akili

Akili (Persian: اكيلي‎, also Romanized as Āḵīlī) is a village in Emamzadeh Seyyed Mahmud Rural District, Sardasht District, Dezful County, Khuzestan Province, Iran. At the 2006 census, its existence was noted, but its population was not reported.

View More On Wikipedia.org
  1. RC Chalamila: Nahitaji Busara Kuuongoza Mkoa wa Mwanza

    MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amewaomba wakuu wa idara na watendaji wa Serikali mkoani humo kumuazima busara akidai za kwake pekee hazitotosha. Chalamila ametoa ombi hilo leo Jumatatu Mei 24, 2021 wakati akizungumza na watendaji, wafanyabiashara, wakuu wa idara, viongozi wa dini na...
  2. Ufahamu ugonjwa wa Skizofrenia (Schizophrenia)

    Mei 24 kila mwaka, dunia inaadhimisha Siku ya Ugonjwa wa Skizofrenia (World Schizophrenia Day). Huu ni ugonjwa unaoathiri fikra, hisia na kumfanya mtu kushindwa kujitambua vizuri. Hakuna chanzo kimoja hasa cha ugonjwa wa Skizofrenia, lakini mkusanyiko wa kigenetiki, mazingira na mabadiliko ya...
  3. J

    Mbunge Stella Manyanya ataka Walemavu nao waingizwe jeshini wakasaidie maeneo ya kutumia akili kama IT

    Mbunge wa Nyasa Stella Manyanya amemuomba Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taif mh Kuandikwa kuwafikiria walemavu ili nao watumike jeshini katika maeneo ya kutumia akili kama Tehama Manyanya amesema ajira za jeshi huwa haziwafikirii walemavu na amemwomba Waziri awasaidie. Chanzo: ITV...
  4. Ni jinsi gani unaweza kuishi na mwanamke bila kukwaruzana au bila kupata stress?

    Hebu tusaidie wana ndugu kama mnavyojua wanawake ni watu wa vitimbwi, visa, dharau, vituko na maneno ya karaha yaani kuishi nao inahitaji akili sana lakini hebu leo hii tusaidiane ni njia ipi bora ya kuishi na mwanamke kwa akili bila kukwaruzana nao. Maana kuna wengine watakwambia uishi nae...
  5. Watanzania wenzangu sasa ni wakati wa kuwa makini na wanasiasa wanafiki, waongo na wanaotumika kucheza na akili zetu kama huyu

    Asubuhi.... "Jamani Watanzania wenzangu nafuatiliwa na Watu wa CCM na Gari zao wakiwa na Panga, Sime na Mundu huku Kura za Uwizi zikiwa zimepakiwa mniombee nisife kwani nami nina Familia na Bata nalipenda vile vile na hiki Cbama sitaki nimuachie kabisa Mtu mwingine " Usiku.... "Nampongeza...
  6. M

    Myahudi alivyowachezea akili jana Hamas jana kwa kuwadanganya anaingia Gaza

    Inakuwaje wanajamvi! Jeshi takatifu la Israel IDF Jana liliwadanganya Hamas litaingia Gaza kwa kikosi chake cha ardhini. HAMAS wakaingia kwenye maandaki yao kuwasubiri kuwaambush. Ndipo hapo jeshi teule likawashushia vitu vizito kadhaa vyenye ncha butu vikigusa ardhi tu vinalipuka paah kwa...
  7. M

    Kongole nyingi Kwako Rais Samia kwa Kutujua haraka Watanzania na Kucheza vyema na Akili zetu za Kimihemko na Matukio

    Baada ya kugundua umetukwaza kwa DPP Biswalo Mganga na Kelele kuwa nyingi Mitandaoni hatimaye leo umefanya U - Turn ya maana kwa Kutufurahisha kwa Kumtumbua DC Ole Sabaya. Na kwa jinsi Watanzania tulivyo Watu wa Bendera fuata upepo na Watu tunaoishi kwa Matukio na Mihemko tayari la Biswalo...
  8. Hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kusema kuwa unatafuta mwenzi mcha Mungu?

    Vijana wengi wakike na wakiume wanapotafuta mke/mume huandika kuwa wanamtaka mcha Mungu. Hivi ni nani atakuambia kuwa mimi simchi Mungu? Kumcha Mungu (kumwogopa Mungu) ni jambo la ndani ya moyo. Hata jambazi hutaka mcha Mungu. Hata mafisadi hutaka mcha Mungu Hata wanaokwenda kwa waganga wa...
  9. Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

    Habari za Jumapili njema wapendwa, sifa zote apewe Mungu muumba mbingu na nchi. Amina. Soma kwa makini kuna fundisho hapa Jamani nimekuja humu ndani kupata suruhisho la masaibu yanayo nisumbua na kunipa stress zaidi katika wakati huu. Hii changamoto naona inanilemea tofauti na kupata msaada...
  10. N

    Mchungaji Msigwa aliwahi kusema "akili ndogo inaongoza akili kubwa" - siasa hizi bhana

