alizeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Nauza Mafuta ya Alizeti mazuri sana

    Nauza mafuta ya alizeti kwa jumla na rejareja. Dumu la 5ltrs kwa 25,000 tu na 20ltrs kwa 96,000 tu. Mzigo upo Sinza, Dar.
  2. JamiiForums Tanzania Bei ya gunia la mashudu ya mafuta ya alizeti: Chakula bora cha kuku Nguruwe Sungura na wanyama wengi

    Bei ya gunia la mashudu ya mafuta ya alizeti: Chakula bora cha kuku Nguruwe Sungura na wanyama wengi. Best Price for Suck of Sunflower meal or Seeds. Mashudu ya mafuta ya alizeti ni chakula cha mifugo ambacho kina thamani kubwa sana. Chakula hiki kina weza kutumika na wanyama kama Kuku, Bata...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wanunuzi wa Mbegu za Alizeti

    Habari Wadau, Ninatafuta Wanunuzi Wa Mbegu Za Alizeti Kwa Ajili Ya Kukamua Mafuta. Nina Tani Za Kutosha Ni Uwezo Wako Tu Mteja. Kilo Moja Nauza 965/= Oda Ya Chini Kabisa Tani 1 = Kg1000 PM Kwa Maelezo Zaidi.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Ladha ya uchachu ya baadhi ya mafuta ya alizeti

    Hii ni mara ya pili nanunua mafuta ya alizetia ambayo yanatia ladha mbaya kwenye chakula. Hivi wengine mshakutana na hii? Kuna anayejua inasababishwa na nini? Au ndo alizeti feki?
  5. JamiiForums Tanzania Ni kweli mafuta ya alizeti hayana mwisho wa matumizi?

    Kuna mtu kanunua mafuta ya alizeti, akauliza 'expire date' akaambiwa hayana 'expire date'. Kwamba ni kama asali. Je, kweli? Kwani baadhi ya 'package' za bidhaa hiyo haionesho mwisho wa matumizi. Na nyingine inaonesha lakini tayari imeshapita japo bado iko sokoni! Naomba kwa anayejua anisaidie!
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Wilaya ya Kiteto na fursa ya mashamba kwa zao la alizeti

    Wilaya ya Kiteto ipo Kusini mwa mkoa wa Manyara. Kiteto ina kilomita za mraba 16,685 na jumla ya wakazi 244,669 kwa mujibu wa Senasa ya mwaka 2012. Upande wa Mashariki Kiteto imepakana na mkoa wa Tanga , Kusini mkoa wa Dodoma, Kusini Mashariki Mkoa wa Morogoro upande wa Kaskazini...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi zao la alizeti linaweza kupunguza uhaba wa mafuta ya kupikia

    UTANGULIZI Sekta ya kilimo inachangia zaidi ya 40% ya pato la taifa. Ili taifa loloteliweze kukua vizuri kiuchumi lazima liwe na mikakati dhabiti na endelevu juu ya kilimo bora na chenye tija kwa taifa na kwa wananchi wake Kilimo za alizeti...
  8. JamiiForums Tanzania Hasara kubwa mbegu za alizeti (ASA)

    Habari wana jamvi, Naomba kujua waliolima alizeti kwa kutumia mbegu za Serikali za ASA mafuta zimetoa kiasi gani maana, hasara tuliyopata sye huku tuliolima Songea sio mchezo. Gunia la kilo 45 mafuta yametoka lita 7 tu, hivi hawa watafiti wa hizi mbegu mlisomea chini ya zizi la nguruwe au?
  9. JamiiForums Tanzania UCHUMI: Inawezekana kupanda bei ya mafuta ya kula ikawa jambo jema

    Leo nimepita maduka kadhaa, kwenye shelf za maduka husika yamejaa mafuta ya kula yameandikwa Singida yakiwa yametengenezwa kwa zao la alizeti linalolimwa sana Singida. Hii imetokana na bei ya mafuta mengine kupaa hivyo watumiaji na wafanyabiashara kuamua kuhamia Singida, bei ya mafuta kutoka nje...
  10. JamiiForums Tanzania Ndege wananimalizia alizeti. Kwa hatua hii zinafaa kuvunwa?

