amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa kwanza Mweusi wa Marekani, afariki Dunia kwa COVID-19

    Colin Powell, the former secretary of State and chairman of the Joint Chiefs of Staff, has died from Covid complications at the age of 84. Powell was previously diagnosed with multiple myeloma, a type of blood cancer that hurts the body’s ability to fight infections. “General Colin L. Powell...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Msomali kuchoma kisu mbunge wa Uingereza leo sijui jamii ya kisomali itaashi kwa amani

    Inakuwaje Wanajamvi! Imethibitika mwanaume MSOMALI mwenye miaka 25 ndo alimuua Tory MP Sir David Ammes kwa kuchoma kisu mara nyingi kifuani huku mashuhuda wakipigwa mayowe ya hatarii. Hii imepelekea jeshi la polisi Uingereza kupitia upya ulinzi wa wabunge na wanasiasa. Wasomali ambao idadi...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Tuache polisi walinde amani

    Katika hotuba zilizonivutia katika kipindi hiki ni hotuba ya Jaji Warioba. Naomba ninukuu Tuache polisi walinde amani tusiwatake polisi walete amani kwani hiyo si kazi ya polisi. Kuleta amani ni kazi ya jamii.
  4. JamiiForums Tanzania Uwekezaji Tanzania mradi wa Liquefied natural gas (lng) unahitaji "Amani" ya kiwango cha juu

    Bi. Jesca Kishoa, Mbunge. Kielelezo cha Amani Ulimwenguni mwa Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kufikia mwaka 2020 kiliorodhesha Tanzania 52 katika nchi 163, na alama 1.85, chini ya Senegal, Botswana, Ghana na Zambia. Mauritius ilikuwa nchi yenye amani iliyoshika nafasi ya 23 kwa alama 1.54...
  5. JamiiForums Tanzania Msajili, Jeshi la Polisi mmebeba dhamana ya amani yetu

    Kwa muda mrefu kumekuwa na mvutano kati ya Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa, vyama vya siasa vyenyewe hasa vya upinzani na Jeshi la Polisi. Ukipekua Katiba ya nchi na sheria zetu unashindwa kuelewa kwa nini haya yanatokea. Kama kila mdau wa siasa angeisoma kikamilifu Katiba ya Jamhuri ya...
  6. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Hassan ni Rais halali kabisa wa Tanzania, tusimdharau ila tumuombee afya, amani na azidishiwe hekima ya kutuongoza watanzania

    Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake. Kuna watu walilalamika tangu kwa Nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba Rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa Hayati...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Try again asirudie makosa haya ya Mo Dewji ili uishi kwa amani

    Ndugu yangu Try again hakikisha haya unayafanya kwa mafanikio ili "waandishi/wachambuzi"na lopolopo la utopolo wasikusumbue, ukifanikisha haya nakuhakikishia utakuwa rafiki wa kila mtu na media zitakupenda sana: - hakikisha simba inapoteza ubingwa mwaka huu - itolewe next round champions...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Watanzania wanataka amani, maendeleo, siyo Katiba Mpya

    "Unakuta mtu anasema Katiba ya Tanzania mbaya kwa kipengele kimoja tu cha tume ya uchaguzi, baasi, lakini Katiba hii ndiyo inayopelekea Watanzania wanamiliki rasilimali na maliasili kwa umoja bila ya kuwa na ugomvi. Shida ya Watanzania siyo Katiba mpya ila shida ni ya wanaotaka madaraka kwa...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Afya ya Fikra - Amani ya Maisha

    "Amenikosea sana | nimekasirika mno kwa sababu yake | amenikwaza kwa kweli | sikutarajia kama angalinihuzunisha namna hii | amenivunja moyo kabisa | ameniondolea amani yangu" Katika mkoa mmoja, nilikuwa nikitafuta chumba cha kupanga (niliambatana na rafiki zangu wawili). Tulipita nyumba...
  10. JamiiForums Tanzania Septemba 21: Maadhimisho ya Siku ya Amani Duniani

    Siku ya Amani Duniani huadhimishwa kila Septemba 21, ikilenga kuimarisha Amani kwa Mataifa yote kuzingatia saa 24 za kutokuwa na vurugu na kusitisha mapigano World Peace Day imejikita kukuza mshikamano duniani na kuwakumbusha watu na Mataifa juu ya umuhimu wa Amani ======= Each year the...
  11. JamiiForums Tanzania Mke wangu hajableed takribani miezi mitatu

    Habari wataalamu, naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu. Mwanzoni mwa mwezi wa saba wife akiwa na ujauzito wa miezi mitatu alianza kutoka damu ghafla na hatimae mimba ikatoka na wakampa dawa flani sikumbuki za kusafisha. Tatizo ni kuwa mpaka sasa hajableed takribani miezi mitatu kasoro...
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Walinda amani wasiwe chanzo cha wavunja amani

