Mtego waPanya huo....................
UTANI KIDOGO!
KIM JOUNG UN Ameweka Bendera Ya IRAN Korea Kaskazini Ili TRUMP Afikirie Kuwa Ni Iran. apate Kuipiga Korea ya Kaskazini.......
Dhahabu ya taifa si “pesa iliyoko mezani,” bali kinga ya taifa, inadumisha thamani ya sarafu, inakabiliana na mfumuko wa bei, na inavutia uwekezaji. Kuiondoa kutoka hazina au kuuza zote mara moja ni kujipiga makofi. Ni hatari isiyo na kifani. Hatari hii si ya nadharia tu, bali ni kielelezo cha...
Machafuko ya uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania yalifunikwa na giza zito la kuzimwa kwa intaneti, baada ya mrindimo wa bunduki kunyamaza ghafla. Sasa, ushahidi mpya unafichua kile ambacho hakikusimuliwa – vifo vya watu ambao idadi yao bado haijulikani, miili iliyotoweka, na tuhuma za...
Serikali imempiga Marufuku Dawa ya Kutibu Maradhi ya Uvimbe WaTezi Dume ya Dr Samsung Misango Asiuze.Kwani Anaharibu biashara ya vidonge Vinavyouzwa na serikali na kufanya Operesheni ya Tezi Dume wagonjwa hawaendi tena kutibiwa Hospitali.Kwani Dawa Za Hospitali haziwezi kuponyesha Maradhi ya...
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Abdallah Makame(CCM) amesema kuwa waliofanya mauaji, kuvamia vituo vya polisi, maduka na kuchoma mali ni watu waliokuwa na silaha ambao mpaka sasa hawajajulikana ni kinanani hasa na walizipata wapi.
Ameongeza kuwa hata Sheikh Sharrif Majini aliuawa kwa...
Haya yanajiri siku chache tu baada ya kusainiwa makubaliano ya amani yaliosimamiwa na Marekani.
Awali balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Mike Waltz, aliliambia Baraza la Usalama la Umoja huo kwamba, badala ya kupiga hatua kuelekea amani, Rwanda inaongoza eneo hilo kuelekea ukosefu wa...
Today is My Happy Birthday nina jipongeza mwenyewe siku yangu ya kuzaliwa Ninawakaribisha Marafiki zangu wote karibuni tusherehekee sikukuu yangu ya kuzaliwa. Karibuni nyote. .
...
Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu".
Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8
Pia Soma:
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa...
amavubigfsonwin
dini
king'asti asprin
madarakani
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
nyaraka
nyie
rais
rais samia
rais samia:
samia
serikali
tec
wanajua
Mwili wa Mtanzania Joshua Mollel aliyeuawa na Hamas kuwasili leo kutoka Israel
Maelezo ya picha,Mwili wa Mtanzania Joshua Mollel ukiagwa nchini Israel kabla ya kurudishwa Tanzania, aliuawa na Hamas katika shambulizi la oktoba 7.
Mwili wa Joshua Loitu Mollel, raia wa Tanzania mwenye umri wa...
Zaidi ya watu 200 nchini Tanzania wameshtakiwa kwa kosa la uhaini siku chache baada ya maandamano ya uchaguzi ambapo upinzani unasema mamia ya watu waliuawa. Haya ni kwa mujibu wa wakili mmoja Peter Kibatala na vyanzo vya mahakama vilivyoliarifu shirika la habari la AFP.
Hapo jana, Kibatala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.