1. Chokolate, hurekebisha mzunguko wa damu na kuondoa mafuta ambayo hayafai kwenye mishipa ya damu hivyo kukuepusha na shinikizo la damu. Ila kula mara kwa mara itasababisha kuongezeka uzito.
2. Samaki kutoa baharini, asa wenye magamba ambao huwa na virutubisho vya zinc vinavyosaidia kuimarisha...