ajira ualimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mirio

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu na Afya

    Habarini ndugu hakuna kipindi kigumu Kama hiki miaka 7 mtaani bila ajira kisaikolojia ni kipindi kigumu endapo watakosa tupeni ushauri jamaan 😭😭😭😭
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu juu ya ajira za ualimu

    Habari Wana jukwaa hope wote ni wazima, Mimi ni member mpya wa Jf pia ni moja ya mwanafunzi katika moja ya chuo kikuu apa kwetu TANZANIA. Lengo la Uzi huu nilipenda kutoa ushaur na mawazo Yangu kwa serikali yangu ya Tanzania, kuanza kutoa ajiri za walimu kwa mkataba yaani iwe iv; 📌📌📌Mwalimu...
  3. fullcup

    JamiiForums Tanzania Nimekosa ajira za ualimu tena

    Ndugu zanguni nimekosa ajira tena! Nikiamini kwa 75% kuwa Kama tumetumia namba za NIDA basi umri na mwaka wa kumaliza chuo vitanibeba lakini wapi! Mwaka wa kuhitimu chuo kikuu 2015, umri wangu miaka 34 lakini nimepiga gape na vitoto vya mwaka 2020 na umri wa chini ya 25! Serikali kweli walikaa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa yangu amechanganyikiwa baada ya kukosa ajira za ualimu

    Jamaa kamaliza chuo since 2015, matarajio yake yalikuwa this time lazima alambe ajira. Surprisingly hajaona jina lake. Alichofanya amenunua k-vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku kafungulia mziki mkubwa wa reggae.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu NACTE registration number kwenye kuomba ajira za ualimu

    Habari za leo wakuu. Kwa wale wenye diploma za ualimu tunaoomba nafasi za ajira tamisemi kwenye kipengele cha NACTE reg number tunajaza namba gani naona kwangu inagoma. Kuna namba iko kwenye cheti cha chuo ila nikiweka haikubali niweke nta level pia niattach cheti.
  6. mudy92

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kuambatanisha Cheti cha Kiapo kwenye uombaji wa ajira za Afya na Ualimu

    Wakuu Wasalaam, Nina CHETI cha Kiapo toka Mahakamani kutokana na majina kutofanana katika vyeti vya Shule, NIDA na Kuzaliwa. Sijajua nakiweka katika section. Msaada please
  7. E

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ajira za ualimu

    Naomba kujuzwa na wazoefu hivi kuna uwezekano wa ajira zitakazotangazwa hivi karibuni kupangiwa tu vituo bila kufanya application?
  8. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa ajira za ualimu utachukua muda gani mpaka ajira kutangazwa?

    Wakuu kwema. Jana nimeona itv wameandika kuhusu mchakato wa ajira za ualimu, wakimnukuu naibu tamisemi. Kwamba hio ni baada ya madarasa kukukamilika sasa ni muda wa kujenga matundu ya vyoo na mchakato wa ajira kuanza. Sasa ningependa kujua inaweza ikachukua muda gani mpaka mchakato huo...
  9. msovero

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja kaajiriwa mara mbili ajira za ualimu

    Sio kila anayekosa nafasi kwamba hana vigezo muda mwingine kuna chagizwa na mambo kama haya
  10. Jensen salamone

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza kwenye ajira za ualimu 2021

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza wizara ya Tamisemi chini ya waziri ummy, katibu mkuu na wote waliohusika kwenye mchakato mzima wa uchambuzi na utoaji ajira Ofcourse wanastahili kupewa pongezi kwa kazi nzuri waliyofanya kwani kwa asilimia kubwa wametenda haki kwa waombaji hasa kwa kutoa kipaumbele...
  11. msovero

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu: serikali ije na majibu ya kueleweka juu ya walimu wangapi wa shahada 'degree' iliowaajiri

    Miongoni mwa mambo yanayotakiwa kutupiwa jicho ni ubaguzi uliopo kwenye utoaji wa ajira kwa kada mbali mbali ikiwemo ualimu Serikali ya awamu ya tano chini ya utawala wa hayati Magufuli imekuwa ikitoa ajira za ualimu kwa upendeleo na ubaguzi bila kuzingatia usawa na elimu za waombaji...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Napata changamoto kuingia kwenye mfumo kwasababu nilisahau nywila (password)

    Habari wakuu, Tangu kutangazwa kwa hizi ajira za ualimu, napata changamoto kuingia kwenye mfumo kwasababu nilisahau nywila ya kuingilia (password). Nimejaribu mara kadhaa kubadili inaleta ujumbe "Failed to change password" naombeni msaada namna ya kulitatua hilo. Pia na wengine wenye...
Back
Top Bottom