ally hapi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ally Hapi hauna ubavu wa kupambana na Chadema hii hii ni zaidi ya nguvu za umma, bora urudi kwenu ukalime nyanya hoho

    Kwanza jiulize wewe binafsi unaushawishi gani kwenye taifa letu kisiasa? Chama chako kina ushawishi gani? Mwenyekiti wa chama chako? Leo hii usimame jukwaani wewe kapuku wa wa baraza la wazazi CCM kuizungumzia Chadema hii ambayo hata wanaCCM wanatambua kuwa ni chama cha ukombozi dhidi ya...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ally Hapi: CHADEMA kila siku Katiba Mpya, Katiba Mpya inatuletea Ugali mezani? Wananchi wanataka hoja, siyo malalamiko

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Salum Hapi akiwa Shinyanga Juni 4, 2026 amesema; "Chama chenye sera nzuri, ni chama cha Mapinduzi. Wamepewa fursa ya kusema, waitumie fursa hiyo kusema. Lakini sasa saa nyingine mnashangaa, kila wakizungumza hawasemi shida za wakulima...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ally Hapi: Msigwa alikuwa anasubiri kupata ukuu wa wilaya akaona hauji

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapunduzi (CCM), Ally Hapi amemtaja aliyekua kada wa chama hicho Mchungaji Peter Msigwa kama mtu ambae alihamia CCM kwa maslahi na alipokosa maslahi hayo akaamua kurudi chama chake cha awali. Hapi anaeleza kuwa Msigwa alienda CCM akitarajia kupata...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ally Hapi: Rais Samia amejenga Madarasa ambayo yana Vioo na Tiles

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ally Salum Hapi, amesema ukizungumzia yale ambayo yamefanywa na Serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan katika afya ni mengi sana na kwenye elimu ambapo imejenga shule mbalimbali za msingi na Sekondari. Akizungumza...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ally Hapi: Serikali Itabeba Gharama Matibabu ya Figo, Moyo, Kisukari na Cancer ndani ya siku 100 za Uongozi wa CCM

    Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amesema katika utekelezaji wa Bima ya Afya kwa wote, changamoto zote zilizopo sasa kuhusiana na bima ikiwemo baadhi ya Maradhi kutotibiwa kwa Bima zitatatuliwa na bima hiyo itaweza kulipiamatibabu kwa magonjwa yote makubwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ally Hapi: Siku 100 za Rais Samia Zitamaliza Changamoto za Bima ya Afya

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, leo Septemba 27 katika mahojiano ya Cafe Talk Jijini Dar es salaam, akijibu swali lililoulizwa na Mwaandishi wa Habari Charles William, amesema utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote utasaidia kuondoa changamoto...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Ally Hapi: Waliokatwa CCM watulie uongozi ni kupokezana

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, amewataka makada waliokatwa katika mchujo uliofanywa na Kamati Kuu ya CCM Taifa kuendelea kuwa wanachama watiifu na raia wema wa Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Julai 31,2025 jijini Dodoma kuhusu...
  8. JamiiForums Tanzania Ally Hapi: Ripoti ya CAG sio hukumu ya mahakama

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi CCM, Ally Hapi amesema ripoti ya CAG sio hukumu ya Mahakama kwamba wanaotajwa wote moja kwa moja huwa ni Mafisadi au Wezi bali ripoti husomwa kisha kuwapa nafasi Watumishi na Taasisi kutoa vielelezo ambavyo havikuwasilishwa wakati wa ukaguzi. Akiongea...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Miaka mitano ijayo tutajenga treni za mijini Dar na Dodoma

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo chama hicho kimedhamiria kujenga treni katikati ya miji kwa mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma, ili kukabiliana na foleni za magari. "Naomba nichombeze, tumejenga SGR Dar es...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Rais Samia alifungua mlango kuwasikiliza, sasa hivi kimetokea nini?

