Hii ni kwa mazingira ya Tanzania, sio Chatgpt au google inayochambua ajira kwa mazingira ya Amerika au Europe. (mifumo hio haina data za kutosha kuhusu mazingira yetu hata itakupoteza)
Kozi zenye nafuu kuajiriwa
Ualimu hasa masomo ya sayansi, hesabu na biashara
Uhasibu
Engineering -...
Hamjambo!
1. Ni Ajira za kuajiriwa ndizo ziliwapa kiburi dada zetu.
2. Ni baada ya kuona wakisoma baadaye wataajiriwa na kulipwa Malaki Kwa mamilioni ya pesa. Wakaona watakuwa independent na hawatakuwa na haja ya mwanaume.
3. Kumbuka ajira kama ualimu, udaktari, uanasheria, uhasibu, n.k...
Hakuna jambo linauma kama kufukuzwa kazi katika kipindi ambacho hujajiandaa.
Tumaini linalobaki ni kwenye savings na pension. Lakini baadae wakati wa kufuatilia pension unajikuta katika maumivu zaidi ya ile ya kufukuzwa kazi.
Najiuliza Sheria iliyounda NSSF ilipitiswa na nani na kwa bunge...
Kwani hii kada imelaaniwa?
Yan waliopo kwenye ajira wanaafadhali ya akil kidogo kuliko hawa jobless, wengi ni wapumbavu grade A.
Hawa watu kujifunza mambo mapya kwao ni kama kula nguruwe kwa ndugu zetu kobaz, hawa watu hawana walijualo lolote kuhusu mustakabali wao hasa kwenye kusaka ajira...
Ajira zikitangazwa na sisi tutangazwe au TAMISEMI watupe majibu kwa nini hatuajiriwi, kwa fani tuliosomea wanaajiriwa wengine tu.
Ni sisi Walimu tuliosomea BACHELOR OF EDUCATION IN PRIMARY EDUCATION, yaani Mwl IIIC Shule ya Msingi
Serikali itukumbuke jamani.
Wanaajiriwa Watu waliosoma...
Ajira Mpya Mtama DC Mkoani Lindi bado hatujalipwa pesa za kujikimu na hatujui tunalipwa lini na hamna taarifa yoyote kuhusu hizo pesa tunalipwa lini.
Kwa kweli tunapata shida sana.
Naomba kuwasilisha hiyo kero yangu mkuu.
Anonymous
Thread
ajiraajira mpya
fedha
fedha za kujikimu
kujikimu
lini
mpya
mtama
Sisi watumishi wa Idara ya Afya tulioajiriwa tarehe 23 Juni 2025 katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji, tunatoa malalamiko yetu rasmi kuhusiana na kutolipwa kwa pesa zetu za kujikimu ambazo kisheria na kiutaratibu zilipaswa kulipwa mara baada ya kuajiriwa.
Hadi kufikia sasa, tumetumikia kwa kipindi...
Anonymous (8196)
Thread
afya
ajiraajira mpya
hii
idara
idara ya afya
ifutwe
kuhusu
kujikimu
malalamiko
manispaa
mpya
naomba
pesa
pesa za kujikimu
post
watumishi
Habari wana JF. Mtakumbuka mnamo mwaka 2025 karibu kbs na uchaguzi Sekretariet ya ajira ilitangaza nafasi nyingi za kada tofauti. Nafasi zile zilileta maneno sana wengi wakisema ni rushwa kwsbb uchaguzi umekaribia. Wengi tuliomba na deadline ilikuwa Oktoba 31.
Cha ajabu hatujaitwa kwenye usaili...
Mbunge wa Jimbo la Makete, akichangia katika Bunge la 13, Mkutano wa Pili, Kikao cha 6, ameeleza kuwepo kwa mifuko ya vijana katika wizara mbalimbali licha ya kuwepo kwa Wizara rasmi ya Vijana. Amesema kuna zaidi ya mifuko 70 katika wizara tofauti inayopokea fedha kwa ajili ya vijana...
