ajira

  1. B

    JamiiForums Tanzania Muelekeo wa ajira na maendeleo ya teknolojia kwa miaka 10 ijayo

    MWELEKEO WA AJIRA NA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA MIAKA 10 IJAYO. Kwa miaka takribani 10 Sasa tangu mnamo mwaka 2014 katika awamu ya mwisho ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete matumizi ya mitandao na TEHAMA kwa ujumla yamekuwa chachu katika kuongeza pato la taifa, naiona Tanzania yenye vijana wenye...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mh nimeskia waziri mkuu Leo anawasemea waliopona uraibu wa madawa ya kulevya wapewe ajira..

    Majobless mpo!? Naona Kila siku mnalia tamisemi zitatangazwa lini ajira , maana vijana wanasubiri ajira Hadi wanapata stress wengine ni walevi na yawezekana hata wengine wataingia kwenye dimbwi la dawa za kulevya...huku Leo waziri mkuu ametoa Rai Kwa tamisemi kuwaajira waliopona uraibu, sasa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Jamani majobless tunaosubiri ajira mmesikia huko waziri mkuu amewapa connection wanaopona uraibu wa dawa za kulevya

    Siasa hizi jamani! Waliopona uraibu wa madawa ya kulevya waziri mkuu ametoa hoja tamisemi huko wapewe ajira ...vipi inawatazama vipi vijana ambao wanaelekea kutumia hayo madawa sababu ya kukosa muelekeo wa maisha...kumbe wanasuburi waharibikiwe alafu ndo waje watoe ajira Kwa wagonjwa
  4. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kujitegemea kwa nafasi za ajira zinazopatikana kutokea kwa watumishi waliostaafu na waliofariki

    KUJITEGEMEA KWA NAFASI ZA AJIRA ZINAZOPATIKANA KUTOKEA KWA WATUMISHI WALIOSTAAFUU NA WALIOFARIKI. Kupata kazi au ajira baada ya kumaliza masomo imekuwa ni ndoto ya kila msomi, lakini katika karne hii hasa miaka ya hivi karibuni ndoto hii imekuwa ikitimia kwa wachache miongoni mwa wengi. Hali...
  5. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Kijana unapo ingia kwenye siasa, nakusihi itazame kama ajira yeyote ile.

    Itoshe tu kusema kwamba itifaki imezingatiwa. Back to the point..... Ukweli ni kwamba, ifike wakati sasa vijana wajitambue, na waache harakati ambazo zimekua zikiwagombanisha na mamlaka hata mihimili yake. Haya yote yanayo tokea sio kwa bahati mbaya (kumbe ni ajira za watu), kwasasa hapa kwetu...
  6. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ajira serikalini ni msoto baada ya msoto, twende hivi

    Kupata kazi ni haki ya kila raia mwenye sifa STAHIKI kwa miongozo ya kitaifa na kimataifa. Sifa kubwa ni kuhitimu katika fani inayotakiwa sokoni kutoka kwenye vyuo vinavyotambulika na mamlaka za nchi husika. Kama tunavyotambua safari ya masomo/elimu ni safari ya kujitoa kwa mali, muda na hali...
  7. OCCID Dominik

    JamiiForums Tanzania Zifuatazo ni ajira (kazi) za watoto wa maskini

    Wakuu, tangu na tangu hizi ajira ntakazoziorodhesha zilikuwa za watoto wa maskini sababu huji kuona mtoto mbunge, waziri au kibompa fulani mwanae anazifanya isipokuwa kazi kama uhasibu, uinjinia, urubani na mfano wake zilikuwa za connections. Kazi za wanyonge bila connections(japo siku hizi...
  8. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tutengeneze mazingira rafiki kwa wawekezaji kupunguza ukosefu wa ajira

    Ukosefu wa ajira ni miongoni mwa changamoto sugu ulimwenguni kama taifa yatupaswa kuwa na mikakati mipya na endelevu kupunguza ukosefu wa ajira nchini. Bendera ya Tanzania. Kila mwaka mamia ya wahitimu wanatunukiwa vyeti vya kuhitimu katika kozi mbalimbali kutoka vyuo vya ndani na nje ya nchi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tunapoelekea ajira itakuwa ndoto kupata kwa watoto wa maskini na kama huna connection

    Binafsi, nilitambulishwa kwa mke wa Mheshimiwa fulani. Nikaona niwe na mawasiliano naye mara kwa mara kama dada yangu. Hivi majuzi, aliniuliza kama nilikuwa tayari nimepata ajira. Nilipomwambia kwamba bado sijapata, aliniambia atanisaidia kwa kuzungumza na mume wake ili aone namna gani anaweza...
  10. sos_10

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vijana wasomi na mikakati ya kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira Tanzania

