anapaswa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbowe anapaswa kubeba lawama ndio chanzo cha yanayoendelea CHADEMA

    Bonjour wanabodi! MBOWE CHANZO CHA YANAYOENDELEA CHADEMA. Pamoja na miaka yote aliyoifumia kukijenga CHADEMA kwa jasho na damu ingawa si peke yake maana kuna ambao walipoteza maisha, wapo waliopotezwa mpaka sasa hawajulikani walipo, wapo walioumizwa sana na kuachiwa vilema vya kudumu hadi leo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeamini kwanini hata viitabu vya dini vinasema mwanamke anapaswa kuwa ni msaidizi tu

    Haika nimeamini na kuelewa ni kwanini vitabu vya dini(Bibilia) inasema wazi kuwa mwanamke ni msaidizi tu na si vinginenyo. Yaani wewe kila ushauri unaoletewa unauukubali hata kama una madhara makubwa yanayoweza hata ku-backfire. hapo baadae. Watangulizi wa muhusika hata nao walikosea, ila si...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa nini Mfanyabiashara anayejitafuta anapaswa kusajili jina la Biashara?

    Katika safari ya kujitafuta kupitia biashara, kuna hatua ambazo huweza kukuinua haraka au kukugharimu muda, jina, na hata fedha zako. Moja ya hatua za msingi kabisa ambazo kila mjasiriamali anayejitambua anapaswa kuchukua ni kusajili jina la biashara. Hii si tu kwa ajili ya kufuata sheria...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Unapochagua Laptop, Hii Ndiyo Kitu Ambacho Kila Mtu Anapaswa Kujua

    “Tech Doesn’t Have to Be Complicated. Here’s Proof.” Uzi huu unalenga watu wanaogopa kununua vifaa vya kielektroniki kwa sababu ya kutokuelewa vizuri, na unaleta uaminifu na ufahamu. Tech Doesn’t Have to Be Complicated. Here’s Proof. Wengi wetu tunahitaji laptop au desktop — kwa kazi, shule...
  5. H

    JamiiForums Tanzania "Kila mtu anapaswa kuamua hatima yake mwenyewe"-Prophet Bob Marley

    "Kila mtu anapaswa kuamua hatima yake mwenyewe, Na katika uamuzi huu hakuna upendeleo. Kwa hivyo mkono mikononi, kwa mikono, tutapambana na mapambano haya madogo, Kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee tunaweza kushinda shida yetu ndogo "-Prophet Bob Marley
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Who owes allegiance to the United Republic Of Tanzania? (Ni nani anapaswa kuwa muaminifu kwa Jamhuri ya Muungano Tanzania)?

    FOR ACADEMIC PURPOSE ONLY. Uaminifu au utii kwa Nchi ni jukumu mama na la kwanza kwa Kila raia wa Nchi husika. Mtu yeyote asiye raia anaweza kutokuwa muamimifu kwa Nchi yoyote na isiwe na madhara kwakwe Lakini sio kwa upande wa Raia. Uaminifu kwa Nchi unazaliwa na uraia wa Mtu au unaanza na...
  7. JamiiForums Tanzania Kila Mfanyabiashara aliye Makini na maono ya Biashara yake Anapaswa na ni Lazima kuwa na mambo haya

    Mfanyabiashara wa Tanzania anayechukulia biashara yake kwa umakini anapaswa kuwa na mambo yafuatayo: TIN Number (Taxpayer Identification Number) – Hii ni namba ya utambulisho wa mlipakodi kutoka TRA, inayomwezesha mfanyabiashara kulipa kodi rasmi. Leseni ya Biashara – Hutolewa na halmashauri...
  8. JamiiForums Tanzania Aliyeruhusu uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kufunguliwa anapaswa kuchunguzwa. Uwanja bado haufai

    Nimeshangaa sana kuona Mamlaka zinazosimamia viwanja kuruhusu uwanja huu kutumika kwa michezo ya Ligi namba 6 kwa ubora barani Afrika. Baada ya kutazama mchezo wa Tabora utd inashangaza kuona uwanja huu ukitumika kwa michezo rasmi. Uwanja hiu ulifungiwa wiki kadhaa zilizopita, Swali la kujiuliza...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Muhimu kila mtumiaji wa kompyuta anapaswa kujua

    Mambo 10 Muhimu Kila Mtumiaji wa Kompyuta Anapaswa Kujua Teknolojia inakuwa kwa kasi, na kompyuta imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu—iwe kwa kazi, elimu, au burudani. Hata hivyo, ili kuhakikisha kompyuta yako inafanya kazi vizuri kwa muda mrefu na unakuwa salama mtandaoni, kuna mambo muhimu...
  10. JamiiForums Tanzania Katika nyakati ambazo Iran anapaswa awe mpole na afiche kichwa chake basi ni wakati huu wa hatari, maana anapitia majaribu makubwa

    Amani kwenu wakuu Iran kashasoma nyakati yupo kama hayupo na mimi pia namwombea akae kwa kutulia hivyo hivyo, maana wale wababe wa Dunia wana mtafuta kwa nguvu nyingi sana Anapitia majaribu makali sana lakin hana budi kunyenyekea na kutulia na kuutazama msalaba Atulie hivyo hivyo...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto anapaswa kujifunza kwa Mwakyembe

    Huyu mtawala wa Kenya amejawa na kiburi sana, anawaambia raia wake hakuna mtu anayeweza kumwambia kitu, yeye ana PhD na hajui hata wengine wamesoma wapi!
  12. JamiiForums Tanzania IGP anapaswa kujitathmini. Utekaji wa raia umezidi.

