Waziri mkenda, ninaomba nikupe ushauri wa bure kabisa kuhusu elimu.
Kwa sasa mambo ya ajira za GPA uko sawa ila anza kufumua mfumu, muundo na mitaala ya elimu nchini.
Prof, hakikisha kila shule ya msingi ina madarasa 2 ya awali na walimu wa awali wenye uwezo wa kufundisha wanafunzi kwa lugha...
Umri 35+
Ujuzi: computer, English, counseling.
Uzoefu: kufundisha basic certificate course, Patron shule ya sekondari, kufundisha Kiingereza.
Kazi ninayoomba: yoyote inayoendana na hizo, iwe ofisini, shuleni au kiwandani.
Makazi: Dar
Tangu kuanzishwa kwa mradi wa kujifunza lugha na utamaduni wa China mwezi Julai, 2021, vijana wengi wa Sudan Kusini waliojiandikisha katika madarasa ya lugha wamegundua umuhimu wa lugha ya Kichina.
Mayiik Deng, mwenye umri wa miaka 25, ni mmoja wa wanafunzi wa mwanzo wanaoshiriki muhula wa tano...
Mwaka huu 2022 Mwezi wa 5 nilipost Uzi mmoja kuhusu blog (Usome hapa).
Kuna baadhi walinicheki niwape msaada nilifanya ivyo ingawa ni wachache tu waliofanya kweli na sasa wanapiga pesa.
Hivyo basi, huu ni mwendelezo wa mada Ile ambayo kwa kipindi kile nilikuw napata 400k Hadi 600k kwa Mwezi...
Kwa majina naitwa Mikel lesta kiukweli utumishi katika upande wa ajira wapo hovyo sana nafikiri wanaofanya kazi hapo wanajisahau sanaa, nitatoa mifano mitatu na nitashauri kitu na sitoishia huku nitawafata katika page zao za kijamii pia ila kiukweli wanatuumiza sana sisi watu wa chini.
OK ipo...
Kuanzia sasa Serikali itaanza kuzitazama ajira za vyuo vikuu badala ya kuangalia ubora wa ufaulu yaani GPA pekee sasa waajiriwe kwa kupimwa uwezo wao kwa kufanya usaili.
Kuangalia ufaulu pekee wa wanafunzi haitoshi kuboresha elimu badala yake ni muhimu kuongeza vigezo hivyo katika mapitio ya...
Habari vijana wenzangu,
Binafsi Mimi siyajui machungu ya kuwa jobless. Nimemaliza tu kidato cha sita kisha kwenda JKT nikaajiriwa. Niliacha kazi mwenyewe na kupata kazi nyingine soon.
Mimi sio mbinafsi, ninavyoona jinsi vijana wenzangu wanavyopata taabu naumia kiasi.
Vijana wengi hawana...
Umri: 38 years
Elimu: Kidato cha sita na computer course.
Uzoefu: Ualimu wa computer na kazi ya Patron shule ya sekondari.
Uwezo: kufundisha computer, kiingereza na kazi za malezi kwa vijana na wanafunzi.
Makazi: Dar es Salaam
OMBI: NATAFUTA KAZI YOYOTE HALALI, MASHULENI NA MAOFISINI PIA...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 natafuta kazi iwe kwenye taaluma yangu au nje ya taaluma yangu nimehitimu diploma ya uhasibu na nina uzoefu kama cashier kwa miaka mitatu na kuuza duka
Napatikana Dar es Salaam
Asante
Wakuu nilipita katika pwani ya bahari nikaona kijana amebeba kasia nikampa elfu tano akaniuzia.
Naweza kulitumia hili kupata ajira pale airport niwe nawafungulia milango ya ndege?
Habari zenu wakuu naomba kuuliza naweza kutumia transript ya chuo katika kuapply ajira za upolisi zilitoka 2022 Note nimemaliza chuo mwaka huu kwaiyo vyeti bado
Takwimu zinaonyesha wanawake milioni 44 wamepoteza ajira barani Afrika hadi kufikia mwaka 2021, huku idadi ya wanawake kwenye vyombo vya maamuzi Tanzania ikiongezeka kutoka asilimia 21.5 mwaka 2005 hadi kufikia asilimia 37 mwaka 2020.
Hayo yamebainishwa leo Jumamosi Desemba 3, 2022 na Rais wa...
Kazi yoyote inayohusu mafuta na gesi (petroleum) watangazieni wote waliosomea mafuta na gesi na mwaite wote wafanye usaili atakayepita ndio huyohuyo.
Kazi hizi ni: Production, Reservoir, Drilling, Petroleum, Exploration, Processing, Oil and Gas Operation, Quality Assurance and Control.
Hizo...
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imeanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 29(1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 (iliyorejewa 2019) kwa ajili ya kushughulikia mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma na kuanzishwa rasmi tarehe 1 Machi, 2010.
Majukumu ya...
Habari wasakaji wa ajira,
Kuna CHIMBO LA kulala , maeneo ya Nyerere square, Karibu na msikiti wa Nungwi...
Bei ni 13000/= ila vitanda viko viwili , mkiwa wawili mnachanga 6,500/=......
Location ni hiyo alama ya bluu.
Ndugu zangu habari, sijui ni kwa nini lakini naomba niwape huu uzi kwa ufupi.
Ni muda mfupi nimetoka kuongea na mmoja ya walimu wakongwe wa Nyegina Secondary, amenipa taarifa iliyobadili hisia zangu ghafla.
Iko hiviii, walimu 5 wameachishwa kazi. Sababu ni kwamba hawa walimu hawajui...
Naombeni kuuliza kuna ndugu yangu anataka kujua:
Ukifanya oral interview sekretarieti ya ajira wanachukua muda gani kuibadilisha status ya account yako.
“RUSHWA ya ngono ipo, lakini haizungumzwi maana inachukuliwa kama jambo la kawaida na lisilozungumzwa hadharani. Vyuoni, ipo kutoka kwa mwalimu wa kiume kwenda kwa wanafunzi wa kike, au kutoka kwa mwanafunzi wa kike kwenda kwa mwalimu wa kiume.”
Ndivyo anavyosema Mkurugenzi Mtendaji wa Chama...