amuua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania MWANASHERIA, NKIKO AMUUA MPENZI WAKE CHANZO NI WIVU WA MAPENZI

    Mwanasheria Keneth Nkiko (28) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake, Magreth Richard (22), mfanyabiashara na mkazi wa Manispaa ya Musoma akimtuhumu mpenzi wake huyo kuwa na mahusiano na wanaume wengine. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara kupitia kwa Kamanda...
  2. JamiiForums Tanzania Kijana amuua mpenzi wake na kumkata kichwa, atokomea nacho

    Kijana mkenya Walter kipkoech umri wamiaka 23, amuua mpenzi wake na kumkata kichwa, kisha kukimbia nacho. Jeshi la polisi lafanikiwa kumkamata, ambapo inasemekana chanzo ni kutoka kua mwaminifu Binti huyo wa miaka kumi nana 18 mwanafunzi wa kidato cha nne. Baada ya kutekeleza shambulio hilo...
  3. JamiiForums Tanzania NJOMBE: Amuua mumewe kwa kumpiga na chuma kichwani

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia Betrice Kalawa (45), mkazi wa Kijiji cha Malangali wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe kwa tuhuma za kumuua mume wake, Peter Mbunduzi (55) kwa kumpiga na chuma kichwani. Hayo yameelezwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Amuua mwenzake kisa elf 1000 ya kamali

    Kijana aloefahamika Kwa jina la Dickson ameuwawa Kwa kuchomwa kisu cha shingo na rafiki yake Kareem. Tukio hili limetokea dar, kiwalani. vijana hao walikua wakicheza kamali, ndipo Dickson aliliwa buku na kugoma kuitoa, Kareem alichukia na kutoa kisu Kisha kumshambulia shingoni mara mbili na...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Bodaboda auwawa na mwili wake kutupwa porini huko mkoani Morogoro

    Dereva wa bodaboda aliyefahamika kwa jina la Ally Kambi (24), mkazi wa Kingolwira Manispaa ya Morogoro, anadaiwa ameuawa kisha kuporwa pikipiki na watu ambao bado hawajajulikana waliomkodi eneo la Mkono wa Mara, Wilaya ya Morogoro. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo...
  6. JamiiForums Tanzania Amuua mama mkwe ndotoni

    Kenneth Parks, mkazi wa Ontario, Kanada, alimuua mama mkwe wake akiwa amelala. Kenneth alikuwa na historia ya kufanya vitendo akiwa amelala (sleepwalking). Siku ya tukio, aliamka kitandani akiwa amelala, akawasha gari lake na kuendesha kilomita 22 hadi nyumbani kwa mama mkwe wake. Kisha...
  7. JamiiForums Tanzania Rukwa: Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza atuhumiwa kumuua mdogo wake wakati wakicheza mchezo wa kuchapana fimbo

    Jeshi la Polisi la Polisi mkoani Rukwa linamshikilia Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza kutoka Shule ya Sekondari Mtenga, Wilayani Nkasi Mkoani Rukwa, Samwel Kayoka (16) kwa tuhuma za mauaji ya mdogo wake Jackson Kayoka (14) kwa fimbo walipokuwa wakicheza mchezo wa kupigana kwa fimbo. Taarifa...
  8. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Erick Turuka (23) amuua kikatili mpenzi wake kisa amemkatalia kumuoa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia kijana Erick Turuka (23) maarufu kama Keneth, ambaye ni muuza bucha la nyama ya nguruwe, kwa tuhuma za kumuua kikatili msichana wa kazi aitwaye Shukrani Ajiliwa (19), mkazi wa Namihoro, Songea Vijijini. Akiongea na Waandishi wa Habari Kamanda wa...
  9. JamiiForums Tanzania Amuua mzazi wake baada ya kufumaniwa

    Hii hapa taarifa iliyowekwa kwa mtindo wa taarifa kwa vyombo vya Ontario, Canada – Katika tukio la kusikitisha na la kushtua, mzazi mmoja wa kike amefariki dunia ghafla baada ya kupokea taarifa kwamba binti yake, aliyekuwa tayari kuchumbiwa rasmi, amefumaniwa akiwa na mpenzi wake wa zamani...
  10. JamiiForums Tanzania Baba ajinyonga baada ya kumuua mwanaye

    Watu wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti likiwemo la baba kumuua mtoto wake mwenye umri wa miaka mitatu kisha na yeye kujinyonga. Akizungumza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa, amesema tukio hilo limetokea Julai 28 mwaka huu katika kijiji cha Sayaka...
  11. P