Ndugu zangu Watanzania,
Tanzania Ya Rais Samia ipo Vizuri sana kiuchumi,uchumi wetu ni Imara sana ,Uchumi wetu ni wenye afya na ulionawiri. Ndio sababu mnaona hata shughuli za ujenzi zinaendelea kila kona ya Nchi hii bila kujalisha ni Masika ama kiangazi.kila unakopita unaona watu wakijenga...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia ni Mwamba Kwelikweli,Ni Chaguo La Mungu ,Ni Nuru Na Mwanga Wa Taifa. Ni Kiongozi Aliyefanyika Baraka kwa Maisha Ya Watanzania,Ni Neema Na Baraka Kwa Taifa Hili. maisha yake ni Baraka kwa watu wote.
Mama Samia Kwa Hakika atakumbukwa vizazi na...
Wanafunzi wa Chuo cha Ukutubi, Uhifadhi wa Nyaraka na Tafiti (SLADS) kilichopo Bagamoyo chini ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) tunapitia changamoto kadhaa:-
Nawasilisha kero hii kwa niaba ya wengine tumehitimu masomo ya Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka (Library Records and Documentation...
Anonymous
Thread
ajira
chuo
hatuna
nyaraka
serikali
uhifadhi
vigezo
wahitimu
Mimi ni miongoni mwa walimu wa Sekondari (ajira mpya) mwaka 2025.
Baadhi tumeajiriwa mwezi wa pili, wa tatu hadi wa sita - lakini mpaka leo hatujapata pesa ya kujikimu.
Wenzetu walipewa pesa hiyo mnamo mwezi wa kumi na moja na na sisi hatujui muafaka wetu ni upi na kumekuwa na ubabaifu mkubwa...
Anonymous
Thread
ajiraajira mpya
kujikimu
majibu
mpya
pesa
pesa za kujikimu
sahihi
sekondari
walimu
Soko la ajira uarabuni ni kuwa Ma-house boys and Ma-house girls. Halafu cha ajabu kuna viongozi serikalini wanapiga madongo na kuweka uadui kwa wana diaspora wenye kazi za maana huko USA na EU wenyewe wanatafutia vijana wetu kazi za mahouse girls na wahouse boys. Kazi zinazohitaji elimu unakuta...
Nimeogopa kutaja directly kituo cha kazi huwenda nikajulikana
Lakini,
Muda mrefu umepita Baada ya kuripoti ila ni kama wanapotezea posho ya kujikimu wakati ipo kwa mujibu wa Sheria.
Tumewasiliana na wenzetu wa Halmashauri zingine tukagundua hili ni tatizo la Halmashauri zote za mkoa wa...
Anonymous
Thread
ajiraajira mpya
halmashauri
kilimanjaro
kujikimu
mpya
posho
wilaya
Mimi ni Mtumishi Ajira mpya 2025, tumeripoti kazini tangu Machi 2025 Mkoa wa Geita ila cha ajabu mpaka sasa tumemaliza takribani miezi 10 hadi 11 hatujapewa hela za kujikimu.
Imekuwa kama mpira wa kona, hatuelewi kinachoendelea, kila kiongozi ukiuliza anasema hajui au hana jibu na kutuambia...
Anonymous
Thread
ajiraajira mpya
fedha
fedha za kujikimu
geita
kujikimu
machi
mpya
Mimi ni Mtumishi wa Serikali sina siku nyingi kazini lakini tangu siku nimeripoti nimekuwa nikisumbuliwa na hawa watu wa mikopo, wamekuwa wakipiga simu na kutuma ujumbe wakiomba nikakope kwenye taasisi yao na wakati huo sijawahi kwenda kwenye ofisi zao hata mara moja.
Tunajua pengine biashara...
Anonymous
Thread
ajiraajira mpya
bukombe
kuomba
mikopo
mpya
namba
simu
taasisi
taasisi za mikopo
wakati
Elimu ni wajibu, si urithi. kumsomesha mtoto hadi ngazi ya shahada ni haki yake ya msingi. Hata hivyo, hilo pekee halitoshi. Ni muhimu pia kumpa nafasi ya kujifunza ujuzi wa ziada, ujuzi wa vitendo na ubunifu utakaomsaidia kujitegemea pale ambapo hana uhakika wa ajira rasmi alizosomea. Kwa...