    Tanzania ni nchi ya Amani na Utulivu na hii ni tunu tuliorithi tangu vizazi na vizazi na sisi hatuna budi tuwalithishe vizazi vijavyo. Amani ndio Chanzo na mafanikio ya kila kitu katika maisha ya kila siku kwa mwanadamu na anavyovimiliki mwanadamu huyo kuthibitisha hilo viongozi mbalimbali...
  13. JamiiForums Tanzania Swali la kipombe: Kuishi demu Marekani kwa amani na kuishi Afghanistan mwanaume Ila utauawa na Taleban, kipi Bora?

    Hili swali nimejiuliza hivi kuishi mwanamke USA New York maisha yako yote au kuishi kidume Afghanistan halafu baada ya miaka kumi au 20 unajikuta kwenye war zone halafu Taleban wanakuhisi ni traitor wanakuuwa kwa kukukata shingo kwa kisu polepole ungechagua kipi? Mimi mzee baba ningechagua kuwa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuwa mchepuko umri 20-25

    Nahitaji mwanamke ambae atakuwa mchepuko niko tayari kuwa nampa hela ya mtumizi 500k kila mwezi awe na vifutavyo *mweupe mwenye tako *awe anajua mapenzi *awe mrefu na pia ajue kuendesha gari
  15. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kusamehe

    Nini maana halisi ya kusamehe? Kusamehe ni kuamua kutomchukulia mtu hatua na kuondoa kinyongo moyoni mwako kutokana na jambo baya ulilofanyiwa na mtu huyo. Kusamehe kunasema hutakiwi kusikia neno “nisamehe” ndipo uendelee na maisha yako. Kusamehe kumewekwa na ni kwa manufaa zaidi kwa yule...
  16. JamiiForums Tanzania Within a fraction of a minute, amani ya taifa letu ilirejeshwa baada ya vuguvugu la CHADEMA kuzimwa

    Taifa makini hutumia cohesive apparutus inavyotakiwa. Ndio maana ya kuwa na vyombo vya usalama makini. Panapotokea fununu ya kuvunja amani ya nchi. Basi vinaitervene kwa umakini na kudhibiti wanaotaka kuleta vurugu. Yapata wiki tatu sasa hali ni shwari kabisa iwe kimawazo hata kimatendo. Kama...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Chama cha Kikomunisti cha China kwa maendeleo, amani na utulivu wa dunia

    Na Ronald Mutie Chama cha Kikomunisti Cha China sio tu kimesaidia nchini hiyo kufikia muujiza wa maendeleo ya kiuchumi lakini pia China imekuwa mchangiaji mkubwa kwa maendeleo ya ulimwengu, amani na utulivu. Mkuu wa Tume ya Uhusiano wa nje wa Chama cha Kikomunisti cha Kamati Kuu ya Vietnam...
  18. M

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro jitihada za kudhibiti uhalifu wa CHADEMA zisiishie kwa viongozi, kamata na wafuasi wao wanaotaka kuharibu amani

    IGP Sirro, pongezi zako za pekee zikufikie maana jeshi lako lilibaini uhalifu ambao Chadema walitaka kuufanya kwa kisingizio cha kudai katiba mpya. Tunashukuru umewakamata na kuwatia nyavuni. Lakini tuanoamba ili ufanisi mkuu upatikane, kamata na wafuasi wa Chadema amabao wanaunga mkono kuvunja...
  19. JamiiForums Tanzania Kama vile uwepo wa hospitali unaonyesha uwepo wa magonjwa, uwepo wa polisi ni ishara ya ukosefu wa amani na utulivu

    Kama vile uwepo wa hospitali unaonyesha uwepo wa magonjwa, uwepo wa polisi ni ishara ya ukosefu wa amani na utulivu, Wingi wa polisi katika nchi ni ishara ya amani ndogo zaidi, level za ukosefu wa amani zinatofautiana, Wenye amani hawahitaji polisi na mahakama. Amani tuliyonayo inayolindwa kwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Wasomi wengi watafariki kwa kung'ang'ania mishahara na hisani zisizowaacha na amani

    Kwa mfumo unavyokwenda Sasa hivi tutegemee wasomi na viongozi wetu waandamizi wengi kupoteza maisha kutokana na kuajiriwa au kupewa madaraka ambayo kwa kiasi kikubwa hayawaruhusu kumaliza siku wakiwa na amani, awatumii taalumu zao na awazalishi kwa ajili ya nchi kama walivyotamani kufanya kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…