ajira

  1. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: AFCON na CHAN zitumiwe na sekta binafsi na ile ya Umma kutengeneza ajira tujenge Viwanja vidogo vya mazoezi na Migahawa tutapa pesa

    ==== Kuelekea mashindano ya Mpira wa Miguu ya Kimataifa ya CHAN Mkurugenzi wa PPPC Bwana David Kafulila ameitaka sekta binafsi na ile ya Umma PPP kushirikiana na kuhakikisha wanaitumia kwa usahihi fursa hii pekee iliyopatikana kwa ushawishi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Kafulila anasema...
  2. JamiiForums Tanzania Usaili wa Kuandika Ajira za Walimu Daraja la III C Maswali Gani Yataulizwa?

    Zimesalia siku mbili usaili wa walimu daraja la IIIC uanze. Hata hivyo, Daraja la IIIC ulishaanza kwa wale ambao masomo yao hayakuwa na usaili wa kuandika ila usaili wa mazungumzo pekee. Kwa wale wa usaili wa mazungumzo, mambo yanaanza tarehe 24/01/2025. Walimu wengi hawafahamu katika usaili...
  3. JamiiForums Tanzania Usaili wa ajira za ualimu hauko fair

    Nimeshangaa kuona jamaa yangu mmoja leo ambae huwa ni dereva bodaboda karibia mwaka wa tisa sasa akisema ametoka kufanya interview ya ualimu, Kwanza nimeshangaa maana sikuwahi kujua kama ni mhitimu wa degree ya ualimu mwaka 2015 kutokana na kumuona yupo serious na kazi hiyo Kinachonishangaza ni...
  4. JamiiForums Tanzania Ajira Portal Login na Registration - Naona ni Changamoto Kwa Baadhi ya Vijana

    Katika pita pita zangu hapa jamii forums, haswa katika jukwaa hili la ajira na tenda... moja kati ya mambo ambayo nimeyagundua ni kuwepo kwa changamoto kwa vijana (haswa ambao ni wapya katika soko la ajira), ama wakiwa hawafahamu ajira portal ni kitu gani, ama wanashindwa kujisajili na baadhi...
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu Natafuta ajira au mchongo wowote wa kufanya

    Wakuu bado sijapata mchongo kama kuna mchongo wowote au ajira me bado natafuta ni kijana wa miaka 22 nishafanya kazi sehem tofaut tofaut pia nnaufanis wa quality na marketing pia kwa sasa natafuta ajira yoyote kama kuna mchongo bandarin au sehem yoyote ya mauzo au kazi yoyote ila me niko tayar
  6. JamiiForums Tanzania Ajira nyingi binafsi zinahitaji muonekano

    Kuna watu wanamiili mikubwa Muonekano hamna Elimu hamna Nawao wanagombania kazi za restaurant, supermarket,dukan,sheli, Sasa endelea kuchagua sana kazi wakati waajili wanataka watu wanaojua wao watawaongezea thamani ya duka kwa muonekano Wewe mwenzangu namm mwenye sifa hizo hapo juu usichague...
  7. JamiiForums Tanzania Mambo ya msingi kabla ya kwenda usaili wa WALIMU sekretarate ya Ajira mwaka 2025

    Mkuu Twende Wote Hapa😁 If you're preparing for a teaching interview, you're about to embark on an important journey that can shape your career. Whether you're new to teaching or an experienced educator, there are key elements that you need to understand. In this guide, we’ll walk you through...
  8. JamiiForums Tanzania Connection ya Ajira Nchini Canada, Dubai, Qatar & Scandinavian Countries

    Habarini Wakuu!!!! Nahitaji mwenye Connection ya Ajira kwa nchi hizi (Canada, Dubai, Qatar, Denmark, Finland, Iceland, Norway,Sweden). Kama mnavyojua Bongo ajira ni kipengele kidogo, Sasa katika kuangalia mtandaoni naona wenzetu Wakenya wanasafiri sana nchi hizo kwenda kufanya kazi, na siku...
  9. JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi limewekwa leo kwenye nipashe

  10. JamiiForums Tanzania Hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?

    Kuna sehemu nimeona tangazo la kazi, na hakuna mtu aliyeomba; sasa najiuliza hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi? Wanahitajika:- Wachoma mahindi nafasi 2000 Watembeza kahawa maeneo ya stendi nafasi 1000 Watembeza mayai mchemsho nafasi 500 Watembeza karanga zakukaangwa nafasi 1000...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu suala la ajira alaumiwe Hayati Magufuli kurundika graduates mtaani na hapo hapo akajiita eti ni Rais wa wanyonge

    Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu. Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga. Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Waziri unajisifia kuhusu ajira za Walimu wakati nafasi zipo 14,000 kati ya 200,000 walioomba, huoni aibu Waziri Simbachawene?