    Watu wanapotea bila maelezo. Mpaka leo Deusdedit Soka hajulikani yuko wapi. Abdul Nondo ametekwa juzi. Watu wanauliza maswali hawapati majibu. Juzi ametekwa mtu Mbezi,mfanyabiashara,muuza Bucha,Daudi,I forget his name,ameuawa, mwili wake umetupwa Bagamoyo. Familia yake ikasema Polisi imewazuia...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe anapaswa kupumzikka?

    Mfumo wa uongozi wa muda mrefu wa Freeman Mbowe kama Mwenyekiti wa CHADEMA unaweza kueleweka kwa kuangalia madhara ya kukaa katika cheo cha juu cha chama muda mrefu: Kama Mbowe angaliachia madaraka baada ya muhula wake wa kwanza, angekumbukwa kama mtu aliye na maono ambaye kazi yake...
  14. JamiiForums Tanzania Wakati gani mtu anapaswa kuwa na mshauri binafsi wa fedha?

    Wataalam wa aina hiyo wanapatikana Tanzania? Nafahamu kuwa Tanzania kuna watu waliosomea masuala ya FINANCIAL PLANNING, lakini sikumbuki kama nimeshawasikia Watanzania wakishuhudia jinsi ushauri wai ulivyowawezesha kufikia malengo yao ya kifedha! Lakini kupitia baadhi ya vitabu nilivyovisoma...
  15. JamiiForums Tanzania HIVI MAMA NDIYO ANAPASWA KUTOA ELIMU YA AFYA>?????

    watanzania eeeeh embu tuelimike hapa,kweli sisi ni maskini kweli kweli lakini kuna suala linaloendelea katika jiji letu la Dar es salaam mmmh hapana,wataalamu wa afya especially mabwana afya embu badilisheni namna ya kufanya kazi, kuna wafanyabiashara wa chakula barabarani mazingira si rafiki...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Tanzania anapaswa kusifiwa tu na si kulaumiwa

    Kumekuwa na watu wanaohoji kwanini rais anasifiwa sana ila hakosolewi. Kwanza, ana mamlaka makubwa kikatiba. Anaweza kufanya lolote atakalo asivunje sheria. Mfano, alipomteua Makonda wengi walistuka na kulaumu lakini aliwapuuza. Pili, alipomteua mkwewe na kumpa jukumu la kuchakachua, sorry...
  17. JamiiForums Tanzania Mambo sita ambayo mwanaume yeyote anapaswa kuyasoma

    Jambo la kwanza, wavulana huingia kwenye uanaume pale wanapoanza kuelewa kwamba,hakuna anayewajali kama hawana mchango wowote katika maisha,kama unataka kuwa mwanaume basi onyesha thamani yako katika maisha. Jambo la pili, jifanye hauna uwezo wa kupata mkate wako wa kila siku mpaka pale...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Imamu sheikh Mbwana Haji - muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na kamwe hatakiwi kufanya ubaya ikiwa wengine wanafanya ubaya kwake

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa hapo chini: Mtoa hotuba wa Ijumaa ya leo msikiti Sunni Dodoma (Nunge) Imamu sheikh Mbwana Haji amesema muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na kamwe hatakiwi kufanya ubaya ikiwa watu wengine wanafanya ubaya kwake au kutoa kauli mbaya mbele...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kwa Wana CHADEMA; MBOWE anapaswa kupumzika

    Asalaam ndugu zangu!!! Ifahamike;Mimi ni Mwana CHADEMA tena sio Mwana CHADEMA wa kuhamia lahasha!!! Bali ni Mwana CHADEMA wa kuzaliwa…….nimezaliwa nikamkuta mzazi wangu mmoja ni Mwana mageuzi,hivyo nami nikawa Mwana Chama wa hiki Chama kwa kwa Kurithi kutoka kwa Bi’Mkubwa wangu…………Nikienda...
  20. JamiiForums Tanzania Chalamila anajitahidi lakini anapaswa kuongeza ustahimilivu wa kusikiliza

    1. Albert Chalamila ni Mwalimu kitaaluma, anafahamu kuwa kusikiliza ni mojawapo ya communication skills muhimu sana. 2. Mwananchi aliyelalamika watoto kubakwa anafahamu kituo cha Polisi kilipo. Aliamua kulalamika kwake badala ya Polisi kwa kuwa ana imani naye zaidi kuliko Polisi. 3. Kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…