android

  1. JamiiForums Tanzania Makosa yanayofanywa na watu wanaotumia simu za Android

    Simu za Android ni simu zenye mfumo rahisi kutumika lakini simu za Android pia ni rahisi Sana kuzifanyia makosa upelekea simu kualibika au kufa kabisa. Kuna makosa mengi watumiaji wa simu za Android ufanya wakati wanatumia upelekea simu zao kukosa ufanisi pamoja utendaji wake wa kazi kupotea.👇...
  2. JamiiForums Tanzania Nawezaje kudownload video za Instagram kwenye simu ya Android

    Mnaotumia Android Mnawezaje Kupakua (Download) Video Clip Huko Instagram Hua Mnatumia App Gani...?
  3. JamiiForums Tanzania Msisahau ku-update Android zenu kwenda Android 13

    Wakuu naomba kuwakumbusha kwamba Android 13 ilishatoka toka mwaka Jana August na kwa Samsung imeanza kutoka October 22. Simu yangu ilipata updates October 22, hivyo natumia Android 13 toka kipindi hicho. Kitu kimoja nilisahau nimependa na ningependa kuwashirikisha ni uwezo wa kutokuonyesha...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa android phone security: Je kuna tracking app/software yoyote inayoweza kukwepa 'factory/hard reset'?

    Wakuu na wataalaamu wa phone security, Nini mtu afanye ili kuiwekea ulinzi smart phone ili itakapoibiwa ama kupotea aweze kuitrack? Wezi wanaflash (factory reset) na kubadili IMEI number. IMEI NUMBER inapokuwa changed, habari kwishney, polisi wanakuwa hawana msaada wowote tena. Je, kuna...
  5. JamiiForums Tanzania INAUZWA Android car radio Tshs. 200,000/=

    Android car radio tshs. 200,000/ fixed 📞 0785335350
  6. JamiiForums Tanzania S10 android 12 na ukosefu wa quick data button

    Amani na iwe kwetu wote. Nashukuru jukwaa la tech ndo huwa hawana bla bla nimesaidika sana. Sasa nina samsung s10 ina android 12. AT &T Tatizo lake sasa linaloninyima raha ni kutokuwepo button ya data kwenye quick panel. Nalazmika kuzunguka wenye setting kuzima na kuwasha data. Unaona...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Android bao game (maboresho)

    Kuna marekebisho mengi katika hii app (BaoTz v2.0.0) katika toleo hili. Sasa lina level 4 ambapo unacheza mchezo wa bao la kete kwenye simu yako offline, mwanzo lilikuwa na level 3. Hata hivyo linahitaji zaidi maboresho hasa kwa upande wa AI (Artificial Intelligence) kama mnavyojua positions...
  8. JamiiForums Tanzania Kuweka android version 12 kwenye samsung S9; Inawezekanaje?

    Naomba kufahamu kama naweza kuweka android version 12 kwenye Samsung S9. Ahsanteni.
  9. JamiiForums Tanzania ADB commands android devices

    Here is a list of ADB commands that you can use through CMD or ADB Shell on local device: ADB Basics adb devices (lists connected devices) adb root (restarts adbd with root permissions) adb start-server (starts the adb server) adb kill-server (kills the adb server) adb reboot (reboots the...
  10. JamiiForums Tanzania Android 13 kubwa kuliko ndani ya Tecno Camon 19 pro 5g

    Mnamo Mei 11 hadi 12, Google ilizindua rasmi Android 13, mfumo wa uendeshaji wa kizazi kipya. Kama mwanzilishi wa kimataifa katika teknolojia ya elektroniki, kampuni ya simu ya TECNO ilikuwa miongoni mwa wazalishaji wa kwanza wa smartphone kujiunga na Programu ya Android 13. Bidhaa yake ya hivi...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Pakupata Game za android

    Msaada mwenye kujua wapi pakudownload game moja ya kitambo ya draft.ukimfunga mdada anavua nguo
  12. JamiiForums Tanzania Wapenzi wa game za ANDROID hili hapa game bora kabisa kwa upande wa android games

    TYCOON BUSINESS 2022 Wale wapenzi wa games basi hii ni fursa kwenu game hili linahusika na masuala ya kiuchumi, teknolojia, utachagua nchi yako ambayo utaunda kampuni yako kisha utaanza kujenga uchumi wako kama tunavojua ili uwe na uchumi bora ni lazima uwe na jeshi bora teknolojia bora kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kutengeneza Android App bure

    Karibu tena jamaniina leo nakuleteya kitu ambacho ulikuwa unatamani ukifanye alafu unashiindwa.. kuna wakati unahitaji sana kutengeneza Android Application lakini haujui kuhusu lugha inayotumika kutengeneza hizo Android Application yaani JAVA au Python na jinsi ya kutengeneza mpaka ikamilike...
  14. JamiiForums Tanzania Nicheze android game lipi zuri la mpira?

    Ukitoa hii UTOPOLO (Dream Winners) game gani zuri la mpira (offline) ambalo nikiwa nacheza linatangazwa....
  15. S

    JamiiForums Tanzania Jifunze Cloud infrastructure na android development

    Kwa mwaka wa tatu program ya ufazili wa kujifunza Cloud infrastructure na android development kupitia pluralsight,Google na Andela Deadline ya kuingia 31-05-2021 Tusipitwe na fursa hii muhimu. Tembelea website ya Andela au pluralsight kufanya application.
  16. JamiiForums Tanzania Ni android App zipi zinaweza kuedit PSD, EPS file format? kama adobe Photoshop na illustrator?

    Habari wakuu? Hivi Ni android App zipi zinaweza kuedit .psd, .eps file format?? kama adobe Photoshop na illustrator? Nahitaji msaada Wakuu NIMEKWAMA.
  17. JamiiForums Tanzania ANDROID SIM: NI APP gani ina operate kama MS WORD

    Wadau naomba mnijuze ni App free ambayo ina operate as MS word Avhana na Ile WPS Office
  18. J

    JamiiForums Tanzania Smart Android TV

    Ninashida ya operating system ya tv yangu pinetech model no PT55-E1 smart 55' na cjajua namna ya kutatua tatizo coz ikiwaka inaandika "PINETECH" halafu inaandika tena "Android" inagandia hapo, hakuna chochote tena. Naombeni msaada ata ushauri tu
  19. L

    JamiiForums Tanzania Android Application Development.

    Wakuu natumaini mu wazima wa afya, karibu hapa tujadiliane kidogo kuhusiana na maswala ya Android application development. Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakihitaji kuingia kuna Android Development lakini wanakosa pa kuanzia sasa hapa nazani patawafaa sana. Natambua kuna nyuzi kadhaa zimewahi...
  20. JamiiForums Tanzania Napataje database hosting kwa ajili ya android au iOS app yangu?

    Mtu aniekekeze napataje database hosting kwa ajili ya android au iOS app yangu, nimeunda app lakini inahitaji database, wasi wasi wangu ni kama hapa Tanzanzia kuna hiyo huduma au mpaka nitumie za nje.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…