akifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Mtu akifa anatakiwa azikwe wapi? Migogoro ya kuzika maiti

    MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama. Nilijifunza mengi kupitia yeye, madhaifu na ubora wake. Mazuri na mabaya yake. Maziko ya Bibi yangu...
  2. GENTAMYCINE

    CCM ya sasa ingekuwa smart ingemkana Mwenyekiti UVCCM Kagera. Kwa kunyamaza ni kama wanathibitisha ni wauwaji

    Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi hivi sasa kuinyamazia ni Uthibitisho kuwa kwanza wao (CCM) ndiyo wamemtuma huyu mpumbavu kusema vile. Lakini pia ni Uthibitisho usio na...
  3. N

    Nini kitatokea ikiwa marehemu aliombwa akifa azikwe sehemu fulani lakini akazikiwa sehemu nyingine?

    Nini kitatokea ikiwa marehemu aliomba/alitaka akifa azikwe sehemu fulani lakini akazuiwa sehemu nyingine? Naomba kufahamishwa wajuzi wenye historia waliowahi shuhudia matukio haya ikiwa marehemu wakati wa Uhai wake aliomba/alitaka akifa azikwe sehemu fulani lakini baada ya kifo Ndugu/jamaa...
  4. The Burning Spear

    Si kila mwana CCM ni wa kulilia akifa wanatutesa sana wakiwa hai

    Great Thinkers. Politicians ni binadamu kama binadamu wengine tu. Leo hii misiba tanzania iko mingi lakini ya wanasiasa inapambwa sana. Wanasiasa wenyewe ndo hawa CCM wanaotutesa na ugumu wa maisha pamoja na ubadhilifu. Kuna wanasiasa wa kulilia ila wengine hasa walio wengi tunasema asante mungu
  5. S

    Serikali, CCM na Polisi wanapaswa kujiuliza kwa nini wananchi wakiona askari polisi anashambuliwa hawatoi msaada?

    Juzi hapa kulikuwa na tukia la askari Polisi mkuu wa kituo cha polisi Mwanakwerekwe, Zanzibar, akishambuliwa hadharani, na wananchi wakishangilia japo waliona askari alikuwa amezidiwa (angalia picha hapa chini). Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Mjini Magharib, amewalalamikia wananchi kwamba...
  6. Chizi Maarifa

    Chawa hakai kwa maiti, binadamu akifa chawa huamia kwa mwingine

    Watawala hawajui hiki kitu. Wanawakumbatia sana Chawa pasipo kugundua siku wakifa wale Chawa huangalia binadamu mwingine mwenye hali ya kuwakaribisha anahamia huko. Kama huamini Rais wa sasa ajidai amekufa kwa mwezi mmoja tu aone hawa alio nao sasa watasemaje akiwa amekufa. Wasiwasi wangu ni...
  7. T

    Mwenye maono akifa vitu vyote hufa kibudu, viwanda vilivyoanzishwa na Magufuli mbona havikuwa magofu?

    Shida ni nini? Kuna viwanda vingi vilijengwa na vingine kuanzishwa, Cha ajabu ni kwamba, vilivyokuwa vikijengwa na ilikuwa vinaendelea vizuri, sasa haviendelei tena kujengwa, vingi vinaelekea kuwa magofu! Hawa wawekezaji walioanza kujenga viwanda barabara ya Bagamoyo to Tanga, Dar to Moro...
  8. S

    Muitalia ana nyumba Zanzibar akifa ndugu zake wanaweza kurithi?

    Hamjambo? Mwanamke fulani kutoka Italy ana nyumba Zanzibar tangu zamani. Huyu mwanamke anazeeka kwa hiyo anataka kuja nyumba yake inaweza kurithiwa na jamaa zake wanaoishi Italy? Pia warithi hawa wanaweza kukataa urithi? Asanteni
  9. MOONFISH

    Kwanini pale mtu anapofariki huwa wanatoa nguo zake zote na kuzigawa?

    Habari wakuu natumaini ni wazima wa afya kabisa. Swali langu kubwa ni kuwa hivi kwanini pale mtu anapo fariki huwa wanatoa nguo zake zote na kuzigawa. Mfano kama mimi kuna mzazi wangu mmoja ali tangulia ila hata kabla hawaja mzikaa wakakusanya nguo zake zote na kuzikunja na kuzipack yani...
  10. GENTAMYCINE

    Kwanini binadamu yeyote akikata roho (akifa) tu ni lazima atoe haja kubwa hata kama ni kiduchu?

    Nangoja kwa hamu sana kusoma maoni yenu ya kitaalamu enyi wajuvi wa JamiiForums, kwani nimedokezwa tendo la mwanadamu kujisaidia haja kubwa Wazaramo wanasema kuukweka) pale tu akikata roho ni la kisayansi zaidi. Hivyo nitafurahi nikielimishwa juu ya hili.
  11. MimiNiMakini

    Kanumba hayupo filamu zipo, Diamond akifa muziki utaendelea

    Imetoka List ya Wasanii wenye Ushawishi mkubwa Barani Africa, Diamond ametokea pia kwenye List hiyo na Mbaya Zaidi amejisifu kwamba Bila yeye bendera ya Tanzania haitapepea tena kimataifa iwapo hasa atafariki. Inachekesha Sana, Diamond ameshajikuta kwamba bila yeye mambo hayaendi, huu ni uongo...
  12. D

    Unafiki wa walimwengu walewale waliomzodoa Spika Ndugai siku akifa watamwagia sifa kedekede

    Hapa Duniani kuna Mambo Magumu sana kuyaelewa! Miongoni mwa mambo magumu kuyaelewa ni unafiki wa binadam juu ya binadam mwenzake! Watu wale wale wanaomzodoa Job Ndugai ni hao hao wa kwanza kushika MAIKI Kumpamba kwa sifa kedekede siku Akifa! Utawasikia wakisema haya! 1. Inchi imepoteza...
  13. sky soldier

    Mjomba wangu anataka kuchomwa akifa, familia yake imekataa kaja kwangu, Nichukue uamuzi upi??

    Kwa kipindi kama cha miaka mitatu amekuwa akiwa na msimamo wa kutaka kufanyiwa mazshi kwa kuchomwa mauti yakimkuta Sababu zake mpaka sasa hazijaniingia akilini, yeye hataki mwili wake uoze taratibu, sijui mambo ya mwili kutumika msukule, kuhofia kwamba ataamka akizikwa 😂 😂 n.k. Familia yake...
  14. Kitoabu

    Nimempiga mwizi mapanga mawili ya kichwa, akifa Mungu nisamehe

    Mungu anajua sijawahi liua jitu hata siku moja lakini ikitokea lile jamaa likafa shauri yake na familia yake. Mwaka jana nimeibiwa mara mbili nikahama mtaa. Wiki iliyopita nimemkosa kidogo tu, ashukuru niliamka usingizini nikiwa na pombe kichwani na kupelekea kupiga kelele akasepa zake. Leo...
Back
Top Bottom