Akili ni neno pana sana ambalo linarejelea uwezo wa kiroho na kiutendaji wa ubongo wa binadamu (au kiumbe hai) kufikiri, kuelewa, kujifunza, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi.
Kwa lugha rahisi, wakati ubongo ni kiungo kinachoonekana ndani ya kichwa (physical organ), akili ni matokeo ya utendaji kazi wa huo ubongo (mind/intellect).
Neno hili hutumika katika mazingira mbalimbali na linaweza kubeba maana zifuatazo kuu:
Uwezo wa Kujifunza na Kuelewa (Intelligence): Hili ni lile kundi la akili la darasani au uwezo wa ubongo kuchakata taarifa mpya haraka. Mfano, tunaposema "Mwanafunzi yule ana akili sana," tunamaanisha ana uwezo mkubwa wa kuelewa masomo na kufaulu.
Busara, Hekima, na Utambuzi (Common Sense): Hii ni uwezo wa mtu kupambanua kati ya jema na baya, na kufanya maamuzi sahihi katika maisha ya kila siku. Mtu anaweza asiwe na elimu kubwa, lakini akawa na akili ya maisha. Mfano: "Jambo hili linahitaji akili, siyo nguvu."
Mbinu, Ubunifu, au Ujanja (Ingenuity/Tact): Huku ni kutumia uwezo wako wa kufikiri kutafuta njia mbadala ya kutatua changamoto ngumu au kujiokoa katika mazingira magumu. Hii mara nyingi huitwa "akili ya kuzaliwa".
Hali ya Ufahamu (Consciousness/Sanity): Akili pia inamaanisha hali ya mtu kuwa sawa kiufahamu bila kuwa na matatizo ya mtikisiko au magonjwa. Mfano, tunaposema "Amepoteza akili," tunamaanisha amepata tatizo la afya ya akili (kuchanganyikiwa) au amelewa kiasi cha kutojitambua.
Hawa ccm naona kwa sasa watu wamewachoka jana kahama waliamua kulazimisha mkutano wao na wasira ndani ya stendi ya shinyanga kahama ambayo inashuguli nyingi za watu.
Mabasi yalilazimisha kupaki nje ya stendi ili kusubiri wateja wao.
Sasa cha kujiuliza wakati kahama kuna kiwanja kikubwa ambacho...
It is self explanatory, sina haja ya kuandika zaidi.
ILA WATANGANYIKA TUMEJAA MIPUA MIKUBWA NA MIBICHWA MIKUBWA ILIYOJAA MAKAMASI NA FUNZA.
Mikataba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI1
BY: MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
.Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa...
Je, umewahi kutamani uishi milele? Usiwe na haraka kujibu, kwa sababu huenda baada ya kusikia hadithi hii, utabadili mawazo.
"The Last Answer" ni hadithi fupi iliyoandikwa na Isaac Asimov, mmoja wa waandishi mashuhuri wa science fiction. Ingawa hadithi hii si maarufu kama The Last Question...
CCM walikuja na kauli mbiu yao "Zima zote washa kijani" wakimaabisha wafute ushawishi Wa vyama vyote wabakie wao CCM.
Lakini Kwa Sasa tangu CHADEMA ianze harakati zake za "No reforms No Election" CCM imechachawa na kuzima akili zao zote na kuwasha ushetani.
Hivi inawezekanaje mtu mzima na...
Jamani hili ni swali naamini jibu lake unalo mwenyewe, huku mitaani Vijana,Wadada,Kinamama,kinababa,Wazee wote wenye uelewa wa mambo ni washabiki wa Chadema,hata humu jukwaani bila kusahau Viongozi wa dini
Lakini ukienda upande wa pili kule ufahamu wa mambo ni mdogo sana,naamini hata nyiye...
Katika miaka ya karibuni watu wamekuwa wakiogopa kuwekewa kifaa maalum kwenye ubongo kwa siri wakihofu kutumika kama mazombi kufanya kazi za mabeberu.Kumbe hiyo teknolojia si rahisi kihivyo.
Norland Arbaugh ni miongoni mwa watu wa mwanzo kukubali kufanyiwa majaribio hayo kufuatia kupooza mwili...
Kwanini Africa haiwezi kuendelea ni kwa sababu watu wenye akili na uwezo mkubwa kuona kesho hawapendwi na watawala... Why?
Watawala wanapenda chawa na chawa siku zote wanauma Tena wanauma sana na mwishi wanadhoofisha...
Umewahi kaa au kulala sehem Kuna chawa?
Mara zote kwa aina hii ya uongozi...
