amefariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha

    Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha. - Hulk Hogan alikuwa miongoni mwa nyota maarufu zaidi katika historia ya mieleka lakini pia alikuwa mmoja wa watu waliowagawa sana mashabiki. - Tukio lake la kumbwaga Andre the Giant litasalia katika...
  2. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa mshindi wa Quran 2024 amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16

    Inalilah waina ilahi rajiun Ibrahim sow kutoka Ivory coast. Aliekuwa mshindi wa Quran mwaka Jana pale uwanja wa mkapa amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16. ==== Mshindi wa Mashindano ya Quran Tukufu Ibrahim Sow raia wa Ivory Coast amefariki. Taarifa kutoka vyombo mbalimbali Nchini Ivory...
  3. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Nyota wa Muziki Connie Francis aliyeimba "Pretty little baby" amefariki dunia

    Connie Francis, nyota wa muziki wa pop aliyejizolea umaarufu miaka ya 1950 na 1960 kwa nyimbo kama “Pretty Little Baby”, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 Taarifa za kifo chake zimetolewa na rafiki yake pamoja na msemaji wake, Ron Roberts, ingawa hakutoa maelezo zaidi mara moja Francis...
  4. JamiiForums Tanzania Zimamotto: Inasadikika mtoto mmoja Magomeni Kota DSM amefariki Dunia

    Leo hii majira ya saa 11 jioni katika Block Namba 4 ghorofa ya Saba, Kota za Magomeni Jijini Dar es Salaam imeungua moto ambao chanzo chake, kwa mujibu wa Jeshi la Polisi na Uokoaji Mkoa wa Kinondoni umetokana na mtoto kuchezea kiberiti. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa...
  5. JamiiForums Tanzania Watoto wa Mdude Nyagali wanatia huruma. Haijulikani kama yupo hai au amefariki

    Inatia huruma sana
  6. JamiiForums Tanzania TANZIA Mmiliki Kampuni ya TOP Maasai Company Limited, Joram Lukumay amefariki Dunia

    Habari nilizopata Usiku huu ni kwamba Mmiliki na Mwanzilishi wa Kampuni ya TOP Maasai Company Limited Ndugu Joram Lukumay Amefariki Dunia. Bwana Lukumai alikuwa mfanyabiashara katika Sekta za Nishati na Sekta za Madini Mkoani Arusha. Mwenye taarifa zaidi naweza kutupa zaidi.Ila nimpe Pole...
  7. JamiiForums Tanzania UPDATE yangu kuhusu Tetesi za Rais wa Rwanda Paul Kagame kuugua na kufa huko Munich Germany

    Nimefanya mawasiliano na Waandamizi kadhaa wa Rwanda (naomba nisiseme wa eneo gani na ni akina nani) na wamenihakikishia kiukweli kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame haumwi na hajafa na kusema kuwa wanaoaambaza Taarifa hizi za Kipropaganda ni Wakongomani kupitia Rais wa Congo DR Tshisekedi na...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli Wafichuka, Albert Ojwang’ Alifikishwa Hospitali Akiwa Tayari Amefariki

    Video ya ulinzi (CCTV) iliyopatikana hivi punde imethibitisha kuwa Albert Ojwang’ alikuwa tayari amefariki wakati alipofikishwa katika Hospitali ya Mbagathi na maafisa wa polisi kutoka Kituo Kikuu cha Polisi, kinyume na kauli za awali zilizotolewa na polisi kwamba mwalimu huyo alikimbizwa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanadada Azra Ronaldo akutwa amefariki chumbani kwake

    Mwanadada anayefahamika kama Azra (Maarufu kama Ronaldo) amekutwa amefariki dunia ndani kwake kisarawe huku mwili wake ukiwa umevimba, tukio hilo limetokea leo Jumatano Juni 11, 2025 baada ya majirani kubaini harufu katika chumba chake. Mdau wa Michezo Seleman Kaniki ambaye alikuwa akimfahamu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kama nisingempeleka Ulaya kutibiwa mngesikia huyu Member JF amefariki. Mwenzie alisema amekuja kwangu Akhera

    Mara nyingi nimekuwa nikipenda waalika Mabalozi na diplomats nyumbani kwangu kwa vyakula either bfast,lunch au dinner. Nliona niwe nafanya hivi ili wasijisikie upweke na pia wawe wanapata lishe nzuri wailetee sifa Tanzania. Nligundua mabolozi na diplomats wengi pamoja na mawaziri. Hawapati...
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God, Dkt. Immanuel Lazaro amefariki Dunia

    Tutaendelea,kuwapatia taarifa zaidi! TANZIA: Askofu Mkuu wa kwanza mstaafu wa Tanzania Assemblies Of God (TAG) Dkt.Emmanueli Lazaro amefariki Dunia Mei 17,2025 . Akitoa taarifa za kifo hicho Makamu Askofu Mkuu wa TAG, Magnus Mhiche amesema kuwa Hayati Dkt.Emmanuel Lazaro alifariki hapo jana...
  12. JamiiForums Tanzania Msanii Carina , hajarogwa na mtu yeyote ila amefariki kifo cha kawaida.