    Waziri Simbachawene unapaswa uone aibu, unatangaza nafasi 14,000 tu za Walimu wakati waombaji wapo Walimu 200,000? Huoni haya, hawa 186,000 wataenda wapi? YAANI MNACHUKUA ASILIMIA 7 TU YA WALIOOMBA? Wengine wataenda wapi? Hii kada mwajiri mkubwa ni Serikali, pamoja na wizara ya afya, hao...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi maeneo ya Moshi

    Habarini wana JF Natafuta kazi maeneo ya Moshi. 1. Stationery 2. Supermarket 3. Sheli Elimu yangu: Nimehitimu Chuo Kikuu Naombeni connection Pia kama kuna kazi nyingine naweza fanya
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini ajira za Tanzania zikitangazwa zinaishia hewani?

    Sio mara moja au mara mbili ajira za ualimu zimekuwa zikitangazwa na zinaishia hewani. Hivi ina maana hii serikali mmeamua kuwaona waalimu ni kada flani iliyojaa mafara mpaka mnaamua kuwafanyia maigizo? Kuna haja gani ya kutangaza ajira hewa? Acheni kutesa watoto wa watu. Hakuna graduate...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira lingetangazwa kama janga tu , inawezekanaje ajira 14648 za walimu ziombwe na watu zaidi ya laki mbili

    Nimeshituka sana tangu Jana kuaona ajira za walimu na idadi ya walioomba , kumbuka anayesoma ualimu ni either 1. Mtoto wa maskini 2. Uwezo mdogo shuleni 3. Kama hayo mawili hayapo Basi alikumbwa na matatizo flani kwenye maisha, mimi ni mwalimu ualimu hauwezi kuwa kimbilio , hii idadi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna kada watu wanatakiwa wasome alama za majira, wasisome wakilenga ajira za serikalini tena

    Walimu 200,000 kugombania nafasi 14,000 ni kiashiria hii sekta haihitaji kuzalisha Walimu tena kutoka vyuoni, walioko wanatosha na kupitiliza. Hata serikali ikiwa inaajiri walimu 10,000 kila mwaka(kitu ambacho hakiwezekani) itahitaji miaka 20 kuweza kuwachukua wote katika ajira.
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini watu walioajiriwa serikalini wengi wana uwezo mdogo wa akili?

    Serikali Ina useless people wengi Sana . Hakuna kitu wanaweza hawa watu wa serikalini . Huduma zao 90% ni ovyo Sana .
  18. S

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wametoa majina watakaofanya usaili

    Angalia email yako uhamiaji washatuma mapema sana wakuu, interview trh 13
  19. JamiiForums Tanzania Nimejipatia Tsh. 150,000 likizo hii kwa kufundisha masomo majumbani

    Mungu mkubwa japokuwa tuition yangu ni majumbani nawatembela watoto wa kishua hapa mtaani. Nilifanya savey mwezi wa 10 mwishoni hapa mtaani, kweli baada ya likizo nikapigiwa na wazazi wanne. So nikawa nawapangia tu muda tofauti tofauti. Nashukuru nimetuna, likizo hii sijakaa kinyonge, tuwe...
  20. JamiiForums Tanzania Ajira: Sales and marketing nafasi 1

    Habari! Anatafutwa mdada wa sales and marketing. Kwa kiwango cha mshahara tutapendelea mwenye certificate au diploma. Awe na knowledge ya kutumia computer na digital marketing. Office ipo Boko - DSM. Send CV and recent photo to: joerk2045@gmail.com Only shortlisted will be contacted.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…