    Wakuu habari za muda huu! Ndege wamekuwa pasua kichwa. Nawaza kuvuna ila sina uhakika kama kwa stage hii zinafaa kuvunwa.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Tusipunguze kodi kwenye mafuta ya kula tuwawezeshe wakulima kuzalisha alizeti kwa wingi bei itashuka yenyewe

    Nimeona maelezo ya mama ssh kuwa wanaangalia upya kodi ya mafuta ya kula, mie sioni sababu ya kupunguza kodi na ikiwezekana ipandishwe badala yake tuwekeze kwenye kilimo cha alizeti ufuta na michikichi, tuwasaidie wananchi kuwekeza kwenye mashine za kuchakata mafuta ya kula hasa alizeti...
  12. JamiiForums Tanzania Mnawaona wapi wakulima wa pamba na alizeti msimu huu

    Habar Wana Jf, This year, tmeona mfumuko wa bei hasa kwenye mafuta, Nazungumzia Cooking oil. Siku zote nlikua nawaona WAKULIMA WA malighafi za uzalishaji mafuta ya kula wako nyuma sana, hasa kwenye bei wanazopewa na wawekezaji , lakini wazo langu kwa sasa lmefitika kwani Hawa jamaa Nawaona...
  13. JamiiForums Tanzania Kipi ni dhahabu kati ya Dengu vs Alizeti?

    Habari zanu wadau wa JamiiForums, Poleni na shughuli za kila siku za kujenga uchumi wetu. Leo naombeni msaada wenu wa kunitoa matongotongo kuhusu kilimo kipi kinalipa/au kisicho na usumbumbu mkubwa pia stahimilifu (weather tolerance) kati ya Dengu au Alizeti). Wadau najua kuna trends nyingi...
  14. JamiiForums Tanzania Kati ya mahindi na alizeti kilimo kipi kinalipa?

    Wataalam mlioko makini naombeni msaada wenu. Natumai mu wazima na harakati za kujenga Tanzania yetu. Mimi nimeingia kwenye kilimo mwaka huu na kwa kuanzia nililima mahindi, na hatua ya kwanza nimefanikiwa pakubwa. Ila nawaza kujiingiza mzimamzima kwenye kilimo, kila nikiwaza ni kilimo gani ina...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa ardhi tuliyonayo tunashindwa nini kuzalisha alizeti tukawa wauzaji wa mafuta kwa Afrika

    Sehemu nyingi za Tanzania alizeti inastawi vizuri sana. Kuanzia Singida na hata maeneo ya Handeni. Wakulima wadogo wanalima na wanavuna. Hawa think tanks wetu hawajaangalia uwezekano wa kufanya uwekezaji mkubwa wa zao hili kiasi cha kutoa ajira nyingi kwa vijana na pia kutiweka kuwa wauzaji...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Ninanauza Mafuta ya Alizeti

    Fakama wharehouse and Processing co.ltd ni wazalishaji na wauzaji wa mafuta ya Alizeti, kiwanda kinapatikana Mapilinga, Misungwi - Mwanza . Kwa yoyote anaehitaji kujiuisha na biashara ya kuuza mafuta ya alizeti mikoani - tuwasiliane kupitia simu namba 0755261248 au piga simu moja kwa moja...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Matumizi sahihi ya mbegu ya Alizeti

    Habari! Wakuu naomba elimu kwa ufupi kujua hii mbegu ya alizeti anayogaiwa na serikali huko kwenye maduka ya pembejeo inauzwa kiasi gani kwa ujazo wa kilo mbili na je ni aina gani ya mbegu na Tija yake ipije kwa gunia moja la debe saba linatoa mafuta kiasi gani.
  18. JamiiForums Tanzania INAUZWA Mafuta ya alizeti

    Nina mafuta ya Alizeti halisi ambayo imepitia process zote za refinery na kuhakikisha yanabaki as clear as possible huku yakibakia na health benefits za vitamins muhimu kama A,D,E na K bila kusahau omega 6. Hayana impurities kama fatty acids na sumu kuvu ya kwenye maganda hali inayopelekea...
  19. JamiiForums Tanzania Mafuta ya Alizeti pure & refined!

    Brothers & Sisters, ladies and gentlemen nawasalimu kwa jina la jamuhuri! Nina mafuta ya Alizeti halisi ambayo imepitia process zote za refinery na kuhakikisha yanabaki as clear as possible huku yakibakia na health benefits za vitamins muhimu kama A,D,E na K bila kusahau omega 6. Hayana...
  20. J

    JamiiForums Tanzania DC Muro: Wadau kuwekeza kwenye kilimo cha alizeti Ikungi

    WADAU KUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA ALIZETI IKUNGI Serikali ya wilaya ya Ikungi imefanikiwa kuwaunganisha wadau wenye nia ya kuwekeza kwenye kilimo cha alizeti na taasisi za kifedha ikiwemo benki ya Maendeleo ya kilimo Hatua hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa kikao maalum cha majadiliano ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…