anapaswa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mzee Joseph Butiku, Respect is not granted like a cake on the plate. Respect for public leaders is earned!!

    Wazee kama hawa wanatukosea sana vijana. Tukiwakosoa, wanatuona hatuna adabu wala heshima kitu ambacho sio kweli kwa sbb wao ndio wakekosa kujiheheshimu ili na jamii iwape heshima yao.. Laiti angejua kuwa heshima hapewi mtu kwa sababu tu ya umri wake au cheo chake, basi asingeweza kutoa...
  2. JamiiForums Tanzania Ni Msanii gani wa Tanzania anapaswa kupewa Mkataba wa wimbo wa FIFA World Cup ijao?

    Wakuu Baada ya kuangalia perfomance ya The Mother na Malkia wa Majukwaa ya Kombe la Dunia 'Shakira', The African Giant 'Burna Boy', Tyla kwenye ufunguzi wa michuano hiyo mikubwa ulimwenguni, unadhani ni Msanii gani wa Tanzania anapaswa kupewa Mkataba wa wimbo wa FIFA World Cup ijao?
  3. JamiiForums Tanzania Nguchiro na Ngedere....nani anapaswa kudhibitiwa zaidi..?

    Zama zile Tuliitwa Ngedere na wengine wakadiriki kutumbia ya kwamba tuamie Burundi, lkn zama hizi tunaitwa Nguchiro. Jamani wanasiasa punguzeni zarau na kujiona ya kwamba mmefika climax au untouchable....Mimi uwa Nina amini malipo uwa ni apa apa Duniani. Unatumia Kodi za nguchiro na Bado...
  4. JamiiForums Tanzania Saudia Arabia: Hatuwezi tena kusimama na Trump; Trump anapaswa kwanza kujiokoa, kisha atuokoe

    Wanaukumbi. Sikiliza msimamo wa Saudi Arabia leo: “Hatuwezi tena kusimama na Trump; Trump anapaswa kwanza kujiokoa, kisha atuokoe. Tangazo kuu la Saudi Arabia.” Kwa mara ya kwanza katika zaidi ya miaka 80, Wasaudi wanasema HAPANA kwa Marekani. Ninaiita Ugeuzi wa Karne wa Saudi Arabia...
  5. JamiiForums Tanzania BAKWATA: Kila mmoja anapaswa kupata funzo kwa kilichotokea Oktoba 29, 2025

    Salamu za BAKWATA katika baraza la Eid El Fitr zilizotolewa na Katibu Mkuu wa BAKWATA, Alhaj Nuhu Jabir Mruma
  6. E

    JamiiForums Tanzania Je Mtoto wa kike anapaswa Aanze kufundishwa kufanya usafi wa ndani na Mazingira akiwa na umri gani?

    Je mtoto wa kike anapaswa kuanza kufundishwa kufanya usafi wa nyumbani akiwa na umri gani
  7. JamiiForums Tanzania Rais Anapaswa Kuwa Mtu Mwenye Maono Makubwa na Upeo Mkubwa Kiakili

    Samia Suluhu Hassan hana sifa hizo ndiyomaana anapambana kuua watu wenye upeo mkubwa wa akili wanaomwambia ukweli. "Ni hatari sana kuwa sahihi wakati serikali inakosea" Maxence Melo.
  8. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kutofanyika kwa maandamano na kuwepo utulivu D9 ni nani anapaswa kupongezwa, Serikali au wananchi?

    Wakuu, Kutofanyika kwa maandamano na kuwepo kwa hali ya utulivi na amani nchini Tanzania siku ya tarehe 9 Disemba 2025 ni nani anapaswa kupongezwa, Serikali au wananchi ?
  9. JamiiForums Tanzania Je sheria za nchi haziruhusu kiongozi wa nchi kujiuzulu nakama zinaruhusu ni sifa/vigezo vipi ambavyo kiongozi wa nchi akiwanavy anapaswa kung'atuka?

    Taasisi ya urais imetoa sana kundule kwenye boliti ya wenzao lakini hakuna matokeo chanya. Je nyani haoni macho kwenye vibanzi? Kati ya watu 70miloini hakuna anaeweza bali yeye tu? so Why!? Mbona kama jahazi linazama mdogo mdogo, ina maana hakuna namna yoyote ya kuleta hari shwari! Kama zipo...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Said Azan: Ikulu si hospitali kwamba kila mgonjwa anapaswa kuingia

    Kwa mujibu wa Said Azan Msingili mgombea jimbo la Uzini amesema Ikulu si hospitali kwamba kila mgonjwa anapaswa kuingia . Amesema ametaja hospitali kwani wapo baadhi ya watu ambao wamekuwa wanahamasisha vurugu na si amani huku akisema CCM
  11. JamiiForums Tanzania Si kila mtu anapaswa kutembelea kaburi la Mwl. Nyerere,wengine ni wachafu kwa matendo

