angani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    Kwanini Mwanaccm Samia Suluhu Hassan kabadilli gia angani na kutaka kamati mpya ya Uchunguzi?

    Kwanini Mwanaccm Samia Suluhu Hassan kabadilli gia angani na kutaka kamati mpya ya Uchunguzi? Kwani ile ya kwanza nani aliiunda? Asiongeze watu, bali aivunje kabisa.
  2. Sifi Leo

    Ccm wote majizi hata Hayati Lowasa alikwenda chadema na mfumo wa kudukua kura angani na chadema wakapokea, jamani twende wapi sisi watakatifu?

    Utafutwaji WA madaraka katika mataifa ya Kiafrica unatumia sana njia haramu hivi ni kwa Nini? Hivi hamkumbuki wakati wa uchaguzi walikamatwa vijana kutoka izraeli walio kuwa maIT wa chadema walio letwa na Hayati Lowasa? Unaambiwa vijana walitoka izraeli, wakafikia hotelini KAZI Yao ilikuwa...
  3. generationn Z

    Utofauti wa speed nchi kavu, angani na baharini

    Iko wazi, kwa kila mtumiaji wa map zinazopatikana ktk simu zetu amewah kupima speed pale anapokuw safarini. Sasa swali langu ni. Ikiwa uko baharini(boti/meri) au angani(ndege/parachuti) hii map itaendelea kufunction km kawaida au kutakuwepo na mabadiliko? Nauliza hivo maana sijawahi panda...
  4. Mstahiki Mea

    Tanzania kurusha chombo Angani kwa mara ya kwanza

    Tanzania, kupitia Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT), ina mpango wa kurusha satelaiti yake angani, ifikapo mwaka 2026. Chombo hicho, kitakuwa cha kwanza kurushwa angani na nchi hiyo, baada ya kuongezeka kwa ujuzi, ubunifu na teknolojia. Chuo cha DIT kilianza mpango huo toka mwaka 2024...
  5. Matteo Vargas

    B-2A Stealth Bomber yaruka angani kwa masaa 37 mfulilizo kwenda kupiga vinu vya nyukilia vya Iran

    Huko mashariki ya kati nchi zote zipo kimya zimetulia kabisa wakati kuna mtu anafundishwa adabu.
  6. MK254

    Israel kufunga anga ya Yemeni, kutia uzio angani, hamna chochote kitapaa au kutua

    Hii wamesema baada ya wao kupiga ndege iliyokua imesalia uwanjani, uwezo wa kufunga anga wanayo, nia wanayo na sababu za kufunga wanazo..... Hawa wana wa Yakubu walibarikiwa sana, ukizingatia makobaz bilioni mbili duniani yamekua yakiomba Israel wafutwe kwenye ramani ila itakua wanayemuabudu...
  7. GENTAMYCINE

    Mashabiki wa Simba SC tafadhali Siku zingine msirudie tena huu Ushamba ambao pia ni Hatari kama Ndege ikiwa Angani na hairuhusiwi

    Hairuhusiwi popote pale Ndege ikiwa Angani Watu (Abiria) kuanza Kucheza Dansi huku wengine Wakiruka Sarakasi katika Viti vyao na wengine wakirandaranda na Vinywaji vyao (Vilevi) kana kwamba Wote wako Baa wakati kumbe wako Futi 65,000 Usawa wa Bahari wakiitafuta Morocco. Na nimeshangaa sana tu...
  8. figganigga

    Polisi Tanzania wabadili gia angani. Sasa wanaficha sura zao ili Wasitambulike

    Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu. Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka CCTV CCTV kamera zikionesha Sura za Polisi wakielekeza Mbwa kung'ata waduasi wa CHADEMA. Mbali na...
  9. Valencia_UPV

    Eid Mubarak nikiwa angani na Emirates A380 (JFK-DXB-DAR)

    1. Eid Mubarak toka Angani ndani ya Emirates A380 full internet. 2. Ndugu zangu nikiri mm ni mtoto wa Mkulima na bila baraka basi hii mipipa tungekua tunahadithiwa na watoto wa kishua. Lakini kama mnavyojua imebaki historia . Nakwea pipa hadi inakera.
  10. U

    Jeshi la Israel yaani IDF halina utani, lafanya shambulizi kali la kutokea angani huko Syria kwenye mji wa pwani ya Latakia,

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa za hivi punde za motomoto zinasema IDF wamefanya shambulizi kali la anga huko Syria Mlengwa hajajulikana bado ila naahidi kuwa nitawajuza nani kaliwa kichwa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Mungu ibariki nyumba ya Yakobo The Syrian National News Agency...
  11. Waufukweni

