Yaani Uganda anayetuzidi Kiwango 'Kafa' 2 Kwake Kampala na Algeria, leo tulio Mahututi Kimpira ndiyo tumfunge Algeria?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,865
Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania. Yaani anayetuzidi Kiwango ( tena katuacha mbali sana ) Uganda kachezea Kichapo ( Kafa ) Kwake tena kwa Goli 2 na Algeria, halafu leo tusiojua Tanzania ndiyo tunajidanganya na kujipa Moyo huku tukihimizana kwenda Uwanjani kuwa tutashinda kwa Kumfunga Algeria?

Na GENTAMYCINE nilishasema Timu ya Taifa ikiwa na Wachezaji wengi wa Yanga SC kamwe sitoshangilia ila nikiona kuna Wachezaji 9 katika Kikosi kinachoanza ndiyo nitawashangilia na ikiwezekana hata kuwasaidia katika Kuroga na kufanya Fitna ( Umafia )

Yaani Beki Bakari Mwamnyeto na Dickson ndiyo mnategemea leo Algeria asitupige Goli 8 kwa Mkapa kama tumesimama?

Najipambanua mapema tu hapa kuwa leo GENTAMYCINE nashangilia Algeria na nimerejea Usiku wa leo kwa Umakini kabisa Kuiangalia Mechi yao na Uganda Jamaa wanateleza, wanaupiga mwingi halafu Wana Mido zao Mbili hivi zinaupiga vizuri kama Wanangu mwenyewe Jonas Mkude na Haruna Niyonzima huku wakiwa ni Mabingwa wa kupiga Pasi za Kofi na za Upendo.

Halafu wana Fowadi yao Mmoja yaani afadhali hata yule anayeumwa kwani huyu Yeye kila Krosi ni lazima akufunge na ana Mbio Kisinda anasubiri na leo akina Mwamnyeto na Job wawekewe kabisa na Makopo ya Kujisaidia Jirani kwani atawatoa Pumu na Nyongo.

Ana Mashuti Fei Toto wenu akasubiri.
 
ni vizuri kujiandaa kisaikolojia ili tukifungwa isituumize sana ila mpira huwa hauna kwenda na point zako mfukoni maajabu huwa yanatokea
 
Kwa mkapa hatoki mtu! 💪 My country TZ no matter the outcome!
 
Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania. Yaani anayetuzidi Kiwango ( tena katuacha mbali sana ) Uganda kachezea Kichapo ( Kafa ) Kwake tena kwa Goli 2 na Algeria, halafu leo tusiojua Tanzania ndiyo tunajidanganya na kujipa Moyo huku tukihimizana kwenda Uwanjani kuwa tutashinda kwa Kumfunga Algeria?

Na GENTAMYCINE nilishasema Timu ya Taifa ikiwa na Wachezaji wengi wa Yanga SC kamwe sitoshangilia ila nikiona kuna Wachezaji 9 katika Kikosi kinachoanza ndiyo nitawashangilia na ikiwezekana hata kuwasaidia katika Kuroga na kufanya Fitna ( Umafia )

Yaani Beki Bakari Mwamnyeto na Dickson ndiyo mnategemea leo Algeria asitupige Goli 8 kwa Mkapa kama tumesimama?

Najipambanua mapema tu hapa kuwa leo GENTAMYCINE nashangilia Algeria na nimerejea Usiku wa leo kwa Umakini kabisa Kuiangalia Mechi yao na Uganda Jamaa wanateleza, wanaupiga mwingi halafu Wana Mido zao Mbili hivi zinaupiga vizuri kama Wanangu mwenyewe Jonas Mkude na Haruna Niyonzima huku wakiwa ni Mabingwa wa kupiga Pasi za Kofi na za Upendo.

Halafu wana Fowadi yao Mmoja yaani afadhali hata yule anayeumwa kwani huyu Yeye kila Krosi ni lazima akufunge na ana Mbio Kisinda anasubiri na leo akina Mwamnyeto na Job wawekewe kabisa na Makopo ya Kujisaidia Jirani kwani atawatoa Pumu na Nyongo.

Ana Mashuti Fei Toto wenu akasubiri.
Huyo ni islam slimani
 
mbona kama unaharisha, maana unaiponda taifa stars huku ukitaja majina ya wachezaji wa timu bora ya wananchi!!DSM YOUNG AFRICA!!mabingwa mara 28!!!
 
Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania. Yaani anayetuzidi Kiwango ( tena katuacha mbali sana ) Uganda kachezea Kichapo ( Kafa ) Kwake tena kwa Goli 2 na Algeria, halafu leo tusiojua Tanzania ndiyo tunajidanganya na kujipa Moyo huku tukihimizana kwenda Uwanjani kuwa tutashinda kwa Kumfunga Algeria?

Na GENTAMYCINE nilishasema Timu ya Taifa ikiwa na Wachezaji wengi wa Yanga SC kamwe sitoshangilia ila nikiona kuna Wachezaji 9 katika Kikosi kinachoanza ndiyo nitawashangilia na ikiwezekana hata kuwasaidia katika Kuroga na kufanya Fitna ( Umafia )

Yaani Beki Bakari Mwamnyeto na Dickson ndiyo mnategemea leo Algeria asitupige Goli 8 kwa Mkapa kama tumesimama?

Najipambanua mapema tu hapa kuwa leo GENTAMYCINE nashangilia Algeria na nimerejea Usiku wa leo kwa Umakini kabisa Kuiangalia Mechi yao na Uganda Jamaa wanateleza, wanaupiga mwingi halafu Wana Mido zao Mbili hivi zinaupiga vizuri kama Wanangu mwenyewe Jonas Mkude na Haruna Niyonzima huku wakiwa ni Mabingwa wa kupiga Pasi za Kofi na za Upendo.

Halafu wana Fowadi yao Mmoja yaani afadhali hata yule anayeumwa kwani huyu Yeye kila Krosi ni lazima akufunge na ana Mbio Kisinda anasubiri na leo akina Mwamnyeto na Job wawekewe kabisa na Makopo ya Kujisaidia Jirani kwani atawatoa Pumu na Nyongo.

Ana Mashuti Fei Toto wenu akasubiri.
We si mtutsi mambo ya Tanzania yanakuhusu nini?
 
Ww jamaa

No research No right to speak
 
Uganda hamna timu pale. Yaani mpaka Okwi bado ana namba , Akina aucho na wachezaji wa KCCA ndio tegemeo. Hili group tushindwe wenyewe tu nafasi ya pili inawezekana kabisa.
 
Back
Top Bottom