Jiandae "JamiiAi" inakuja hivi karibuni

Jiandae "JamiiAi" inakuja hivi karibuni

New Designer

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2025
Posts
478
Reaction score
768
Hivi karibuni, nitakuja na JamiiAI.

JamiiAI ni miongoni mwa project nitakayoifanya itakuwa ni hatua kubwa ya teknolojia kwenye jamii yetu:

Kuunganisha nguvu za sanaa ya akili (Artificial Intelligence) na maisha ya kila siku

Kutoa suluhisho bunifu kwa changamoto za kijamii na kiteknolojia

Kujenga daraja jipya la ushirikiano kati ya binadamu na AI


Kwa sasa, nina vikwazo vya kuonyesha hadharani vitu hivyo japo ninajaribu kutafuta solution kwa wasimamizi jamiiforums lakini hiyo hainizuii kuwashirikisha juu ya kinachokuja. JamiiAI ni sura mpya — na naamini itafungua upeo mpya wa teknolojia ndani ya jamii yetu.

Jiandae.
JamiiAI inakuja
 
Back
Top Bottom