by the United States and South Africa. The country has been governed by MPLA ever since its independence in 1975. Following the end of the war in 2002, Angola emerged as a relatively stable unitary, presidential constitutional republic.
Angola has vast mineral and petroleum reserves, and its economy is among the fastest-growing in the world, especially since the end of the civil war. However, economic growth is highly uneven, with most of the nation's wealth concentrated in a disproportionately small sector of the population. The standard of living remains low for most Angolans; life expectancy is among the lowest in the world, while infant mortality is among the highest.
Since 2017, the government of João Lourenço has made fighting corruption its flagship, so much so that many individuals of the previous government are either jailed or awaiting trial. Whilst this effort has been recognised by foreign diplomats to be legitimate, some skeptics see the actions as being politically motivated.
Angola is a member of the United Nations, OPEC, African Union, the Community of Portuguese Language Countries, and the Southern African Development Community. As of 2019, the Angolan population is estimated at 31.83 million. Angola is multicultural and multiethnic. Angolan culture reflects centuries of Portuguese rule, namely the predominance of the Portuguese language and of the Catholic Church, intermingled with a variety of indigenous customs and traditions.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Mradi wa usambazaji maji uliojengwa na China wanufaisha maisha katika mji mkuu wa Angola

    Katika eneo la ujenzi wa Mradi wa Usambazaji Maji wa Quilonga unaotekelezwa na Shirika la Ujenzi wa Nishati la China (PowerChina) mashariki mwa Luanda, mji mkuu wa Angola, wafanyakazi wanashughulika na kazi zao kwa utaratibu mzuri. Figueira Kalunga, fundi wa usimamizi wa usalama, anazunguka...
  2. Dennis Robert Shughuru

    Angola ni nchi ya tatu kuzalisha crude oil kwa Africa ila wana refinery moja na nyingine ndogo sana

    Africa ni bara lisiloishiwa na maajabu nchi kama Angola ni ya tatu kwa kuzalisha lakini cha ajabu wana-cude oil refinery moja na nyingine ndogo sana kwa maana hiyo crude oil inayochimbwa Angola kwa asilimia kubwa haishafishwi au kuongezewa thaman ndani ya nchi Angola wakihitaji diesel, petrol...
  3. R

    Huyu mshambuliaji wa Williete Club De Benguela ya Angola sio wa kumfanyia mzaha ni wa kuchungwa sana pindi Yanga itakapokutana na hii timu

    Habari.. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza jamaa ni bonge la mshambuliaji ana speed,nguvu na akili kubwa sana anapokua ndani ya boksi jamaa ni hatari. Yanga itakapokutana na hii timu huyu Kapoul(Manha) ni wa kuchungwa sana. Na ndie mfungaji bora kwenye ligi kuu ya Angola.
  4. M

    Mechi ya awali dhidi ya Williete Club De Benguela Yanga kuweni makini kule Angola sio kibonde ni timu iliyojiimarisha!

    Baada ya droo ya caf ccl nimeona niwaonye yanga wawe makini na wachukue tahadhali zote dhidi ya timu hii ya Wiliete club de benguela ya Angola kwani sio timu kibonde ni timu iliyosukwa vizuri na Iko timamu kweli kweli! Timu hii msimu uliomalizika 2024/2025 imemaliza nafasi ya pili kwenye...
  5. McLaren

    Angola: Watu 22 wafariki na wengine 1124 wakamatwa kufuatia maandamano dhidi ya Serikali

    Takribani watu 22 wamefariki dunia katika maandamano yenye vurugu nchini Angola kufuatia ongezeko kubwa la bei ya mafuta, mamlaka zilisema Jumatano. Idadi hii ni ongezeko kubwa ikilinganishwa na vifo vinne vilivyoripotiwa siku iliyotangulia. Taarifa ya Ikulu ya Rais ilibainisha kuwa maandamano...
  6. SSH2025_2030

    Nani anatuwakilisha US-Africa Business Summit, Luanda, Angola?