    Msanii Carina , hajarogwa na mtu yeyote ila amefariki kifo cha kawaida.
  13. JamiiForums Tanzania Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu

    Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu. Pia nyie wanawake mnaosema mtaendelea kuwakomesha Michopuko yetu kwa ulozi acheni Mara moja. Maana sio rahisi Mwanaume amuone Mwanamke Mrembo na amuache hivi hivi.
  14. JamiiForums Tanzania Double agent Oleg Gordievsky afariki akiwa na umri wa miaka 86

    Huyu bwana oleg Gordievsky alikuwa ni jasusi wa KGB aliyeifanyia kazi MI6 ya uingereza , amefariki tokea mwezi march halafu mimi hata sikukumbuka kufuatilia habari zake. (of course nilikuwa offline almost a 2 weeks ). Oleg Gordievsky, the long-standing KGB double agent who defected to...
  15. JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyakazi wa Azam Tv, Rahabu Fungo amefariki Dunia

    TANZIA: Uongozi wa kampuni ya Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake, Rahab Fred Fungo, aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi kwenye Idara ya Habari na Matukio. Rahab amefariki dunia Aprili 5, 2025 jijini Dar es Salaam wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya...
  16. JamiiForums Tanzania Bondia wa Nigeria Gabriel Olanrewaju Amefariki Baada ya Kuanguka Wakati wa Pambano la Uzani wa juu Nchini Ghana

    Oluwasegun, bingwa wa zamani wa kitaifa na Afrika Magharibi katika daraja lake la uzani, alipoteza fahamu katika raundi ya tatu ya pambano lake la Ligi ya Ndondi ya Kulipwa ya Ghana dhidi ya bondia wa Ghana Jon Mbanugu kwenye Uwanja wa Ndondi wa Bukom mjini Accra siku ya Jumamosi Mamlaka ya...
  17. JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Han Jong-Hee Amefariki Dunia

    Mkurugenzi Mtendaji Samsung Electronics Han Jong-Hee aAmefariki kutokana na mshtuko wa moyo siku ya Jumanne,hiini kulingana na msemaji wa kampuni kubwa ya teknolojia ya Korea Kusini. Han alikuwa na umri wa miaka 63. Alizaliwa mwaka wa 1962, Han alikuwa amesimamia biashara za kampuni hiyo za...
  18. M

    JamiiForums Tanzania kwa nini Story za Popo Bawa kaonekana Temeke na Jini Mrefu kavaa kanzu kaonekana Bondeni siku hizi hatuzisikii ? je popo bawa amefariki ?

    Habari wadau. Kwa wale wajomba na mashangazi above 30s nazani wanazijua sana hizi stori. Dar kulikuwa na vitisho vingi mitaani kwamba jini mrefu kavaa kanzu kaonekana bondeni. Watu wanabadilisha njia. kwenye shule za msingi kulikuwa na vitisho vya mbuzi kaonekana chooni anakuna nazi. Mara...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanzilishi wa katuni miaka ya 90 zilizotamba Courage the Cowardly kupitia cartoon network

    TAARIFA YA KIFO: DAVID - Mwandishi na Mzalishaji wa Kazi za katuni. Kwa huzuni kubwa, tunapenda kutoa taarifa ya kifo cha David, aliyejulikana kwa mchango wake mkubwa katika ulimwengu wa uandishi na uundaji wa michoro, hususan kupitia kazi ya Courage the Cowardly Dog. David alileta kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna Basi la Mwendokasi lilikuwa linapita njia ambayo sio yake, limegonga mtu kwenye Zebra, amefariki Kimara

    Habari, huku Mtaani kwetu kuna jamaa amefariki baada ya kupata ajali ya kugonjwa na basi la Mwendokasi jioni mida ya saa moja, Machi 8, 2025 wakati anavuka kwenye Zebra. Mashuhuda wanasema kuwa kuna Basi la Mwendokasi ambalo lilikuwa linapita njia ambayo siyo ya kwake, ilikuwa ikitokea Ubungo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…