Kwenye jumba la kifalme la udongo na chuma lililozungukwa na miili ya simba na mamba waliokaushwa, aliishi mwanamume mmoja aliyetawaliwa na woga na wivu mkubwa wa madaraka. Alikuwa amevaa vazi la dhahabu lililonakshiwa na taji ya almasi yenye thamani ya mamilioni ya dola. Jina lake aliitwa...