amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa awapongeza Watanzania kwa kuchagua kulinda AMANI

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa amewapongeza Watanzania kwa kutimiza miaka 64 ya Uhuru na kuwashukuru kwa kukubali wito wa kulinda amani na utulivu wa nchi yetu. Msigwa amesema hayo leo Desemba 10, 2025 wakati...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna siku Somalia itakuja kuwa nchi ya amani na Tanzania kuwa Somalia ya zamani

    Kwa haya matukio na wakizidi kutawala kwa mkono wa chuma. Najaribu kuwaza kwa jinsi wanavyofanya matendo ya ovyo wakijichia jina la AMANI. Kibaya zaidi hawa somi alama za nyakati kuwa vipofu wanaokula nao wamewashika kwenye steji ngumu na watakuja kutoa maamuzi hatari.
  3. JamiiForums Tanzania Nafurahi Watanzania wameanza kuamka JF na mitandao mengine katika kuwakataa wanaharakati na kuhubiri Amani

    Kwanza kabisa nashukuru Mwenyewezi Mungu kwa kujalia hali ya usalama na kuepusha jambo baya lilipangwa dhidi ya nchi yetu 09 December. Pia natoa pongezi kwa Makamanda wa kuhubiri amani Jf stakehigh Victoire GENTAMYCINE Robert Heriel Mtibeli Ertugrul Bey iamwangdamin na wengineo hapa Jf na...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tuwe Mabalozi Wa Amani Hatutaki Kuwa Wakimbizi Wa Nchi Yetu Wenyewe

    My people, Si kila anayetaka amani kwasasa hajaumizwa na yale yaliyotokea 29 Oct na yanayoendelea sasa hivi ikiwemo utekaji Natambua kwa baadhi yenu mnaweza kumuona kila mtaka amani na mpinga harakati za fujo ni adui wa Taifa hili,ukweli ni kwamba kila mpenda amani na mpingaji fujo ni mzalendo...
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania wamekataa vurugu, Wamechagua amani

    Wanaukumbi. WATANZANIA WAMEKATAA VURUGU.. WATANZANIA WAMEKATAA MAANDAMANO..WATANZANIA WAMECHAGUA AMANI.... 📌 Tulipokuwa tunasema watu walikodishwa kufanya vurugu na uasi tarehe 29 Oktoba 2025 wengi walikuwa hawataki kuelewa na walikuwa na mashaka na kauli zile. Tuliposema wamekodiwa mamluki...
  6. JamiiForums Tanzania Kikosi cha tano cha walinzi wa amani kutoka Tanzania kuendeleza operesheni DRC

    Kikosi cha Walinda Amani cha Tanzania kinachohudumu chini ya mwamvuli wa FIB-MONUSCO kimehitimisha rasmi jukumu lake la ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kupitia gwaride maalumu la makabidhiano kati ya TanzQRF ya 4 na TanzQRF ya 5. Hafla hiyo imefanyika katika makao...
  7. JamiiForums Tanzania Tunapoteza muda, maandamano ya amani ni kwa ajili ya makongamano

    Hamna amani kwenye kumtoa mtu madarakani, mtakuwa mnatembea barabarani kama machizi tu na lazima mfeli yaani mtu atoke nyumbani akakae barabarani maandamano yasio na kikomo bila kula eti kisingizio Samia atoke, wazee huyo hawezi kutoka kwa amani mnapoteza muda Kama mmekosa kazi za kufanya...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Bodaboda: Serikali iwachukulie hatua wanaoharibu amani

    Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Bodaboda wa Tawi la CBT wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, Amiri Ali, ameitaka Serikali kuwachukulia hatua za kisheria watu wote wanaohamasisha na kushiriki vitendo vya uvunjifu wa amani kama sehemu ya kuimarisha amani na utulivu nchini. Ali ameeleza hayo leo...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Katika imani za kihindi, wale marehemu wa MO29, hawawezi kupumzika kwa amani ilihali mmewasaliti, Nafasi zao zitawahunt miaka yote

    Nimebahatika kusoma dini ya kihindi kidogo, Kuna sehemu inasema kwamba! Kama ulikufa ukiwa mwema basi huwa unazaliwa sehemu nyingine kama mtu mpya, kama ulikufa ukiwa na kinyongo ama ulikuwa haujamaliza kazi fulani basi huwa wanazaliwa kama wanyama na nafsi zao kuhaunt wale waliokuwa wameungana...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Ni bora kabisa vyama vingi vikazuiwa mara moja marufuku kwani ndiyo zao la vurugu na uvunjifu wa amani

    Wakati wa chama kimoja amani na utulivu mkubwa lakini muda huu ni vurugu. Vyama vingi zao la ukosefu amani Vizuiwe
  11. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Anayekutuma ushiriki uvunjifu wa amani anakupoteza, kaa nyumbani tafakari

