ajira

  1. S

    JamiiForums Tanzania ahadi za uwongo kuhusu ajira za kada ya afya na elimu zinazotolewa na TAMISEMI kila mwaka

    TAMISEMI imekua na mtindo wa fake promise kuhusu ajira kila uchwao na hakuna kutekeleza yani hakuna ajira. au wakiajiri basi wataajiri idadi ndogo kuliko waliosema. mwaka huu walisema wataajiri lakini hola wanacheza na akili za wasomi kirahisi tu haLafu watu wasomi wamelala. kwa sababu ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Jamani nia na madhumuni ya Uzi huu ni kupeana updates mbalimbali Kwa wale tulio omba ajira za jeshi la polisi 2024 kama Kuna yeyote anajua chochote kuhusiana na CCP akuje atupe mwanga, mbinu za kutoboa pamoja na life la huko Asantni🙏
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mh jamani tamisemi lini watatangaza ajira?

    Jamani nauliza tu Kwa mwenye fununu kuhusu ajira *note Kwa motivation speakers na wenye akili nyingi jibuni swali msianze mambo ya mara ujiajiri mara acha uvivu
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viwanda vya mchina Mikoa ya Njombe na Iringa wanakata sana miti, na sisi tunafaidika kidogo sana

    Hivi viwanda vipo Iringa na Njombe. Wanakata milingoti sana na wanaharibu mazingira. Wafanyakazi hatuna mikataba anakufukuza muda wowote kwa chochote. Assume wazee wetu walipanda miti ili watoto tufaidike, anafaidika mchina. Kwa siku kiwanda kimoja wanaweza kata miti zaidi ya 400 na viwanda...
  5. JamiiForums Tanzania SoC04 Kufungua Uwezo wa Kidigitali: Kukabiliana na Ukosefu wa Ajira kwa Wahitimu na wenye ujuzi Tanzania Kupitia Fursa za Mtandaoni

    Utangulizi Katika moyo wa Afrika Mashariki, Tanzania inasimama katika njia panda kati ya mila na uvumbuzi. Ikiwa na idadi kubwa ya vijana, taifa lina hazina ya uwezo ambao bado haujatumika—wahitimu wakiwa wamejaa ujuzi na ndoto kubwa. Hata hivyo, ahadi hii inafunikwa na ukweli mkali: ongezeko...
  6. JamiiForums Tanzania Ajira: Fundi mechanical na Welding wanahitajika

    Nafasi ya kazi fundi mechanical na Fundi welding wanahitajika, sifa kubwa mbili mtu awenazo awe amesomea na awe na cheti na na pia awe na uzoefu wa kufanya kazi viwandani Piga 0766320816 kwa maelewano na maelekezo zaidi
  7. JamiiForums Tanzania Hospitali ya rufaa kitete yatangaza ajira 126 za mkataba kwa wataalamu wa afya mbalimbali

    Hospitali ya rufaa kitete mkoa wa Tabora imetangaza ajira za mkataba 126 kwa wataalamu wa afya mbalimbali mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 25/06/2024.
  8. JamiiForums Tanzania Kwa matokea haya, mwanangu akasome kozi gani atakayopata ajira?

    Jamani Kuna mwanangu ana 4 ya 27, akasome kozi gani ambayo mbele zipo Ajira na kitu ambacho kazi rahisi kupata ata kujiajiri? Matokeo yake yako hivi: Math: F History: D Civics: D Kiswahili: C English: C Bio: D Geography Eti, akasomee nini apate ajira?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Natamani katiba mpya iseme ukimaliza chuo kikuu huna ajira ulipwe nusu mshahara mkopo wa elimu ya juu usiombwe upewe lazima.