    Hatimaye Wanaanga waliokwama angani Miezi 9 warejea duniani

    Wanaanga wawili wa Shirika la Marekani la Sayansi na Teknolojia ya Angani (NASA), Butch Wilmore na Suni Williams, pamoja na Mmarekani mwenzao Nick Hague na mwanaanga wa Urusi Aleksandr Gorbunov, hatimaye wamerudi duniani usiku wa kuamkia leo baada ya kukwama angani kwa miezi tisa. Wanaanga hao...
  12. Teknolojia ni Yetu sote

    Waanga waliokwama Angani takribani miezi 9 wamepatikana watarudishwa Duniani🌍

    Timu kutoka SpaceX Crew Dragon imefanikiwa kutiananga kwenye kituo kimoja cha kimataifa cha Anga za Juu (ISS) na kuweka mazingira mazuri ya kuwarejesha wanaanga wa NASA ambao wametumia karibu miezi tisa katika obiti. Wanaanga hao kutoka Nasa Sunita Williams Na Butch Wilmore wataweza kurejea...
  13. Faana

    Hotel inayoruka angani kwakutumia nguvu ya nyuklia yaja

    Hoteli kubwa ya angani itakayoendeshwa kwa nguvu ya nyuklia yaja, pamoja na huduma zingine, inatajwa kuwa hotel hiyo itakuwa na gym pamoja na bwawa ya kuogelea, hotel hiyo itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 5,000 kwa wakati mmoja na itaweza kuwa angani kwa muda wa miezi kadhaa na itaweza...
  14. Faana

    Matukio makubwa muhimu angani mwaka huu 2025

    Yafuatayo yatakuwa matukio ya kiastronomia mwaka huu 2025
  15. U

    Maajabu picha bahari ya Galilaya kutokea angani inavyopendeza na kufanana na ramani ya bara la Afrika, Yesu Kristo alitembea juu ya maji yake

    Wadau hamjamboni nyote? Bahari nzuri ya kupendeza ya galilaya imefanana na bara la Afrika Maji yake Yana baraka kubwa sana Mungu ibariki Israel
  16. Ritz

    PreGE2025 Lissu, mbona mnabadili gia angani tena? “No reform No election”Imekuwaje?

    Wanakumbi. Endeleeni tu kuwa msimamo wenu ni "No reform No election" yaani tafsiri yake iko wazi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi!.. Sasa mbona mnabadili gia angani tena? Imekuwaje? Shikilieni hapo hapo muone kitu mtafanywa mwezi Oktoba 2025 !..Wajinga sana ninyi!.. Tukiwaambia huyu mtu...
  17. Mshana Jr

    Usikose tukio hili la angani tarehe 25 Januari 2025!

    Once in a life time! Watazamaji na mashabiki wa anga wanatazamiwa kupata burudani ya kipekee ya angani kwani sayari sita - Mihiri, Jupita, Venus, Zohali, Neptune, na Uranus - zote zitaonekana angani usiku. Bila shaka, utaweza pia kuona tukio hili usiku wa leo, kwani sayari zitakuwa...
  18. I

    Hivi ni kweli kuna satellite uko angani yaweza piga picha watu na kurekodi sauti katika uso wa dunia?

    Habarini wanajukwaa Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,ni kwamba nilimsikia mtu mmoja akisema,ati wazungu ni balaa maana wamepiga hatua kubwa kitekinolojia,kwamba wamefikia hatua yakutengeneza satellite inayoweza kukupiga picha,kuchukua video yako,hadi sauti yako,(lkn ni kama wakihamua...
  19. dogman360

    Ndege ya Assad Yapigwa na Kombora la S-300 la Urusi

    Ndege ya Assad aina ya Ilyushin II ilianguka mashambani mwa Homs ilipokuwa ikiruka kutoka Damascus kuelekea kutua Tartus. Ilikuwa imepotea kwenye rada kwa kasi ya kilomita 40 kwa saa. Ripoti za milipuko ziliripotiwa katika eneo hilo. Ndege hiyo ilipigwa na kombora la S-300 la Urusi...
  20. O

    Nyota kujipanga mstari angani

    Habari Wana JF, juzi usiku kwenye saa moja hivi niliona kitu Kama NYOTA zimejipanga mstari zikawa zinasogea alafu zikapotea, nikawa najiuliza maswali ni nini hiko bila majibu.
Back
Top Bottom