Akili ni neno pana sana ambalo linarejelea uwezo wa kiroho na kiutendaji wa ubongo wa binadamu (au kiumbe hai) kufikiri, kuelewa, kujifunza, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi.
Kwa lugha rahisi, wakati ubongo ni kiungo kinachoonekana ndani ya kichwa (physical organ), akili ni matokeo ya utendaji kazi wa huo ubongo (mind/intellect).
Neno hili hutumika katika mazingira mbalimbali na linaweza kubeba maana zifuatazo kuu:
Uwezo wa Kujifunza na Kuelewa (Intelligence): Hili ni lile kundi la akili la darasani au uwezo wa ubongo kuchakata taarifa mpya haraka. Mfano, tunaposema "Mwanafunzi yule ana akili sana," tunamaanisha ana uwezo mkubwa wa kuelewa masomo na kufaulu.
Busara, Hekima, na Utambuzi (Common Sense): Hii ni uwezo wa mtu kupambanua kati ya jema na baya, na kufanya maamuzi sahihi katika maisha ya kila siku. Mtu anaweza asiwe na elimu kubwa, lakini akawa na akili ya maisha. Mfano: "Jambo hili linahitaji akili, siyo nguvu."
Mbinu, Ubunifu, au Ujanja (Ingenuity/Tact): Huku ni kutumia uwezo wako wa kufikiri kutafuta njia mbadala ya kutatua changamoto ngumu au kujiokoa katika mazingira magumu. Hii mara nyingi huitwa "akili ya kuzaliwa".
Hali ya Ufahamu (Consciousness/Sanity): Akili pia inamaanisha hali ya mtu kuwa sawa kiufahamu bila kuwa na matatizo ya mtikisiko au magonjwa. Mfano, tunaposema "Amepoteza akili," tunamaanisha amepata tatizo la afya ya akili (kuchanganyikiwa) au amelewa kiasi cha kutojitambua.
MWANAMKE ANAYEKUPENDA BILA MASHARTI (NO STRINGS ATTACHED) NI MAMA YAKO, NA HATA YEYE ANAKUPENDA KWA SABABU WEWE NI DAMU YAKE!
MAKE NO MISTAKE ABOUT IT! Usijidanganye kwamba utapendwa hapa duniani bila sababu yoyote. Kila mtu anakuona kama fursa kwa namna fulani. Hakikisha wanavyonufaika kupitia...
Hakuna Mtanzania asiyeona kwamba sasa nchi yetu Tanzania imeingizwa kwa ndani sana na utawala wa kikatili na kifisadi uliojikita kwenye kujifanya mabwana kati ya raia ambao wanapaswa kuwa watwana. Polisi wametusaliti na kuwa wauaji na watekaji wetu, wakijiunga na TISS katika udhalimu huu...
KUTOKANA NA MAMBO YANAYOENDELEA KILA SIKU
MARA MUME.KAMUUA.MKE NA SILAHA
MARA MKE KAMUUA MWENZIE NA SILAHA
TUNASHAURI HAWA WATU MNAOWAPA SILAHA WAMILIKI WAPEWE MITIHANI YA KUANGALIAA AKILI ZAO KILA MWAKA TAFADHALI
MKUMBUKE MNAVYOWAPA WENGINE WANAKUWA NA FURAHA KWENYE NDOA ZAO
LAKIJI...
Nimeona hilo tukio la huyo jamaa aliye Muua mke wake Kwa Kumpiga risasi, nimesoma chanzo Cha tukio lote nimeona kama stori inaendana na kilicho tokea Kwa kaka yangu pamoja na mkewe.
Ninavyo kuambia mpaka muda huu, kaka yangu ni Kichaa kabisa anaokota Makopo huko kijijini kwetu na sababu kubwa...
Mwaka 1902, mji wa Hanoi nchini Vietnam ulishuhudia moja kati ya mipango ya kijinga, ya kuchekesha, na iliyoacha kovu la aibu katika historia ya ukoloni wa Ufaransa—jaribio la kutokomeza panya kwa kuwalipa wananchi kwa kila mkia wa panya walioleta! 🐀💥🇫🇷🇻🇳
Kisa hiki kilianza wakati wakoloni wa...
Kuna clip moja nimeliona na umenipa matumaini kumbe kwenye taifa hili lenye wanawake walio oza kimaadili bado wapo(bado yupo, maana ni one in a thousand)
Kila siku nimekuwa mstari wa Mbele katika kuwaeleza wanawake umuhimu wa kujitegemea nikiwaambia kujiuza na kubadilisha miili yenu iwe sex...
Taasisi ya Jamii Afrika imezindua Huduma ya AVA (Ask Viamo Anything), teknolojia ya akili unde (AI) inayomuwezesha mtumiaji kuuliza maswali na kupata majibu kupitia simu bila kuhitaji intaneti
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Ziada Seukindo, Mkuu wa Programu kutoka Jamii Afrika, amesema...
Malaria imewahi kuwa na bado ni ugonjwa mbaya sana uliwowaathiri mamilioni ya watu hasa wakiwa watoto katika nchi zote za Africa Kusini mwa janga la Sahara(Sub-Saharan Africa) hasa na Tanzania ikiwepo.
Athari mojawapo za ugonjwa wa malaria hasa kwa watoto wadogo ni kudumaa ubongo wao na...
MWANAUME ANAYESEMA WANAWAKE NI WABAYA NI YULE ALIYESALITI AKILI YAKE. YAANI AMBAYE HAKUTUMIA AKILI YAKE VIZURI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Silaha namba moja ya mwanaume ni Akili. Kwa sababu bila Akili mwanaume hawezi kuwa mtawala.
Hata uwe na pesa kiasi gani, cheo kikubwa vipi. Kama...
Msemo mmoja maarufu nchini Israel unasema: "Musa alituzungusha jangwani kwa miaka 40 na hatimaye kutulaza sehemu pekee ya Mashariki ya Kati isiyo na hata tone moja la mafuta."
Pamoja na kuwa na eneo dogo (zaidi ya 60% ikiwa ni jangwa la Negev), kutokuwa na dhahabu, mafuta, wala madini ya...
Siri ya Meditation, Telepathy, Telekinesis, Teleportation na Mipaka Ambayo Mwanadamu Bado Hajaiweka Ramani…
Kuna siku mwanadamu anafumbua macho yake na kugundua kwamba amekuwa akiishi ndani ya mwili bila kujiuliza nani anayeyaona maisha kupitia mwili huo. Anaona macho yake lakini hawezi kuyaona...
Serikali imeitaka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kuharakisha maboresho ya mitaala na mafunzo ya uhasibu ili kuendana na kasi ya maendeleo ya teknolojia, hususan matumizi ya akili unde (AI), kwa kuwa baadhi ya kazi zinazofanywa na wahasibu hivi sasa zinaweza kubadilika au...