    Ally Hapi amesema kila jambo linawakati wake, wakati Rais Samia amefungua milango kuwasikiliza kama wananchi wengi wanahaki ya kusikilizwa. Sasa tatizo la wenzetu ni moja tu wanazani wapinzania wa nchi hii wanamilki ukweli, wanamiliki haki, na wanamilki busara, ili upate busara Nchi hii ni yale...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Vijana zungumzeni mazuri yaliyofanywa na Serikali

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, Ally Hapi, ameutaka Mtandao wa vijana wa Kesho Yetu, Uzalendo Wetu na Utaifa (TK Movement), kutokatishwa tamaa na baadhi ya watu wasiopenda maendeleo ya serikali, badala yake wasonge mbele kulisemea taifa kwenye mambo mazuri linayofanya...
  12. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Tusikubali nchi iharibiwe na watu wachache

    Katibu Mkuu Umoja wa wazazi Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg. Ally Hapi amewasisitiza Vijana kutoka TK Movement kuwa imara na kuepukana na wale wote wenye nia mbaya na Nchi ya Tanzania hivyo amewasisitiza vijana kushiriki Uchaguzi Mkuu unaotegemea kufanyika hivi karibuni.
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Rais Samia amefanya kazi kubwa katika Afya, amejenga Hospitali za Wilaya 129, Vituo vya Afya 485

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Ally Hapi, amesema Rais wa Tanzani Dkt. Samia Suluhu Hassan anastahili pongezi kwa juhudi zake katika kuboresha sekta ya afya nchini ndani ya miaka minne ya uongozi wake. Akizungumza katika Kongamano la kumpongeza Rais Samia kwa kutimiza miaka minne...
  14. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Ally Hapi amesema Rais Samia anastahili pongezi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM, Ally Hapi, amesema Rais wa Tanzani Dkt. Samia Suluhu Hassan anastahili pongezi kwa juhudi zake katika kuboresha sekta ya afya nchini ndani ya miaka minne ya uongozi wake. Akizungumza katika Kongamano la kumpongeza Rais Samia kwa kutimiza miaka minne...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Rais Samia amefanya kazi kubwa kupambana na adui Maradhi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa katika kupambana na adui wa maradhi, moja ya maadui watatu wakuu waliotajwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, pamoja na ujinga na umasikini. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Vijana nguvu ya vyama vya Ukombozi, asisitiza uongozi imara

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ally Hapi, amesema kuwa ili vyama sita vya siasa vilivyoshiriki harakati za ukombozi katika nchi za kusini mwa Afrika viendelee kuwa vyama vya watu, lazima viendelee kutoa fursa sawa na haki ndani ya vyama vyenyewe. Amesema ni...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Vyama vingine vina nia ya kutafuta madaraka pekee

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ally Hapi, amesema kuwa CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi, huku akidai kuwa vyama vingine vina nia ya kutafuta madaraka pekee. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Ally Hapi ni ya kichochezi na uvunjifu wa amani, akemewe mara moja

    Wakuu, Juzi Ally Hapi alivitaka vyombo vya dola kuwachukulia hatua CHADEMA wanaotaka uchaguzi usifanyike bila ya mabadiliko kufanyika, akisema ni kisingizio kwa kuwa hawajajiandaa. Kauli hii inazidi kukandamiza wapinzani na wananchi kwa ujumla kwenye uhuru wa kutoa maoni yao pale wanapoona...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tukemee kauli ya Ally Hapi, kuvitaka vyombo vya dola kushughulikia wapigania mabadiliko ya kikatiba ni tishio kwa demokrasia na uchaguzi huru na haki

    Salaam Kauli ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, inayoitaka vyombo vya dola kuwachukulia hatua watu wanaodaiwa kutaka kuzuia uchaguzi mkuu ni ya kutia wasiwasi katika muktadha wa demokrasia na haki za raia. Tamko hili linaibua maswali kuhusu uhuru wa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mama aliyevunjiwa Kibanda apewa mtaji wa TSh. 250,000 na Ally Hapi

    Fatuma Iddi (mama wa watoto wanne) mkazi wa Magugu Mapea, Babati amerejeshewa tabasamu na Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi CCM Ally Hapi baada ya kupewa mtaji wa kufanya biashara. Fatuma alivunjiwa kibanda (duka dogo) na banda la kuonyesha mpiria alilokuwa akimiliki na mumewe kwa madai ya kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…