algeria

  1. JamiiForums Tanzania Msichana mdogo kutoka "State of Tiarat" Ya Algeria huvutia watu kupitia mitandao ya kijamii

    Nimetranslate kama ilivyo, kama itakua wrong mtanisahihisha. Msichana mdogo kutoka "State of Tiarat" Ya Algeria huvutia watu kupitia mitandao ya kijamii, kwa sababu ya uzuri wa sifa zake za kipekee, macho yanayong'aa na nywele zake ndefu nyeupe nyeupe, kana kwamba ni mhusika wa hadithi za...
  2. JamiiForums Tanzania Algeria, Nigeria, Niger waingia mkataba wa kuuza gesi bara Uropa, dah! pole kwa Mrusi

    Jameni aliyemshauri Putin kuchokonoa nyuki sidhani kama atasamehewa...... To move away from relying on Russian energy, the European Union are increasingly turning to Africa for natural gas imports โ€” and Algeria, Niger and Nigeria are looking to cash in. Algeria, Niger and Nigeria signed a...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ufaransa ilifanya majaribio ya mabomu 17 ya nyuklia na silaha nyinginezo za nyuklia huko Algeria ilipokuwa ikiitawala, mpaka leo athari zaendelea

    Wafaransa washenzi sana, walipoitawala Mali waliamua kufanya majaribio yao ya nyuklia kwenye ardhi ya Algeria miaka ya 1960s ili athari zitakazotokana na nyuklia ziwaathiri waafrika tu. Yaani majaribio wafanye kwa faida ya Ufaransa, lakini madhila ya miaka na miaka hadi kesho yaendelee...
  4. JamiiForums Tanzania Mchezaji wa timu ya taifa ya Algeria afariki dunia

    HABARI ZA KUSIKITISHA. Kiungo mshambuliaji wa USM Alger na timu ya taifa ya Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ B Billel Benhamouda (24) amefariki dunia kufuatia ajali ya gari. Benhamouda alicheza na kufunga katika mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya DR Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ ุฅู†ุง ู„ู„ู‡ ูˆุฅู†ุง ุฅู„ูŠู‡ ุฑุงุฌุนูˆู† Allah amjaalie qauli...
  5. JamiiForums Tanzania Yaani Uganda anayetuzidi Kiwango 'Kafa' 2 Kwake Kampala na Algeria, leo tulio Mahututi Kimpira ndiyo tumfunge Algeria?

    Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania. Yaani anayetuzidi Kiwango ( tena katuacha mbali sana ) Uganda kachezea Kichapo ( Kafa ) Kwake tena kwa Goli 2 na Algeria, halafu leo tusiojua Tanzania ndiyo tunajidanganya na kujipa Moyo huku tukihimizana kwenda Uwanjani kuwa tutashinda kwa Kumfunga Algeria...
  6. JamiiForums Tanzania Wale wa Algeria na Morocco tujuane hapa fasta ๐Ÿ˜€

    Congo 1-1 Morocco FT Cameroon/Mchongo 0-1 Algeria FT Next matches tutachezea HOME HOME HOME Karibuni makamanda wangu
  7. JamiiForums Tanzania Algeria yapuuzia maombi ya kuongeza uzalishaji wa gesi kufidia gesi ya Urusi

    Taifa la Algeria mpaka sasa limeendelea kuwa "Neutral" na limekataa kuongeza uzalishaji wake wa gesi kwa ajili ya soko la Ulaya kufidia "gepu" lililoachwa na nchi ya Urusi, Vyombo vya habari vya nchi za kiarabu vimeripoti. Miundombinu ya LNG Msimamo huo wa Algeria umedhihirisha umuhimu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Algeria: Vijana wasio na ajira kuanza kulipwa

    Rais wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune amesema ili kulinda utu wa vijana serikali itawalipa vijana kila mwezi, robo tatu ya kima cha chini cha mshahara wanachopokea wafanya kazi Nchi hiyo inayoongoza kwa uzalishaji wa mafuta barani Afrika itawalipa vijana kila mwezi dinari 13,000 sawa na...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Adam Salamba apigwa chini na Js Sourra ya Algeria

    Dogo ana bahati ya kupata teams nzuri ila mwisho wake huwa mbaya sijui kwa nini? anyway hivi salamba ana miaka 22 kumbe akiwa simba alikuwa na miaka 18?
  10. JamiiForums Tanzania Algeria: Shule zafungwa kudhibiti maambukizi ya COVID-19

    Serikali Nchini humo imezifunga Shule kwa muda wa siku 10 na kuimarisha upimaji katika Viwanja vya Ndege kufuatia ongezeko la maambukizi. Uamuzi wa kufungwa Shule umetolewa na Rais Abdelmadjid Tebboune baada ya Kikao cha Dharura na Mawaziri pamoja na Maafisa wa Juu wa Usalama na Afya. Nchi...
  11. JamiiForums Tanzania FIFA Arab cup final, Algeria winner