    Amesema mtazamo wake kuhusu katiba ni kuleta nafuu kwenye maisha ya kila siku mf. Wanawake wasio na ajira wapewe mikopo bila riba mtu akifa maiti isidaiwe chochote na kijana akihitimu masomo na serikali haijampa ajira baada ya miaka mitano ianze kumlipa nusu mshahara mpaka atakapo pata ajira.
  10. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Dira ya Elimu na ajira kwa wahitimu wa Vyuo Tanzania

    UTANGULIZI Hapa nchini Tanzania kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wasomi hasa wanaohitimu ngazi ya chuo ambapo wanategemea kuajiriwa kutokana na walichokisomea. Ofisi ya Takwimu Tanzania 2020/21 ilionesha kuwa jumla ya watu 675,899 (2.8% ya watu wenye ajira) ni waajiriwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mageuzi ya Mfumo wa Elimu Tanzania: Kutoka Kutegemea Ajira Hadi Kujiajiri kwa Vijana

    Ili kuharibu taifa lolote, anza kwa kuharibu mfumo wake wa elimu. Mfumo wa elimu wa Tanzania kwa sasa unawaandaa vijana kuwa wafanyakazi wa serikali au taasisi binafsi, jambo ambalo limepelekea wengi wao kuishi maisha duni huku wakisubiri ajira kutoka serikalini na kwenye taasisi binafsi...
  12. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kusoma Chuo Kikuu uko wapi sasa?

    Kwanini watu wenye Certificate na Diploma wanapata ajira sana kuliko wenye Degree Daaah!! Kwahiyo tunahukumiwa na elimu yetu kisa kusoma kwa bidii jamani
  13. JamiiForums Tanzania VSLA Coordinator at CARE International June, 2024

    POSITION TITLE: VSLA Coordinator REPORTS TO: Senior Project Manager LOCATION: Iringa JOB SUMMARY VSLA coordinator is responsible to lead CARE’s VSLA model, support linkage to access to financial services to VSLA members. He is responsible for providing holistic support services to Village...
  14. JamiiForums Tanzania Impact and Communication Coordinator at CARE International June, 2024

    POSITION: Impact and Communication Coordinator REPORTS TO: Senior Project Manager LOCATION: Iringa JOB SUMMARY The communications and impact coordinator will be responsible for demonstrating and communicating the impact of the project activities. Including developing the project communications...
  15. JamiiForums Tanzania Administration and Procurement Officer at CARE International June, 2024

    POSITION: Administration and Procurement Officer REPORTS TO: Head of Finance and Operations LOCATION: Iringa JOB SUMMARY The Administration and Procurement Officer is responsible for timely provision, coordination and management of logistics, procurement and administrative support services to...
  16. JamiiForums Tanzania Grants and Finance Coordinator at CARE International June, 2024

    POSITION: Grants and Finance Coordinator REPORTS TO: Award and Sub-award Manager LOCATION: Iringa JOB SUMMARY The role of Grant and Finance Coordinator will be responsible for the day-to-day management of the assigned projects at Iringa Sub office in line with CARE International policies and...
  17. JamiiForums Tanzania Drivers (2) at CARE International June, 2024

    Position: Drivers (2) Reports To: Administration and Logistics Officer Location: Iringa JOB SUMMARY This position is responsible for carrying out duties as a driver, effectively and efficiently, observing all current CARE vehicle and motorcycle policies and procedures. The driver will also be...
  18. JamiiForums Tanzania Request For Expression Of Interest (EOI) Consultancy Services at SICPA June, 2024

    Request For Expression Of Interest (EOI) Consultancy Services For Design And Supervision SICPA Tanzania invites legally registered and experienced local consultants to submit their expression of interest for the ventilation and fire suppression systems detailed design, and supervision of...
  19. JamiiForums Tanzania Investigations Junior Consultant at WFP June, 2024

    Position: Investigations Junior Consultant JOB PURPOSE The Consultant will report to the Director, Office of Inspections and Investigations (OIGI) and/or his delegate as appointed by the Director of OIGI. The consultant will specifically deliver their work either individually or within a...
  20. JamiiForums Tanzania Feeder Table Operator at Kilombero Sugar June, 2024

    Pia soma: Feeder Table Operator Job Purpose The successful candidate will be responsible to operate the feed table station and carry out maintenance during scheduled stop, breakdown and off crop. Specific Duties and Responsibilities: Carries out maintenance and repair of all cane table...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…