    JamiiForums Tanzania DAR: Adaiwa kumuua mlinzi wake Pugu, baba yake naye auliwa

    Huko Pugu, Dar es Salaam, kuna tajiri na mganga wa kienyeji, inasemekana amemuua mlinzi wake kwa tuhuma za wizi. Na tajiri huo na mganga wa kienyeji ,ametokomea kusikojulikana. Na wananchi wenye hasira, wamemuua kwa kumpiga mawe, baba wa muuaji huyo. ======================= Mkazi mmoja wa Pugu...
  12. JamiiForums Tanzania Bunda: Auawa na mkewe kwa kuchomwa kisu, kung'atwa sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri pamoja na ulimi

    Ofisa Kilimo katika kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoani Mara anayefahamika kwa jina la Julius Rubambi ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kutokana na wivu wa kimapenzi huku mkewe Elizabeth Stephen akijeruhiwa vibaya na kulazwa hospitali ya Kibara. Inasadikika kuwa chanzo...
  13. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mume amuua mkewe kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili

    Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake Happness Mwinuka kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na Kiwiliwili. Tukio hilo limetokea majira ya saa...
  14. JamiiForums Tanzania Amuua mkewe, na yeye kujiua kisa mzozo mume kuuza vitu vya ndani

    RASHIDI Mkayala mkazi wa Mtaa Gemu Kata ya Mwanga Kusini Manispaa ya Kigoma Ujiji amemuua mke wake Bernadeta Cosmas(33) kwa kumnyonga shingo hadi kufa chanzo kikielezwa kuwa ni mgogoro baina ya wanandoa hao. Muda mfupi baada ya Mkayala kutekeleza tukio la kumnyonga mkewe, naye alijinyonga kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kijana (30) amuua mpenzi wa mama yake (34) kisa wivu wa kimapenzi

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kijana mmoja kutoka Arusha ajulikanaye kwa jina la Idrisa Baltazari (30) amefanikiwa kumuua mpenzi wa mama yake aitwaye Manzi Yambayamba (34) kwa sababu za wivu wa kimapenzi. Habari kamili kutoka eneo la tukio zinadai kuwa kijana huyu pia...
  16. JamiiForums Tanzania Askari amuua askari mwenzie Mtwara

    Askari wa Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Eliuterius Hyera, aliyekuwa Mkuu wa Kituo Kidogo cha Polisi Chiungutwa wilayani Masasi, amefariki dunia baada ya kujeruhiwa kwa risasi na askari mwenzie. Taarifa kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara Kamishna Msaidizi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Bodaboda amuua mtoto wake kwa kumkata shingo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikilia mtu mmoja aitwaye Amedius Mfoi (25) dereva bodaboda mkazi wa Muriet Jijini Arusha kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake aitwaye Amani Amedius Mfoi (03) Mkazi wa Morombo jijini Arusha. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha...
  18. JamiiForums Tanzania Askari Polisi amuua kwa Risasi Mlinzi wa Baa ya Boardroom Iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dares Salaam lilipokea taarifa kuwa tarehe 29/11/2023, Saa sita usiku maeneo ya Sinza Mapambano Kinondoni askari wawili walimjeruhi kwa risasi mu mmoja aliyefahamika kwa Jina la Razaki Azan mwenye umri miaka 29 mlinzi binafsi wa Bar itwayo Board room iliyopo Sinza...
  19. JamiiForums Tanzania Mauaji Afrika Kusini: Amuua mwenzake, amkata Kichwa na kula viungo vya ndani sehemu ya tumbo

    Kwa Madiba kuna mambo, Jamaa amefanya kitendo cha kinyama sana kuutoa uhai wa mtu mwingine bila hata chembe ya huruma Muuaji alikua na bifu na Marehemu na alimfuata mpaka sehemu ya kazi kulianzisha, aliingia na visu viwili kimoja kikubwa na kingine kidogo kwaajili ya kutekeleza mauaji hayo...
  20. JamiiForums Tanzania Mbeya: Atuhumiwa kumuua baba yake kwa kumpiga na ubao

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia kijana aitwaye HUMPHREY FRANCIS KIHALI [25] Mkazi wa Ilemi Jijini Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya baba yake mzazi aitwaye FRANCIS JOHN KIHALI [50] Mkazi wa Ilemi Jijini Mbeya. Awali Septemba 10, 2023 majira ya saa 10:45 jioni huko eneo la Ilemi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…