    "Watanzania wote heri ya miaka 64 ya uhuru, uhuru wetu ndo maisha yetu. Watanzania siku hii ya uhuru tutafakari safari yetu, tutafakari nchi yetu, tuilinde nchi yetu. Kataa kushiriki matendo ya kuvunja sheria, matendo ya uvunjifu wa amani, sisi ni watanzania. Tanzania kisiwa cha amani kuna faida...
  12. JamiiForums Tanzania Mtego wa maandamano ya amani leo D9

    Maandalizi muhimu yote yameshakamilika.. Na muda huu ninapoandika huu uzi watu wanaendelea kujongea maeneo ya makutanio Zimetumika kila aina ya mbinu, elimu, maarifa na kuhamasishana ili maandamano haya yawe ya amani na kusiwepo uharibifu wa mali na miundombinu.. Vibaka na wezi wameshapewa onyo...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaokaa nje ya mji kipindi hiki huwa wana amani sana

    Wanaokaa nje ya miji zile athari zinazotokana purukushani za maandamano huwa haziwakumbi hata kidogo. Maswala ya lockdowns , maduka kufungwa ,milio ya risasi, vitu kupanda bei kiholela, wao huwa wanasikia kwenye bomba.
  14. JamiiForums Tanzania Ujinga na Uoga: Je, hii ndiyo tafsiri ya AMANI kwa watawala?

    Kuna kiongozi Mmoja ndani ya Afrika mashariki aliwahi mwambia kiongozi wa Nchi yetu nyakati hizo kwamba anaongoza "maiti". Ilikuwa lugha ya kuuzi,kukera,kudhalilisha na kushusha utu wetu.lakini ndani kabisa ya Ile kauli kulikuwa na ukweli ulio wazi. Watanzania tunadhani kuletewa maendeleo na...
  15. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hali ni shwari mitaani na wananchi watoa onyo kali sana kwa yeyote atakaye jaribu kuvuruga Amani

    Ndugu zangu Watanzania, Hali ni shwari sana mitaani kote. Amani na utulivu vimetawala na kutamalaki,shughuli za kujipatia kipato kwa mwananchi mmoja mmoja zinaendelea kama kawaida huku wananchi wakiwa na amani kabisa. Hakuna hofu wala wasiwasi wa aina yoyote ile. Hakuna shaka wala mawazo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kinacho nipa Amani kidogo rohoni, ni kuwa Watanganyika wanataka Tanganyika yao na si Tanzania

    Kila.mmoja analikia TANGANYIKA maana wanajua huyu atarudi kwao na kuiacha TANGANYIKA maiti! Ukiwaacha MAUBWABWA wachache ambao wako driven na dini, all the rest of TANGANYIKANS are bent to Tanganyika REVIVAL
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maandamano ya Amani dhidi ya Uongozi mbovu na kukosakana uwajibikaji pale Open University (Chuo Kikuu Huria) yatakuwa tarehe 18 December 2025

    Kama tulivyojadiliana maandamano ya kupinga udhembe na kukosekana uwajibika miongoni ya walimu wetu na viongozi wa chuo pia yatafanyika 18 December 2025 kama tulivyokubaliana. Kero kwa miaka na miaka zimekuwa zikilalamikiwa na kupelekwa kwa viongozi husika ila kumekuwa hakuna mabadiliko imekuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania pekee ndo hajaalikwa kwenye utiaji saini wa amani Kati ya DRC na Rwanda huko USA

    Rais Donald Trump amealika nchi zote za maziwa makuu kwenye tukio la kutia sain makunaliano ya amani baina ya DRC na Rwanda maarufu kama "Washington Accord" Kilichonishtua zaidi Tanzania haikualikwa licha ya kuwa na mchango mkubwa wa kupigania amani ya Mashabiki mwa Congo Wanajeshi wetu wengi...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vijana tusiwe wachochezi na chanzo cha uvunjifu wa amani

    Wakuu, nimeona niweke hili wazi kabisa kwa sababu mambo yanayojitokeza mitandaoni na mtaani si ya kubeza. 1. Kila mtu anapenda kuona mabadiliko na maendeleo, lakini hakuna kinachojengwa kwenye vurugu. Historia imeonyesha mara zote: fujo zikianza, wa kwanza kuumia ni vijana wenyewe. 2...
  20. JamiiForums Tanzania Onyo: Polisi hawana mamlaka ya kulinda amani na wananchi ikiwa wanauwa watu sasa wanalinda au ni wauwaji

    Onyo: Polisi hawana mamlaka ya kulinda amani na wananchi ikiwa wanauwa watu sasa wanalinda au ni wauwaji. Polisi watakao ingia mbele ya umma wanaweza kushambuliwa vikali hali inayoweza kuhatarisha maisha yao kutokana na kile kinachoitwa mauwaji ya halaiki waliyo yafanya Anae uwa watu ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…