    Nani mwakilishi wetu huko kwenye US-Africa Business Summit inayofanyika Luanda, Angola? Makamu yupo Roma,Italy, PM Bungeni. Tujitahid tuhudhurie hii kitu muhimu sana. Najua hatutakosa mikopo huko
  7. Ojuolegbha

    Waziri Kombo amuaga Balozi wa Angola

    WAZIRI KOMBO AMUAGA BALOZI WA ANGOLA Balozi wa Angola anayemaliza muda wake, Mhe. Sandro De Oliveira amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) kwa madhumuni ya kuaga. Katika kikao hicho kilichofanyika jijini Dar es Salaam Juni 21...
  8. peno hasegawa

    PreGE2025 Tetesi: Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya

    Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya. Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya! Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
  9. M

    Mtanzania aliopo Angola

    Kama kuna mtanzania alipo angola naomba kujua kama kuna fulsa kwa wajasiliamali nchini Angola hali ipoje na fulsa zake naomba msaada kwa yoyote aliopo huko
  10. M

    Mtanzania aliyepo Angola

    Kama kuna mtanzania aliyepo Angola naomba kujua kama kuna fulsa kwa wajasiliamali nchini Angola hali ipoje na fulsa zake naomba msaada kwa yoyote aliopo huko
  11. Ojuolegbha

    Ziara ya Rais Samia nchini Angola

    Ziara ya Rais Dkt. Samia nchini Angola
  12. Ojuolegbha

    Ziara ya Rais Samia nchini Angola yafufua ushirikiano katika sekta za kimkakati

    ZIARA YA MHE. RAIS SAMIA ANGOLA YAFUFUA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA ZA KIMKAKATI
  13. Ojuolegbha

    Rais Samia ahitimisha ziara yake ya kiserikali nchini Angola

    RAIS SAMIA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA KISERIKALI NCHINI ANGOLA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amehitimisha Ziara yake ya Kiserikali ya siku 3 nchini Angola. Mapema leo asubuhi, Rais Dkt. Samia alitembelea kiwanda cha kusafisha mafuta cha Luanda Oil...
  14. upupu255

    Rais Samia atembelea makumbusho ya Muasisi wa Taifa la Angola, Agostinho Neto

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Makumbusho ya Rais wa kwanza na Muasisi wa Taifa la Angola, Hayati António Agostinho Neto katika eneo la Public Square Jijini Luanda, tarehe 08 Aprili, 2025. Rais Dkt. Samia amepokelewa kwa heshima ya kijeshi...
  15. Ojuolegbha

    Waziri Kombo akutana na Waziri wa Mambo ya nje wa Angola kujadili maandalizi ya ziara rasmi ya Kitaifa ya Rais Samia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Angola, Mhe. Tete António, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe...
  16. B

    Angola yajivua jukumu la kuwa mpatanishi wa Umoja wa Afrika katika mzozo wa DR Congo, yanyosha mikono juu yabwaga manyanga

    Ofisi ya Rais inasema Rais Joao Lourenco anataka kuangazia kazi yake kama mwenyekiti wa Umoja wa Afrika KIGALI, Rwanda Angola imejiyoa jukumu lake kama mpatanishi mkuu wa Umoja wa Afrika kati ya waasi wa Kongo wa M23, serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda, ofisi ya rais João...
  17. upupu255

    SI KWELI PreGE2025 Lissu alisema sababu ya wao kuzuiliwa kuingia Angola ni kwa sababu walihisiwa wana M-pox

    Wakuu Lissu alisema sababu ya wao kuzuiliwa kuingia Angola ni kwa sababu walihisiwa wana M-pox?
  18. Ojuolegbha

    Waziri Kombo akiwa pamoja na wanaDiaspora waTanzania wanaoishi Luanda, Angola

    Waziri Kombo akiwa pamoja na WanaDiaspora WaTanzania wanaoishi Luanda, Angola leo Jumapili 16 Machi 2025 alipokutana na WanaDiaspora wanaoishi nchini Angola baada ya kumaliza dhamana za kazi mchana wa leo Jumapili. Kwenye picha anaonekana Ndg. Alamin na Mkewe Ramla na Mtoto wao Mdogo...
  19. Ojuolegbha

    Waziri Kombo alivyowasilisha ujumbe Maalum Angola, Tarehe 15 Machi, 2025

    Waziri Kombo alivyowasilisha ujumbe Maalum Angola, Tarehe 15 Machi, 2025
  20. Just Pray

    PreGE2025 Dorothy Semu wa ACT Wazalendo: Tunaitaka serikali imuite Balozi wa Angola nchini Tanzania ili ajieleze

    “Kutokana na kadhia hii ambayo mmeisikia kwanza baada ya matukio haya yote kuanzia tarehe 13 mpaka leo tarehe 16 tunafanya press hii hatujasikia chochote kutoka kwa Serikali ya Tanzania kutoka kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzanka kutoka kwa Wizara ya Mambo ya Nje kwamba ni nini hasa...
Back
Top Bottom