akili mnemba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Amba Samedi

    Mbinu 6 Sifuatazo Zitakukinga na Uzoroto Wa Ubongo katika Kizazi cha AI

    Habari wanaJF, Natumaini mko salama. Nina siku nyingi sijaja humu. Ila leo nimepata nafasi tena. Moto usizime. Mbele daima! Leo tutazungumza kuhusu jinsi ya kutumia AI bila AI kukutumia wewe. AI itawasababisha wengi kuwa na uozo wa akili. Tafiti zinasema kuwa GenZ wa sasa watakuwa the most...
  2. N

    JamiiAI: Mafanikio Katika Majaribio ya Awali ya Akili Mnemba "JamiiAi" niliyewaletea ili kuisaidia jamii ya kiswahili

    LOGO rasmi ya jamiiAi  Utangulizi Katika enzi ya maendeleo ya kasi ya teknolojia ya akili bandia, ujio wa akili mnemba inayojulikana kama Jamii AI umeleta matumaini mapya katika sekta ya kidijitali. Kupitia majaribio ya awali yaliyofanyika, Jamii AI imeonesha uwezo mkubwa wa kiufundi, kasi ya...
  3. The Palm Beach

    Hotuba ya Rais Samia kuuaga mwaka 2025 yazua mjadala. Aendelea kukebehi maelfu ya waliouawa. Yadaiwa si halisi, imetengenezwa kwa Akili Mnemba (AI)

    https://youtube.com/shorts/d-gVWuklw7Y?si=zpWedEOCcjWkGVC9 Pamoja na kuendelea kukebehi maelfu ya wananchi waliouwawa na vyombo vya usalama vya serikali yake, hotuba ya Rais Samia ya tarehe 31/12/2025 masaa machache kabla ya kuingia mwaka mpya 2026 imezua balaa na mjadala makubwa kuhusu uhalisia...
  4. M

    The Battle of AI : Kwa uzoefu na matumizi yako, ni AI ipi umetokea kuikubali zaidi ?

    Katika matumizi yako ya teknolojia ya Artificial Interlligence (AI) ni ipi umetokea kuikubali zaidi CHAT GPT (Open AI) GROK DEEP SEEK CO PILOT GERMINI (GOOGLE) n.k.
  5. Fascinating

    Open AI imezindua Browser yake ya Atlas, Ongezeko la AI Browsers lina madhara yeyote?

    OpenAI imezindua ChatGPT Atlas, browser ya akili mnemba itakayofanya kazi kwa ukaribu na chatbot maarufu ya ChatGPT, suala linalotarajiwa kuleta muelekeo mpya dhidi ya utawala wa Google Chrome. Uzinduzi huu ni hatua nyingine ya OpenAI ya kutaka kunufaika kupitia watumiaji milioni 800 wanaotumia...
  6. enzo1988

    Hizi ndizo kazi ambazo akili mnemba (AI) inaenda kuzifanya na isizoweza kuzifanya

    Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kuzidi kushika kasi, kazi nyingi zilizokuwa zina muhitaji binadamu kwa kiasi kikubwa zinaenda kufa na kupotea kabisa. Kwa wale wanaopenda kuajiriwa kazi zifuatazo zinaenda kufanywa au haziwezi kufanywa kwa kutumia akili mnemba (AI). Ukiangalia kwa...
  7. Kingsmann

    Online Media: Video ya Kapteni Tesha siyo halisi, imetengenezwa kwa akili mnemba (AI)

    Baadhi ya Online media zimeandika taarifa ambayo ikieleza kauli alizozungumza anayetajwa kuwa ni Kapteni wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ikieleza Nchi ya Tanzania ikiwa imefikia pabaya. Lakini inaonekana kama ni maagizo ambayo yametoka na kuanza kukanusha kwamba alichozungumza ni sahihi ni...
  8. Mafyangula

    GE2025 Mgombea urais Ada Tadea: Nitaanzisha kituo maalum cha teknolojia ya akili mnemba katika uzalishaji wa bidhaa na huduma

    Hakika hii moja ya hoja nzuri sana kutoka kwa gombea urais wa ADA TADEA. ============== Mgombea Uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama cha Ada Tadea Georges Bussungu ameahidi kuwa iwapo atapata ridhaa ya kuongoza, ataanzanisha kituo maalum cha teknolojia ya akili bandia...
  9. N

    Jiandae "JamiiAi" inakuja hivi karibuni

    Hivi karibuni, nitakuja na JamiiAI. JamiiAI ni miongoni mwa project nitakayoifanya itakuwa ni hatua kubwa ya teknolojia kwenye jamii yetu: Kuunganisha nguvu za sanaa ya akili (Artificial Intelligence) na maisha ya kila siku Kutoa suluhisho bunifu kwa changamoto za kijamii na kiteknolojia...
  10. E

    Ilani za uchaguzi mkuu 2025: Digitali na akili mnemba zinavyojadiliwa katika ilani za vyama vya siasa

    Katika Uchaguzi Mkuu wa 2025, vyama vya siasa nchini Tanzania vimeweka mkazo mkubwa katika kuzungumzia maendeleo ya teknolojia ya kidigitali na nafasi ya akili mnemba (AI) katika kuchochea uchumi, utoaji wa huduma, na utawala bora. Hapa tunalinganisha ahadi kuu za vyama vikuu vinne: CCM, CUF...
  11. Fascinating

    AI Zinazotumika Zaidi Ulimwenguni Mwaka 2025, Unajua kwa hapa Tanzania ipi inaongoza?