    Tanzania ni miongoni mwa nchi za Kiafrika zinazokabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana wasomi wanaohitimu katika taasisi mbalimbali za elimu ya juu. Utafiti uliofanyika mwaka 2019 na Taasisi ya utafiti wa kupunguza umasikini (REPOA) ilionyesha takribani vijana milioni moja...
  11. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali mtakapotoa ajira za kada za elimu na afya ambazo wahusika Huwa hawafanyiwi usaili basi muwachukue wale waliomaliza miaka ya nyuma

    Inaendelea kutoka kwenye heading..... Tofauti na hapo mnakuja kuleta maada. Haiwezekani Hawa vijana wamemaliza chuo fani moja mfano mwalimu wa masomo ya Chemistry na biology ama history na literature amemaliza 2016 lakini hamjamuajiri unakuja kumuajiri mwalimu wa masomo hayo hayo aliyehitimu...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Licha ya fursa inayotokana na teknolojia ya Akili Bandia watu wengi wanaichukulia kama tishio kwa ajira zao

    Kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele ndivyo inavyoonekana kwamba matumizi ya teknolojia ya Akili Bandia (AI) yanashika kasi sana duniani. Maendeleo haya ya haraka yameanza kubadilisha sekta nzima ya teknolojia na kuonesha uwezo wa kugusa nyanja nyingi za maisha ya kisasa. Kwa sasa inaonekana...
  13. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo na muundo wa elimu ya kitanzania uboroshwe kuendana na fura za kujiajiri na ajira duniani

    Utangulizi Tanzania imekua miongoni mwa nchi ambazo imekua ikukumbwa na janga la ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa vyuo, vijana na wananchi wengi kiujumla, na tatizo ni kwamba wasomi wamekua ni wengi lakini mahala pakufanyia kazi pamekua ni pa achache au kwa ufupi ajira zimekua finyu lakini...
  14. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania JF nauliza vipi kuhusu zile ajira zenu mlizotangaza

    Nataka kujua hili kwani mwezi huu wa 6 mwanzoni mlitangaza nafasi za kazi ikiwemo nafasi ya msimamizi wa maudhui (Content manager), Mimi nilijaribu kuomba hii nafasi lakini sikupata mrejesho wowote na muda umeshapita Nilitaka kufahamu kwamba mlishaita watu kwenye usaili ama mmeshawapa ajira Au...
  15. I LOVE YOU DUCE

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Kuchagua kati ya fursa mbili za kazi baada ya kumaliza Shahada yangu

    Salamu Wana bodi, Tafadhali sana, leo kwa pamoja mnipe ushauri kama mdogo wenu na kijana anayepambania ndoto na maisha yake. Mwezi wa saba, kwa neema ya MUNGU, namaliza shahada yangu ya kwanza ya elimu katika masomo ya sayansi hapa DUCE. Kama ilivyo mazingira ya taifa letu na ugumu wa maisha...
  16. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mpango wa miaka 25 wa kuondoa tatizo la ukosefu wa ajira Tanzania

    Bwana yesu asifiwe...... Nianze Kwa kushukuru MUNGU muumba mbingu na nchi na vyote viijazavyo Kwa, kutujalia amani, upendo na mshikamano. SULUHISHO LA UKOSEFU WA AJIRA -Ukosefu wa ajira ni janga linaloitafuna nchi yetu ya Tanzania, hivyo ili Kuondoa au kupunguza tatizo hili yafuatayo lazima...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Njia za kutatua ajira kwa vijana wa kidato cha nne na cha sita

    SOKO LA AJIRA KWA VIJANA WENYE ELIMU YA KIDATO CHA NNE NA KIDATO CHA SITA. TUJIULIZE MASWALI YAFUATAYO. Je vijana wenye elimu ya kidato cha nne na sita wanasaidiwaje katika soko la ajira? Je mfumo wetu wa elimu umewatengenezea ujuzi wowote hawa vijana waliohitimu kidato cha nne na cha sita na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nini kifanyike kutatua tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana kuelekea Tanzania tuitakayo

    Tanzania imeendelea kuungana na mataifa mengine mengi hasa yanayo endelea kukabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira hasa Kwa vijana. Uwepo wa tatizo la ajira katika mataifa mbalimbali duniani hakuipi Tanzania uhalali wa kuto kuchukua hatua mbalimbali kuondokana na tatizo hili kwani Kuna weza...
  19. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Hizi ajira za ualimu tulizopewa ahadi vipi huko (TAMISEMI 2024)

    Hivi mmesikia chochote kuhusu hizi ajira zilizoahidiwa kutolewa mwaka huu, maana TAMISEMI naona wapo kimya Taarifa za awali tulizisikia muda mrefu na tukaambiwa mpaka Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani ameshatoa kibali na kusaini ili ajira zitolewe mbona kimya sasa jamani Kiukweli sina imani...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Je, nichague course ipi nzuri na yenye fursa ya ajira kwa combination za arts?

    Mimi ni muhitimu wa kidato Cha sita mchepuo HGK. Nahitaji kujua ni course ipi nzuri na yenye fursa ya ajira naweza kwenda kusomea chuo kikuu?
Back
Top Bottom