ajira

  1. JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba kupata ajira GardaWorld Security sasa hivi lazima uwe na cheti cha Chanjo ya Covid?

    Naskia kupata ajira Garda Security saivi lazima uwe na cheti cha Chanjo ya Covid...hivi nikweli ?!!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali inatengeneza Ajira 40,000 Kwenye Kilimo

    Rais Samia Suluhu amemaliza Ziara yake leo mkoani Manyara kwa kukagua Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara. Baada ya ukaguzi huo alikutana na kuzungumza na wananchi. Kabla ya Rais Samia kuzungumza. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe alipata nafasi ya kuzungumza na kuongelea jinsi Serikali...
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira ni tokeo la mfumo wa elimu uliokosa fikra bunifu

    Fikra ni namna mtu anavyochukulia jambo fulani, fikra ni mawazo ya mtu juu ya kitu fulani katika maisha kwa ujumla wake, mara nyingi kabla ya kumshauri mtu, tunaanza na fikra, start with mindset, fikra ni dhana, fikra, umasikini na utajiri vinaenda sambamba,lakini tujiulize nini chanzo cha...
  4. JamiiForums Tanzania Ajira ajira natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba. Location ni: Dar es Salaam
  5. JamiiForums Tanzania Ajira: Natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba.
  6. JamiiForums Tanzania Maombi yamepokelewa Secretariat ya Ajira, kwanini hadi sasa hakuna mrejesho mwingine?

    Kwenu Secretariat ya Ajira. Mliweka Nafasi za kazi za MDA na LGA hapo July 2022. Wasaka Ajira tukajitosa kuomba Tena Kwa Gharama kubwa na Sifa mlizotaka zipo. Mrejesho toka kwenu ikawa Received. Mpaka Leo hakuna jibu lingine la maybe not shortlisted au shortlisted au nafasi hii imechukuliwa...
  7. JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili nipate ajira?

    Jamani naandika kwa uchungu sana, mwenzenu nina miaka saba sasa tangu nimemaliza chuo sijawahi bahatika kupata ajira popotee. Nilisoma BBA baada yakuona mambo magumu nikaenda driving nasasa nina hadi cheti cha NIT cha proffesional driving lakini bado sioni mwanga. Naomba ushauri mzuri...
  8. JamiiForums Tanzania Tutajie orodha ya kozi ambazo hazitoi ajira ili tupate kuzifahamu

    Katika uzi huu tunataka kuzifahamu kozi ambazo hazitoi ajira kwenye taasisi binafsi na serikalini. Hivyo kama una orodha yako uwanja ni wako sasa tutajie kozi hizo. NOTE: Tunaomba mtuandikie kozi sio stori.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kumpatia Majaliwa ajira Zimamoto, kumpelekeka Bungeni na kumpatia mil 5 sio suluhu ya matatizo ya taifa letu

    Tuna changamoto lukuki kama taifa ambazo zinatakiwa kupatiwa suluhu na serikali kupitia vyombo vya dola na wala sio porojo za kisiasa. Tuna majambazi, panya road na vibaka. Wanasumbua kwa zaidi ya miaka ishirini. Hapa napo tusaidiwe na akina majaliwa? Tuna wahamiaji haramu kibao wanaishi na...
  10. JamiiForums Tanzania Ni siku gani kubeti kulitaka kukutoa uhai?

    Kuna jamaa mmoja alikuta timu ipo dakika ya 67 na inaongoza goli tatu kwahiyo akaipa ishinde na akatia ada yake pale. Mchezo uliisha 3 - 3! Kuna maumivu makubwa sana kwenye kubeti, wewe kilikukuta nini mpaka ukaona roho itaacha mwili?
  11. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani kusoma kozi ya Risk Management and Insurance?

