alaf

  1. U

    Napagawa na Bati: ALAF, ANDO, DRAGON - uchaguzi mgumu. Watu wa mauzo saundi kibao!

    Nimemaliza Kupiga Mbao, site yangu wameshakuja watu wa sales wa makampuni mbalimbali, na wamenipiga saundi za kutosha. Mafundi nao waliopiga mbao wamenishauri ila walivyoona nimepagawa sielewi nitumie bati kampuni Gani wakaniambia wewe Bosi leta bati yeyote sisi tutapiga mana sijui...
  2. FUTURE HUNTER

    Ushauri juu ya Bati ya kuezeka ALAF

    Salaam kwa wanajukwaa.Naamini tuko poa kabisa. Kwenye mada hapo naombeni ushauri juu ya geji ya bati ya kupaua kutoka kampuni ya Alaf. Nimezunguka kwenye maduka nakutana na za geji 30 tu hizi ni zile migongo mipana ( Cover max). Kila nikiulizia geji 28 naambiwa ni kwa oda maalum na wanakiri hzo...
  3. RWANTANG

    Hivi ALAF ni kiwanda cha umma au ni cha binafsi?

    Habari wakuu. Pamoja ya kuwa nimekuwa ni mteja mzuri tu wa bidhaa za ALAF lakini kwakweli sifahamu kiwanda hiki kama ni cha Serikali au ni cha mtu binafsi. Hivyo ninaomba mwenye kujua anifahamishe. Kuna jambo ningependa tujadili baada ya kupata majibu ya swali langu.
  4. Uzalendo Installer

    INAUZWA Water Pump,Printer,samsung Note 9, Bati Alaf na washing Machine

    Water pump Leo =300k Printer canon na Hp=200k Canon: inahitaji toner Hp: printhead imekufa Samsung note 9=400k Washing machine( von hotpoint 10kg) = 50k Washing machine: upande wa ku spin haufany kazi Bati alaf la kigae gage 28 zipo 15pcs= 800k Mazungumzo yapo..
  5. mgt software

    Tanzania tunazalisha wanasiasa, wanasheria na viongozi wa Dini kuliko wanasayansi alaf tunataka kuingia 5G

    Wana JF, Ukisikia nchi kulogwa na aliyeiloga kafa ndio huu mchezo wa kudumaza mambo ya kisayansi na kuzalisha wanasiasa wengi, wanasheria wengi, wahubili wengi kiasi cha kukosa dira ya mpango wa elimu bora yenye mtririko wa kisayansi. Ukienda kwenye vyuo vikuu vya umma utakuta vijana wengi...
  6. Superbug

    Bati 20 za alaf futi 10 zinajenga vyumba vingapi?

    Mabingwa wa ukadiriaji hebu chakateni mlinganyo hapo nataka nimjengee mchepuko kajumba kadogo Sasa hizo bati zinatosha vyumba vingapi?
  7. luangalila

    ALAF Tanzania, mnatumia kigezo gani kupandisha bei za bati zenu

    Wadau kama kichwa cha habari kisemavyo. Nimekutana na hii scenario nikabigwa na bumbu wazi Nilowahi kupiga simu huduma kwa wateja ALAF nikaulizia bei za bati zao nika note kisha nika andaa mahesabu yangu ya paa langu Ikapita wiki 2 nikaenda pale kiwandani kwao nikiwa na nia ya kununua mzigo...
Back
Top Bottom