    Wale wabunge wanaojinasibu kuwa ni vichwa lakini ni darasa la saba tu sio tu hao Mchungaji Msiwa aliwasema. Bali hata viongozi wengine ambao hawatumii kabisa akili zao na kuelimika kwao (darasani) kufanya mambo ya kama hawajaelimika kabisa. Hawa watu ni dizaini ya Ndugai - yaani wanawategemea...
  11. Mchawi hana akili, tukutane hapa ambao tumekutana na vimbwanga vyao, binafsi nlihama nyumba

    Mchawi kiukweli hana akili, mtu umelala zako usiku ukidhani wengi mmelala kumbe ndi kwanza kuna watu hutumia huo mwanya kujiandaa kuja kukusumbua usiku. Nakumbuka nikiwa kijana mdogo (miaka 22) nlichoka kukaa hostel za chuoni nikaenda kupanga ghetto mtaani ili niwe na uhuru zaidi kumiliki...
  12. Wanawake wa sasa hawahitaji akili kuishi nao, wanahitaji moyo mgumu

    Ndio Kama nilivyo Anza na kichwa Cha habari hapo juu. Ni ukweli usio pingika kwamba dunia ya Sasa imejaa wanawake wapuuzi,matapeli,majizi, majuaji nk. Hivyo basi kuishi na watu wa sampuli hiyo ukitumia akili utapoteza muda wako na nguvu zako kusumbuka na jitu lisilo jitambua linataka nini...
  13. Siyo kila ugonjwa wa akili ni mapepo

    Nimeshawahi toa mada kama hii siku za nyuma.Kuna jirani yangu mtoto wake binti wa kidato cha pili anapatwa na mapepo kipindi flani flani.Kuna binti ya rafiki yangu naye miaka ya nyuma kama mitano akiwa kidato cha pili alipatwa na hali kama hiii. Kuna mwingine tena hivyo hiyvo lakini sasa...
  14. Hatimaye Mtu aliyepooza ataweza kutumia smartphones au viungo vya roboti kwa akili zao

    Ukiwa unatembea, wenzako wanakimbia, ndivyo naweza kusema kwa lugha ya haraka kutokana na teknolojia inavyotupa picha kuwa siku moja binadamu ataweza kupika akiwa safarini au kupaa kwa kutumia mabawa (not as we see on movie) lakini kwa uwazi na kila mtu kununua na kutumia kifaa husika. Leo...
  15. Jinsi kukosekana kwa ajira kunavyoharibu akili za Wahitimu

    Umetumia kama milioni 10 hivi ukiwa chuoni ukitegemea ipo siku utaajiriwa ila hadi sas hakuna dalili. Mbaya zaidi wale waliofurahia mikopo ya takribani milioni 12 hadi wamalize elimu zao kwa sasa wana madeni mazito maana kuna penati ya asilimia 10 na tozo ya asilimia 6 kila mwaka. Mttani...
  16. Line 2 aliyekataa goli la Simba Sc ana akili timamu kweli?

    Sitii neno lolote,tazama mwenyewe. Ningekuwa Mkude huyu line 2 ningemzaba kibao
  17. M

    Hii inatokea na inawezekana tu Tanzania, hivyo acheni wenye Akili watucheke na watudharau kwani tumejitakia na tunastahili

    Rais Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea 'Kuchemka' kwa Kujiita ni Rais wa Awamu ya Sita ila amesahau kuwa Leo amehutubia Wabunge waliochaguliwa katika Awamu ya Tano. Nao Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo muda mwingi walikuwa wakimfurahia, wakimpigia Makofi, wengine hadi kupiga...
  18. Tuweke wazi, uwezo wa akili ni mmoja tu hakuna tofauti

    Nilishawahi kuona na kusikia kwamba huyu ni "jiniazi" sijui hasomagi! Mara kameza madesa yote! Kipindi tuko mashuleni tuliamini ni kweli na huenda mpaka sasa baadhi au wengi mnaamini hivyo lakini ukweli ni kwamba √binadamu wote wana akili sawa! Tatizo ni jinsi binadamu tunavyozitumia akili...
  19. M

    Ama hakika Injinia Hersi anajua sana kucheza na Akili za Wanayanga 'Oya Oya' wengi na anawapeleka vile atakavyo!!

    Injinia Hersi bhana yaani baada ya kuona Mashabiki wa Yanga SC sasa wanaanza 'Kukumaindi' kwa Ahadi yako kuwa Yanga SC isipokuwa Bingwa Msimu huu uulizwe Wewe leo umeamua uyageuze Mawazo yao na Wao walivyo Oya Oya ( Mazwazwa ) wamekuelewa. Tayari Injinia Hersi ameshaandaa Jibu kama akihojiwa...
  20. Video: Anayehusika na hii barabara ya Shaurimoyo (Al-haramain), ana akili sawasawa kweli kichwani?

    Hii hali ipo mwaka wa 5 huu, sasa utasema huyo mtu ana akili zilizotimia kichwani kwake, huu si ujinga huu kabisa?! Na hapa ni katikati ya jiji kabisa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…