    HABARI, Hivi wanajamvi kuna umuhimu gani kusoma kozi ya risk management and insurance? Na kama upo vipi Ajira zake maana -kujiari via iyo kozi ni kipngele sana. Mwenye -positive idea please share we with us.
  12. JamiiForums Tanzania Yeyote aliyeajiriwa na anataka kujiajiri; anza kununua vitendea kazi kwa ajili ya ajira yako mpya

    Kumiliki vitendea kazi muhimu, ni rahisi kuacha kazi na kwenda kujiajiri. Wengi tunashindwa kufikia hayo malengo, kwa sababu mishahara yetu tunatumia kwenye vitu vinavyokula hela na havizalishi. Utakuta mtu anachukua mkopo mkubwa au anatumia fedha alizopata kwenye ajira kwa kujengea nyumba...
  13. JamiiForums Tanzania MwanaJF aliyetabiri ajali ya ndege nashauri naye apewe ajira na Serikali

    Wadau natumai Ni wazima; Nilipata faraja Sana kuskia kijana alieongoza kuokoa watu kuwa serikali ilimuona na ikampatia ajira,naipongeza Sana serikali kwa hili. Lakini mimi nmekaa nikifkiria nikaona memba wa humu aliyetabir hii ajali nae afikiriwe na Serikali maana huyu ndo ana umuhimu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Shujaa Majaliwa ajira yake, elimu yake inakidhi vigezo vya Serikali?

    Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri Serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiriwa kwa sheria ipi? Anakidhi vigezo? Note: Sina tatizo/wivu and the like naye kuajiriwa, but tusiwe vipofu...
  15. JamiiForums Tanzania Mnaomuonea wivu Majaliwa ( maja mnyama ) ajira ya zimamoto ni ya kawaida sana

    Nimekuwa nikifuatiria toka kijana mdogo alivyopewa ajira kwenye kikosi cha zimamoto kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiongea saana, na wengine wamefikia kusema kijana wamempoteza tu ilitakiwa aulizwe anataka nini apewe na asepe. Jamaani ukweli ni kuwa ajira ya zimamoto ni ya kawaida sana acheni...
  16. JamiiForums Tanzania Natangaza fursa ya Ajira Kubwa kwa tusio na Ajira Tanzania

    Utakuja Kwangu GENTAMYCINE na Mchango wako tu wa Shilingi Elfu Hamsini ( Tsh 50,000/= ) tu kisha Maelekezo yafuatayo yatafuata Kwako..... 1. Kuna Fomu utajaza aina ya Kazi ambayo utaiweza na hasa hasa ni za Uokoaji Watu wakiwa Matatizoni 2. Kisha mkishakuwa Watu 25 tu Mimi GENTAMYCINE nitakuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kisa nilicho kutana nacho huu mwaka katika kutafuta ajira

    Jamani, jamani, ofisi zimetulia, majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia, na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini?! Lets go to the point, Mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja hivi sehemu fulani, jamani nilikutana na kaka mmoja...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kijana aliyeongoza Uokoaji atafutiwe nafasi Jeshi la uokozi

    Ni agizo kutoka kwa Rais Samia, Amiri Jeshi Mkuu, ameagiza Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni kuanza mchakato wa ajira ya huyo kijana mara moja. Kijana huyu ndiyo alizamia na kwenda kufungua mlango wa ndege na hatimaye abiria 24 wa Precision Air iliyozama kuokolewa. Source: TBC ====== Waziri...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Asilimia 12 ya vijana tanzania hawana ajira

    Rais Samia Suluhu alisema kuna asilimia 12 ya vijana hawana ajira na yeye yupo kazini ya kuhakikisha asilimia hii ya vijana wanapata ujuzi na wananjiajiri haya yalisema alipokua anazindua chuo cha VETA mkoani Kagera “Utafiti uliofanywa na Idara ya Takwimu ya Serikali 2021 inaonesha asilimia...
  20. JamiiForums Tanzania Mliopata ajira kupitia PSRS, status za application zenu zilikuwaje kabla ya kupata kazi na sasa hivi zikoje?

    Ndugu zetu ambao mmeshaanza kulamba asali, ebu mtujuze je status zenu za application katika account ya PSRS zilikuwaje na sasahivi zikoje? Najua huwenda kila mtu aliandikiwa tofauti, basi usisite kutuambie ulichoandikiwa. NB: Kama bado hujaanza kulamba asali, usiwe na haraka kukoment, subiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…