    Timu ya taifa ya Algeria wameshinda goli 2 kwa 0 dhidi ya Tunisia katika mchezo wa fainali uliyopigwa leo mazehe. Wafungaji ni, Sayoud 99 Brahimi 120+5 Wenye mpira wao bwana,,,hawatumii nguvu wala uganga ili wawin,,,ni akili tuu ina2mika hapo,,,Hongera zao magiant.
  12. JamiiForums Tanzania Morocco - Algeria and Egypt, wenye mpira wao

    Bandugu, kwa wale mliobahatika kutazama mechi ya magiants wa afrika (FIFA ARAB CUP), kati ya Morocco and Algeria ilipigwa tarehe 11/12/2021 mutakuwa mmeenjoy sana sana ๐Ÿ˜€ pira limepigwa acha kabisaa, nina uhakika hawa magiants + Pharaoh watafika mbali mno nchini Qatar/World Cup, na...
  13. JamiiForums Tanzania Algeria: Mdogo wa Rais Abdelaziz Bouteflika ahukumiwa kifungo cha miaka 2 gerezani

    Said Bouteflika ambaye ni mdogo wa Abdelaziz Bouteflika aliyekuwa Rais wa Taifa hilo kuanzia mwaka 1999 hadi 2019 amehukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani kwa kukwamisha Sheria kuchukua mkondo wake. Amehukumiwa pamoja na Waziri wa zamani wa Sheria, Tayeb Louh na Mfanyabiashara Ali Haddad...
  14. JamiiForums Tanzania Kipigo cha mbwa koko: Algeria 6-1 Niger ๐Ÿ˜†

    Safi sana Algeria kwa kipigo cha mbwa koko dhidi ya Niger, mmepiga pira la kiume mammae kama kawaida yenu, mpira mnaujuwa adi mnakera ๐Ÿ˜„,, hawa washkaji wanapiga soka acha kabisa bandugu, wanacheza kwa akili nyingi na kwa ushirikiano, unaweza sema hawaishi afrika hawa njemba. Soka lao lakipekee...
  15. JamiiForums Tanzania Algeria yapiga marufuku ndege kutoka Morocco

    Algeria imefunga anga yake kwa ndege zote za kiraia na za kijeshi za Morocco. Hatua hiyo inakuja takriban mwezi mmoja baada ya Algeria kusitisha uhusiano wa kidiplomasia na Taifa hilo. Algeria imesema uamuzi huo ni kwasababu ya uchochezi unaoendelea pamoja na vitendo vya uhasama kwa upande wa...
  16. JamiiForums Tanzania Ethiopia yafunga Ubalozi wake Nchini Algeria

    Serikali ya Ethiopia imefunga Ubalozi wake uliopo Algiers Nchini Algeria, ikiwa ni hatua ya kupunguza gharama za majukumu yake ya Sera za Kigeni Ubalozi wa Ethiopia Nchini humo umesema uamuzi uliochukuliwa unaweza kubadilika siku za usoni ikiwa hali ya Uchumi ambayo pia imeathiriwa na janga la...
  17. JamiiForums Tanzania Algeria: Wanajeshi 25 wauawa na moto wa msituni

    Takriban Wanajeshi 25 na Raia 17 wameuawa katika moto wa msituni uliotokea Mkoa wa Kabylie. Waziri Mkuu wa Nchi hiyo amesema pamoja na vifo, Wanajeshi kadhaa wamejeruhiwa wakikabiliana na moto huo Katika siku za hivi karibuni Nchi kadhaa zikiwemo Uturuki, Ugiriki, Lebanon na Cyprus zimekumbwa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Mnamuonea sana Karia, ligi zetu ni bora kuliko za Misri na Algeria

    Kuna watu wakiongelea ligi yetu gape la mechi la kulinganisha na ligi ya uingereza unaweza ukadhani karia ni shetani aliyeandikwa kwenye vitabu vya dini..angalia ligi ya misri wana teams kama sisi wanatakiwa kila teams icheze mechi 34 angalia ndo kwanza al ahly ana mechi 19 ,pyramids ana mechi...
  19. JamiiForums Tanzania Algeria: Upinzani watangaza kususia Uchaguzi wa Bunge

    Chama cha upinzani cha kisoshalisti nchini Algeria FFS kimetangaza kitasusia uchaguzi wa bunge wa mapema uliopangwa kufanyika mnamo Juni 12 kikisema mazingira ya kufanyika uchaguzi huo hayaridhishi. Baraza la Taifa la chama cha hicho limesema matayarisho kuelekea uchaguzi huo siyo rafiki na...
  20. N

    JamiiForums Tanzania TP Mazembe watuhumiwa kuiba simu za Waalgeria

    Zim Diaspora Sports Connect TEAM YA ALGERIA CR Belouizdad ambayo juzi imetoa droona mazembe imelaumu kuibiwa vitu vyao zikiwemo simu za mkononi,ikumbukwe mazembe mwaka 2019 waliumiwa kuweka sumu na timu ay tunisa iitwayo club afriacain wakshinda 8-0..najiuliza sana haya yote yangetokea tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