    ChatGPT ndio inayoongoza kwa matumizi ya AI kote ulimwenguni mwaka 2025, ikiwa na alama ya jumla (Final score) ya 0.81 na watu zaidi ya mara bilioni 46.59 wanaoitembelea kila mwaka. Hii inamaanisha kuwa asilimia 48.36% ya soko zima la matumizi ya akili mnemba (AI) linamilikiwa na ChatGPT. Maoni...
  12. H

    Athari za Ujio wa Akili Mnemba (AI) katika Kuathiri Ubunifu na Fikra Tunduizi kwa Wanafunzi, Watafiti na Wataalamu: Nafasi ya Walimu wa Vyuo Vikuu

    Utangulizi: Katika zama za mapinduzi ya nne ya viwanda, ujio wa akili mnemba (Artificial Intelligence - AI) umeleta mageuzi makubwa katika sekta mbalimbali duniani, hasa elimu. Wakati AI inaleta fursa ya kurahisisha upatikanaji wa taarifa na kuongeza tija, pia imeibua changamoto kubwa kwa...
  13. Forgotten

    Nataka kuunda AI Wrapper itakayoelewa lugha za makabila yote Tanzania.

    Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza... nataka kuunda AI Wrapper itakayoelewa lugha za makabila zaidi ya 125 yanayopatikana Tanzania. Ukweli ni kwamba haitawezekana kwa makabila yote kutokana na aina ya lugha zenyewe, mfano HADZABE. Kwa wasiofahamu, AI Wrapper kwa lugha nyepesi, ni kuunda mfumo wa...
  14. Nazjaz

    Nitajuaje mwanaume anayenitongoza anatumia akili yake au ndio unatumia akili mnemba Chat GPT?

    Jamani this is my very silly question, nisije nikawa natongozwa na katoto ka miaka ya elfu mbili mie... In this age of artificial intelligence we have to be more than smart.
  15. Mindyou

    China kuanza kufundisha watoto masuala ya AI (Akili Mnemba) mwezi Septemba mwaka huu

    Wakuu, Kuanzia Septemba mwaka huu, Beijing, China itaanza kuwafundisha watoto wadogo kuanzia umri wa miaka sita masomo ya lazima ya Akili Bandia (AI) katika shule zote za msingi Shule zote jijini Beijing zitalazimika kutoa angalau masaa 8 ya ufundishaji wa AI kwa kila mwaka wa masomo, ama...
  16. Amba Samedi

    Jinsi Watanzania Wanavyoichukulia AI (Akili Mnemba) na Madhara Yake

    Habari wanaJF, Natumaini mnaendelea vizuri. Nimeamka salama. Nililala saa 8 usiku, baada ya kikao kirefu na mmarekani mmoja, hapa nkishamaliza kuandika nazama tena usingizini kidogo. Leo katika pitapita zangu, nimekutana na ripoti moja iliyochapishwa na Sahara Ventures. Waliwauliza...
  17. Jemima Mrembo

    Profile za Wana JamiiForums mbalimbali kwa mujibu wa akili mnemba/ akili unde/ akili kinyanyamshenzi

    Mshana Jr ni msanii wa Tanzania anayejulikana kwa kazi za ujuzi wa uigizaji wa vichekesho, hasa kupitia mitandao ya kijamii kama YouTube, TikTok na Instagram. Anajulikana kwa ucheshi wa kipekee, lugha ya Kiswahili yenye lafudhi ya mtaani, na uwasilishaji wa maisha ya kawaida kwa njia ya...
  18. Blueboy Jr

    Ni wapi na kwa namna gani nawaza kujifunza AI kiundani zaidiii

    Hello wana Jf leo nilikuwa nasikiliza podcast moja online kuhusiana AI na fursa na faida za AI. Sasa nimekuwa niikitumia tu kwa mazoea AI mfn. kusearch kitu au Kuliza maswali ya kawaida tu. Kweny hizi AI Gemin, chaptGpt, copilato, iask Ai, na copilot. Naomba kujua ni wapi/which platform, na...
  19. Mi mi

    Kwanini jamii za kiAsia zinaonekana kufanya vyema kwenye akili mnemba( AI) na Semiconductors

    Kwa nini hizi jamii za Asia zinaonekana kufanya vyema kwenye AI kwa sasa duniani ? Hasa jamii ya kichina iwe ndani ya nchi zao za kuzaliwa au hata nje ya nchi zao Nini siri ya mafanikio yao au upande gani una mafanikio kwao katika maeneo haya ?
  20. Truth Bot AI

    Special Thread: Uzi Maalumu kwa Ajili ya Kujifunza Jinsi Ya Kuandika Prompt mbalimbali kuziweka kwenye Akili Mnemba

    Kabla ya Yote Thread Hii inahusu Prompt zote, Maandishi Ramani,vitabu,tafsiri , barua,uandishi, Utengenezaji wa Kila Kitu haijajikita Kwenye picha Peke yake.., Kwahiyo nawaomba Mod Wasiunganishe na Uzi wowote.. Nimeona Wengi tukisumbuka Kutengeneza Prompt mbalimbali Kwa Ajili ya Matumizi ya...
Back
Top Bottom