Akiwa na umri wa miaka 95, mwanafalsafa na mwanaisimu wa Marekani Noam Chomsky alipoteza uwezo wake wa kuzungumza na kuandika,
..LAKINI aliacha kiti cha enzi cha maneno—chombo ambacho kupitia kwake alifichua ukweli kuhusu mifumo ya kimataifa 🧠📖.
Katika maisha yake yote, aliacha nyuma tafakari...
Hi great Thinkers.
Tanzania ilipata mtu ‘kwerikweri’. Wahuni pekee ndo watasema waliteswa ila ukweli ni kwamba mwamba alipiga kazi nzuri sana yenye kutukuka.
Huwa nashangaa Sana MTU akisema Binadamu Ana akili Sana kuliko wanyama wa kawaida hii hapana
Human being is toxic creature.
Binadamu alibidi kuishi kwa Upendo na kuyatawala mazingira na sio Kama ilivyo sasa. Hajitambui
Simba wamenyooka sana kwenye haya mambo ya sheria na kanuni,hadi wafanye jambo ujue wameshajihakikishia kwamba wako sahihi.
Yanga walipanga hujuma kuwafunga Simba kwa uonevu wakawanyima uwanja wa mazoezi na vurugu juu,Simba wakaona isiwe kesi ni kuandika chapisho moja kwamba hawachezi.
Yanga...
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga amewajibu wakosoaji wa Serikali ya Rais William Ruto wanaotaka aondoke madarakani huku akisema wanataka atoke aende wapi.
Kauli ya Odinga inakuja zikiwa zimepita siku chache tangu asaini makubaliano ya kufanya kazi na Rais Ruto nchini Kenya...
Mpira ni Makombe na sio rekodi za points,
Simba huo ukubwa mnaojipaga mbele ya Yanga mnautoa wapi?
Hua najiuliza tu.
My favourite player Ronaldo ana magoli Mengi kuliko mchezaji yeyote alie active now ila magoli yale tunashindwa kuyatetea bila Kombe la dunia bila Balon dor za kutosha mbele ya...
Sio jambo jema mkaendelea kuropoka .
Huwa nashangaa Sana hawa viongozi wa Ccm wasiokuwa na akili wanavyowashauri vijana .
Utasikia wanakuambia Afisa usafirishaji , Afisa ubashiri , Mama lishe na Baba lishe.
Wakati wa Corona mwaka 2020 nilikuwa kijijini nimeenda kuangalia mashamba
Ila nilichoka Sana nilipomuona MTU ambaye Hana Elimu ya Afya ni lay -Man aliamua kuwaambia watanzania kuwa Watumie malimao na tangawizi na wajifukize ili kupambana na corona.
Na hakuishia hapo akaenda Muhimbili...
Nina miaka 38...Niko single(nimeachana na mke wangu)....sivuti sigara na wala sinywi pombe...sijaajiliwa nimejiajili kwhy hela ya kula vizuri na matumizi madogo mdogo hainipigi chenga kwa kifupi sina njaa...uhakika wa mbunye upo yani simu moja tu naletewa mbunye mpka mlangoni kwa kifupi japo...
Inawezekanaje mtu mwenye akili ndogo na uelewa finyu kama huyu kuwa mwandishi wa habari katika kituo kikubwa cha habari?! Hii nchi bado ina safari ndefu sana.
Hapa duniani huwa hakuna mke wa mtu hilo jambo ni nadharia za binadamu wenye upeo mdogo wa akili.
Maana kitaalamu sio rahisi mwanaume akae na mwanamke mmoja bila kuchipuka.
Sex = energy ngono ni nishati au umeme hivyo ukimuona mke wako Ana umeme mdogo unashauriwa kwenda kutafuta umeme kwa...
Wasomi wengi Tanzania wameacha taaluma zao kujifucha ccm kutafuta fusa na uchawa.
Madokta, na maprofesa walioko ccm wengi ni machawa, elimu zao na usomi wao wote wameutupa na kuchagua uchawa, maprofesa waliopo ccm ni mmoja tu alie baki ni Anna Tibaijuka,
Wengine wote ni machawa. Ccm wanzishe...
.
Karibu binti na mwana wa mama Afrika.
Ukiingia katika maandiko Subconscious Mind inaitwa moyo au roho.
Ukisikia fulani ana roho/moyo mzuri au mbaya ina maana hizo sifa zimejaa katika Subconscious mind yake.
Na ndiyo maana ya kauli ya Yesu kusema kimuingiacho mtu si najisi bali kimtokacho...