    Imekuwa ni fashion kwa wanasiasa kila anayekwenda Mara lazima aende kwenye kaburi la Nyerere. Imekuwa ni kasumba ya kwenda kujikosha ionekane kwamba wanafuata misingi ya Mwalimu. Lakini hebu niwaulize swali nyinyi mnakwenda hapo. 1. Je matendo yenu na ya Mwalimu Nyerere yanaendana? 2. Je falsafa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wakati Polepole anaendelea na destruction na character assassination, Anapaswa kuwepo mtu mwingine wa kuchochea uasi wa Umma (Civil disobedience)

    Wakati huu moto unaendelea kuwaka inatakiwa aibuke mtu mmoja mwenye kauli za kuchochea kama vile Lema, Lusinde, Lissu, marehemu Ndugai, Askofu Gwajima n.k Mtu ambaye yeye kazi yake itakuwa ni kuwasimanga na kuwapachika majina mabaya viherere wote wa CCM mtandao (Wananchi wajinga) kuwashambulia...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya Lissu aliesema "tutakinukisha" na wanaotuhumiwa kuingiilia mifumo ya uchaguzi kwa mujibu wa Polepole, nani anapaswa kushitakiwa kwa uhaini?

    Baada ya Polepole kutoa tuhuma nzito za mifumo ya uchaguzi kuingiliwa huku akitaka uchunguzi huru utaohusisha vyama vyote ufanyike ili umma ujiridhishe kama alichosema ni kweli au laa, nimejikuta na hili swali hapa chini: Kama Lissu anashitakiwa kwa tuhuma za kusema atakinukisha kuvuruga...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume wa kikristo walipieni wasichana mahari na siyo kuwalipia wanawake mahari kama mnavyofanya sasa

    Ndugu zangu. Mahari iliwekwa kwaajili ya kulipia wasichana na siyo kulipia wanawake pindi unapotaka kuoa. Ila cha kushangaza utakuta wanaume wengi wa kikristo wanakomaa kulipia wanawake mahari badala ya kulipia wasicha(binti) huku wazazi wa wanawake hao wanakaza kichwa na kutamka mapesa makubwa...
  15. JamiiForums Tanzania Anayemfokea mtumishi wa mahakama anapaswa kuadhibiwa

    Mahakama inatakiwa kuheshimiwa na isigeuzwe kama klabu cha pombe. Kuna video clips zinamuonesha mtu mmoja akifoka na kuwatishia watumishi wa mahakama. Nitashangaa sana kama ataachwa free na hatimaye hii ikageuka ndio utamaduni. Ipo siku mtu ataibiwa halafu wakati wa kesi vibaka wakaambizana waje...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Sowah, anakipaji anapaswa kutunza kipaji chake kwa Nidhamu na siyo kuvunja heshima ya watu wengine

    Sowah ni mchezaji mzuri, katika kuendelea kudhihirisha kile alichonacho, anahitaji kurekebisha vitu vichache tu Sowah, anahitaji kutengeneza kitu kinaitwa Nidhamu, katika kujenga uwezo wa kipaji na kukipalilia, mtu yeyote anahitaji ajiheshimu na kuheshimu wengine hata kama ni kwa jambo...
  17. JamiiForums Tanzania Kikwete anapaswa kuona haya za uso na akili

    Kila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake! Kikwete ebu muachie huyo mama, kwanza ni mke wa mtu halafu anahitaji faragha yake na kupata muda wa kutafakari mambo ya nchi...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kila Mwanamke Anapaswa Kujua Hili Kuhusu Mvurugiko wa Hedhi

    Hedhi ni Nini Haswa? Hedhi ni damu inayotoka kutokana na ukuta wa ndani ya mfuko wa mimba (uterus) ambao huandaliwa kila mwezi kwa ajili ya ujauzito. Endapo mimba haijatungwa, ukuta huo hubomoka na kutoka kama damu ya hedhi. Wanawake huanza kuona hedhi wakati wa kubalehe (puberty) kati ya miaka...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu yupo anapaswa kuniomba msamaha haraka sana.

    Milango bado ipo wazi kwake.
  20. JamiiForums Tanzania Rais wa TLS na Wakili musomi Mwabukusi anapaswa awe Mwasheria wa Serikali

    https://youtube.com/shorts/FWDKb8Whcds?si=Pjlh0CNSjwXKsaA3 Ukisikiliza kwa makini Maneno ya huyu Wakili Musomi ndipo unaweza jua hii nchi haina Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Aliyeko pale ni kikaragosi cha CCM ili kutekeleza maagizo toka juu. Tafakari kwa kina.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…